Aiweke wapi Mkuu?Dar es salaam itoe hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiweke wapi Mkuu?Dar es salaam itoe hapo
Wanafunzi laki Moja??????? Acha utaniChukulia milion 4 ndo walio fosiwa, wengine mil 3 ni wazawa.
Sasa hawa mil 4 utawakuta kuna wafanyakazi wa wizara ambaye wizara yake ilikua Dar sasa imehamia Dodoma, mwajiriwa 1 anahamia Dodoma na kundi la watu wasiopungua 7, mfano, House girl wake, dereva wake au dereva wa haice atamfuata mwajiriwa ili aendelee kumpakia, muuza mihogo/chai anamfuata, watoto wake watamfuata huyu mtu mmoja n.k
Lakini pia vyuo vipo vingi Kwa vile n katkat ya nchi chukulia Udom pekee Ina wanafundi wasiopungua laki moja wao wamefosiwa na elimu, wakihitimu huwezi ona wanabaki kwenye Jiji lenye adha kama wanavyobaki kwetu. N.k
Mfumo wa kiutawala wa nchi hii ndio unaibeba DAR na yes wapo wengi tu wanapakubal huko Dar na wapo wengi pia hawapakubali huko Dar, so it's a win win situation ww endelea kuishi huko na Sisi tupo tutaishi Mwanza, Arusha ama Dodoma.Hakuna anayeenda kuchukua mahitaji dampo....
Yan najaribu kuichukia Dar,huku unaikubali kiaina...
well,Kati ya Majiji 6 ya nchi, majiji manne nimeshaishi zaidi ya mwaka...Mfumo wa kiutawala wa nchi hii ndio unaibeba DAR na yes wapo wengi tu wanapakubal huko Dar na wapo wengi pia hawapakubali huko Dar, so it's a win win situation ww endelea kuishi huko na Sisi tupo tutaishi Mwanza, Arusha ama Dodoma.
Nisaidie,Wanafunzi laki Moja??????? Acha utani
Nmekubali sio ndio Jiji kubwa zaid Tz ila mfumo ndio uliharibu na soon tutapunguza kukimbilia huko sababu sshv sio Mwanza au Arusha tu hata mikoa mingne ni mjiniwell,Kati ya Majiji 6 ya nchi, majiji manne nimeshaishi zaidi ya mwaka...
....wewe kubali tu kuwa mkoa wa Dar ni upo juu.....
Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo :
Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia
1. Dar es Salaam
- Upatikanaji wa chakula
- Urahisi wa Usafiri
- Elimu
- Hali ya Hewa
- Huduma za maji
- Mitandao ya simu
- Usalama
- Biashara
Ndiyo mkoa ulioendelea Tanzania kuliko yote.
Kwenye
- Biashara ina points 9
- Mitandao ya simu ina points 9
- Usafiri ina points 9
- Elimu,points 9
- Upatikanaji wa chakula points 8
- Huduma ya maji,points 8
- Usalama,points 7
- Bei ya vyakula ,points 5
- Hali ya hewa ,points 4
- Usafi,points 4
2. Mwanza
Mkoa Tajiri katika Kanda ya Ziwa
Kwenye
- Biashara ina points 8
- Mitandao ya simu ina points 8
- Usafiri ina points 8
- Elimu,points 8
- Upatikanaji wa chakula points 8
- Huduma ya maji,points 7
- Usalama,points 7
- Bei ya vyakula ,points 7
- Hali ya hewa ,points 6
- Usafi,points 5
3. Mbeya
Mkoa ulioendelea zaidi katika Nyanda za juu kusini.
Kwenye...
- Biashara ina points 7
- Mitandao ya simu ina points 6
- Usafiri ina points 6
- Elimu,points 8
- Upatikanaji wa chakula points 9
- Huduma ya maji,points 6
- Usalama,points 6
- Bei ya vyakula ,points 9
- Hali ya hewa ,points 9
- Usafi,points 6
4. Iringa
Moja kati ya mikoa yenye mandhari nzuri hapa nchini.
