Mikoa 10 bora ya kuishi Tanzania

greater than

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
1,653
Reaction score
3,060
Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo :
Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia
  • Upatikanaji wa chakula
  • Urahisi wa Usafiri
  • Elimu
  • Hali ya Hewa
  • Huduma za maji
  • Mitandao ya simu
  • Usalama
  • Biashara
1. Dar es Salaam
Ndiyo mkoa ulioendelea Tanzania kuliko yote.
Kwenye
  • Biashara ina points 9
  • Mitandao ya simu ina points 9
  • Usafiri ina points 9
  • Elimu,points 9
  • Upatikanaji wa chakula points 8
  • Huduma ya maji,points 8
  • Usalama,points 7
  • Bei ya vyakula ,points 5
  • Hali ya hewa ,points 4
  • Usafi,points 4

2. Mwanza
Mkoa Tajiri katika Kanda ya Ziwa
Kwenye
  • Biashara ina points 8
  • Mitandao ya simu ina points 8
  • Usafiri ina points 8
  • Elimu,points 8
  • Upatikanaji wa chakula points 8
  • Huduma ya maji,points 7
  • Usalama,points 7
  • Bei ya vyakula ,points 7
  • Hali ya hewa ,points 6
  • Usafi,points 5


3. Mbeya
Mkoa ulioendelea zaidi katika Nyanda za juu kusini.
Kwenye...
  • Biashara ina points 7
  • Mitandao ya simu ina points 6
  • Usafiri ina points 6
  • Elimu,points 8
  • Upatikanaji wa chakula points 9
  • Huduma ya maji,points 6
  • Usalama,points 6
  • Bei ya vyakula ,points 9
  • Hali ya hewa ,points 9
  • Usafi,points 6

4. Iringa
Moja kati ya mikoa yenye mandhari nzuri hapa nchini.
  • Biashara ina points 6
  • Mitandao ya simu ina points 6
  • Usafiri ina points 5
  • Elimu,points 8
  • Upatikanaji wa chakula points 9
  • Huduma ya maji,points 6
  • Usalama,points 6
  • Bei ya vyakula ,points 8
  • Hali ya hewa ,points 8
  • Usafi ,points 9

5. Arusha
Mkoa ambao ndiyo kitovu cha utalii hapa nchini,japo hizo sehemu maarufu za utalii zote zipo nje ya mkoa wa Arusha🤔
Kwenye
  • Biashara ina points 6
  • Mitandao ya simu ina points 6
  • Usafiri ina points 6
  • Elimu,points 6
  • Upatikanaji wa chakula points 6
  • Huduma ya maji,points 5
  • Usalama,points 6
  • Bei ya vyakula ,points 4
  • Hali ya hewa ,points 6
  • Usafi,points 5
6. Ruvuma
Huu ni mkoa wenye Ziwa lenye Samaki wengi Afrika.
Kwenye
  • Biashara ina points 7
  • Mitandao ya simu ina points 6
  • Usafiri ina points 5
  • Elimu,points 7
  • Upatikanaji wa chakula points 9
  • Huduma ya maji,points 6
  • Usalama,points 7
  • Bei ya vyakula ,points 9
  • Hali ya hewa ,points 7
  • Usafi,points 5

7. Kilimanjaro
Mkoa wenye mlima mrefu Afrika...
Kwenye
  • Biashara ina points 6
  • Mitandao ya simu ina points 7
  • Usafiri ina points 7
  • Elimu,points 8
  • Upatikanaji wa chakula points 7
  • Huduma ya maji,points 8
  • Usalama,points 7
  • Bei ya vyakula ,points 6
  • Hali ya hewa ,points 8
  • Usafi,points 9

8. Njombe
Huu mkoa umezungukwa na safu nyingi ya Milima na ndiyo mkoa Baridi kali hapa nchini.
  • Biashara ina points 6
  • Mitandao ya simu ina points 5
  • Usafiri ina points 4
  • Elimu,points 6
  • Upatikanaji wa chakula points 9
  • Huduma ya maji,points 6
  • Usalama,points 6
  • Bei ya vyakula ,points 9
  • Hali ya hewa ,points 8
  • Usafi,points 9