- Biashara ina points 6
- Mitandao ya simu ina points 6
- Usafiri ina points 5
- Elimu,points 8
- Upatikanaji wa chakula points 9
- Huduma ya maji,points 6
- Usalama,points 6
- Bei ya vyakula ,points 8
- Hali ya hewa ,points 8
- Usafi ,points 9
5. Arusha
Mkoa ambao ndiyo kitovu cha utalii hapa nchini,japo hizo sehemu maarufu za utalii zote zipo nje ya mkoa wa Arusha🤔
Kwenye
6. Ruvuma
- Biashara ina points 6
- Mitandao ya simu ina points 6
- Usafiri ina points 6
- Elimu,points 6
- Upatikanaji wa chakula points 6
- Huduma ya maji,points 5
- Usalama,points 6
- Bei ya vyakula ,points 4
- Hali ya hewa ,points 6
- Usafi,points 5
Huu ni mkoa wenye Ziwa lenye Samaki wengi Afrika.
Kwenye
- Biashara ina points 7
- Mitandao ya simu ina points 6
- Usafiri ina points 5
- Elimu,points 7
- Upatikanaji wa chakula points 9
- Huduma ya maji,points 6
- Usalama,points 7
- Bei ya vyakula ,points 9
- Hali ya hewa ,points 7
- Usafi,points 5
7. Kilimanjaro
Mkoa wenye mlima mrefu Afrika...
Kwenye
- Biashara ina points 6
- Mitandao ya simu ina points 7
- Usafiri ina points 7
- Elimu,points 8
- Upatikanaji wa chakula points 7
- Huduma ya maji,points 8
- Usalama,points 7
- Bei ya vyakula ,points 6
- Hali ya hewa ,points 8
- Usafi,points 9
8. Njombe
Huu mkoa umezungukwa na safu nyingi ya Milima na ndiyo mkoa Baridi kali hapa nchini.
- Biashara ina points 6
- Mitandao ya simu ina points 5
- Usafiri ina points 4
- Elimu,points 6
- Upatikanaji wa chakula points 9
- Huduma ya maji,points 6
- Usalama,points 6
- Bei ya vyakula ,points 9
- Hali ya hewa ,points 8
- Usafi,points 9
9. Dodoma
Makao makuu ya nchi....
Kwenye....
- Biashara ina points 5
- Mitandao ya simu ina points 6
- Usafiri ina points 7
- Elimu,points 8
- Upatikanaji wa chakula points 6
- Huduma ya maji,points 4
- Usalama,points 6
- Bei ya vyakula ,points 4
- Hali ya hewa ,points 4
- Usafi,points 5
10. Unguja
Mkoa Tajiri huko Visiwani.
Kwenye....
Kwa mtu wa bara atapata ugumu kwenye
- Biashara ina points 7
- Mitandao ya simu ina points 8
- Usafiri,points 7
- Elimu,points 8
- Upatikanaji wa chakula points 8
- Huduma ya maji,points 7
- Usalama,points 7
- Bei ya vyakula ,points 6
- Hali ya hewa ,points 4
- Usafi,points 5
Bonus: Morogoro
- Aina za vyakula
- Udini
- Uhitaji wa vitambulisho
- Leseni ya udereva kutokukubaliwa
- Kubaguliwa kwenye baadhi ya huduma.
NOTES
Mikoa ambayo sijawahi fika ni Katavi,Mtwara,Geita,Rukwa,Mara,Pemba na Kigoma.
Mpangilio kulingana na niliyo yaona katika mikoa husika.
Unaweza weka orodha yako.
Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo :
Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia
1. Dar es Salaam
- Upatikanaji wa chakula
- Urahisi wa Usafiri
- Elimu
- Hali ya Hewa
- Huduma za maji
- Mitandao ya simu
- Usalama
- Biashara
Ndiyo mkoa ulioendelea Tanzania kuliko yote.
Kwenye
- Biashara ina points 9
- Mitandao ya simu ina points 9
- Usafiri ina points 9
- Elimu,points 9
- Upatikanaji wa chakula points 8
- Huduma ya maji,points 8
- Usalama,points 7
- Bei ya vyakula ,points 5
- Hali ya hewa ,points 4
- Usafi,points 4
2. Mwanza
Mkoa Tajiri katika Kanda ya Ziwa
Kwenye
- Biashara ina points 8
- Mitandao ya simu ina points 8
- Usafiri ina points 8
- Elimu,points 8
- Upatikanaji wa chakula points 8
- Huduma ya maji,points 7
- Usalama,points 7
- Bei ya vyakula ,points 7
- Hali ya hewa ,points 6
- Usafi,points 5
3. Mbeya
Mkoa ulioendelea zaidi katika Nyanda za juu kusini.