9. Dodoma
Makao makuu ya nchi....
Kwenye....
  • Biashara ina points 5
  • Mitandao ya simu ina points 6
  • Usafiri ina points 7
  • Elimu,points 8
  • Upatikanaji wa chakula points 6
  • Huduma ya maji,points 4
  • Usalama,points 6
  • Bei ya vyakula ,points 4
  • Hali ya hewa ,points 4
  • Usafi,points 5

10. Unguja
Mkoa Tajiri huko Visiwani.
Kwenye....
  • Biashara ina points 7
  • Mitandao ya simu ina points 8
  • Usafiri,points 7
  • Elimu,points 8
  • Upatikanaji wa chakula points 8
  • Huduma ya maji,points 7
  • Usalama,points 7
  • Bei ya vyakula ,points 6
  • Hali ya hewa ,points 4
  • Usafi,points 5
Kwa mtu wa bara atapata ugumu kwenye
  • Aina za vyakula
  • Udini
  • Uhitaji wa vitambulisho
  • Leseni ya udereva kutokukubaliwa
  • Kubaguliwa kwenye baadhi ya huduma.
Bonus: Morogoro

NOTES
Mikoa ambayo sijawahi fika ni Katavi,Mtwara,Geita,Rukwa,Mara,Pemba na Kigoma.
Mpangilio kulingana na niliyo yaona katika mikoa husika.
Unaweza weka orodha yako.
 
Kama unataka hela fanya kazi na watu wa Dar es salaam , au mikoa ya kaskazin hasa Kilimanjaro na Arusha hawa watu hawana bambamba, wamenyooka Sana , mikoa mingine wanaunga unga sana
 
Mtu na akili zako timamu huwezi kwenda kuishi Unguja. Kunawafaa wenyewe tu. Viongozi wao wote wastaafu wanaishi Masaki. Amani Karume mara nyingi sana namuona Kempiski Kilimanjaro hotel anapiga maji
 
Dar hapana unaweza sombwa na hidaya na Mafuriko mda wowote

Ruvuma ni kushoto mwisho wa Nchi hapana.

Kilimanjaro hakuna jipya huko ni eneo la makaburi.

Singida na Manyara ni Mikoa mingine iongeze kwenye List hapo.
 
Dar hapana unaweza sombwa na hidaya na Mafuriko mda wowote

Ruvuma ni kushoto mwisho wa Nchi hapana.

Kilimanjaro hakuna jipya huko ni eneo la makaburi.

Singida na Manyara ni Mikoa mingine iongeze kwenye List hapo.
Singida
  • Kielimu ipo nyuma:vyuo vichache, hata wenyeji kielimu pia muamko mdogo
  • Ardhi kane
  • Maji shida
  • Hali ya hewa mh....
  • Huduma za Afya bado
  • Shughuli za uchumi ndogo
Manyara
Babati ni Wilaya nzuri ina potential kwa miaka ijayo...na hali ya hewa safi sana...
Ila kanakwamba huduma ya ku-print A3 ya rangi ipo sehemu moja tu,jua bado maendeleo...
Wilaya ya Simajiro ni kame sana ...
 
Maisha mazuri hayana uhusiano na Elimu Bali mandhari , upatikanaji wa Huduma muhimu na fursa za kiuchumi
 
Unguja sio mkoa
 
Maisha mazuri hayana uhusiano na Elimu Bali mandhari na upatikanaji wa Huduma muhimu
Katika huduma muhimu,elimu ni mojawapo mkuu....
Kusipokuwa na elimu,,ni ngumu kuona umuhimu wa Hospitali,Kupumzisha ardhi kwenye kilimo,ndoa za utotoni kuwa nyingi,uchafu wa mazingira,,,na imani za shirki zinakuwa nyingi.

Ndiyo mabinti wa Singida wengi wamefanyiwa F.G.M ,wanafanya kazi Bar pale Babati,Kibaha na Arusha.
 
I love Arusha, Mwanza & Morogoro
Morogoro:
Vyakula kwa wingi,bei nzuri....Kilimo kinakubali sana.
Elimu ipo fresh
Usalama upo
Vivutio kibao vya utalii

  • Huduma ya za afya ni kimbembe,Hospitali ya Rufaa,usiku no vipimo.
  • Maji kutoka mara moja kwa wiki
  • Kuna mitaa kuna vumbi siyo la nchi hii,
  • Kuna mitaa Network ni shida
  • Sehemu za bata ni za kuzitafuta sana.
  • Miundombinu ya barabara kuna Wilaya ni shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…