Kwenye...
- Biashara ina points 7
- Mitandao ya simu ina points 6
- Usafiri ina points 6
- Elimu,points 8
- Upatikanaji wa chakula points 9
- Huduma ya maji,points 6
- Usalama,points 6
- Bei ya vyakula ,points 9
- Hali ya hewa ,points 9
- Usafi,points 6
4. Iringa
Moja kati ya mikoa yenye mandhari nzuri hapa nchini.
- Biashara ina points 6
- Mitandao ya simu ina points 6
- Usafiri ina points 5
- Elimu,points 8
- Upatikanaji wa chakula points 9
- Huduma ya maji,points 6
- Usalama,points 6
- Bei ya vyakula ,points 8
- Hali ya hewa ,points 8
- Usafi ,points 9
5. Arusha
Mkoa ambao ndiyo kitovu cha utalii hapa nchini,japo hizo sehemu maarufu za utalii zote zipo nje ya mkoa wa Arusha🤔
Kwenye
6. Ruvuma
- Biashara ina points 6
- Mitandao ya simu ina points 6
- Usafiri ina points 6
- Elimu,points 6
- Upatikanaji wa chakula points 6
- Huduma ya maji,points 5
- Usalama,points 6
- Bei ya vyakula ,points 4
- Hali ya hewa ,points 6
- Usafi,points 5
Huu ni mkoa wenye Ziwa lenye Samaki wengi Afrika.
Kwenye
- Biashara ina points 7
- Mitandao ya simu ina points 6
- Usafiri ina points 5
- Elimu,points 7
- Upatikanaji wa chakula points 9
- Huduma ya maji,points 6
- Usalama,points 7
- Bei ya vyakula ,points 9
- Hali ya hewa ,points 7
- Usafi,points 5
7. Kilimanjaro
Mkoa wenye mlima mrefu Afrika...
Kwenye
- Biashara ina points 6
- Mitandao ya simu ina points 7
- Usafiri ina points 7
- Elimu,points 8
- Upatikanaji wa chakula points 7
- Huduma ya maji,points 8
- Usalama,points 7
- Bei ya vyakula ,points 6
- Hali ya hewa ,points 8
- Usafi,points 9
8. Njombe
Huu mkoa umezungukwa na safu nyingi ya Milima na ndiyo mkoa Baridi kali hapa nchini.
- Biashara ina points 6
- Mitandao ya simu ina points 5
- Usafiri ina points 4
- Elimu,points 6
- Upatikanaji wa chakula points 9
- Huduma ya maji,points 6
- Usalama,points 6
- Bei ya vyakula ,points 9
- Hali ya hewa ,points 8
- Usafi,points 9
9. Dodoma
Makao makuu ya nchi....
Kwenye....
- Biashara ina points 5
- Mitandao ya simu ina points 6
- Usafiri ina points 7
- Elimu,points 8
- Upatikanaji wa chakula points 6
- Huduma ya maji,points 4
- Usalama,points 6
- Bei ya vyakula ,points 4
- Hali ya hewa ,points 4
- Usafi,points 5
10. Unguja
Mkoa Tajiri huko Visiwani.
Kwenye....
Kwa mtu wa bara atapata ugumu kwenye
- Biashara ina points 7
- Mitandao ya simu ina points 8
- Usafiri,points 7
- Elimu,points 8
- Upatikanaji wa chakula points 8
- Huduma ya maji,points 7
- Usalama,points 7
- Bei ya vyakula ,points 6
- Hali ya hewa ,points 4
- Usafi,points 5
Bonus: Morogoro
- Aina za vyakula
- Udini
- Uhitaji wa vitambulisho
- Leseni ya udereva kutokukubaliwa
- Kubaguliwa kwenye baadhi ya huduma.
NOTES
Mikoa ambayo sijawahi fika ni Katavi,Mtwara,Geita,Rukwa,Mara,Pemba na Kigoma.
Mpangilio kulingana na niliyo yaona katika mikoa husika.
Unaweza weka orodha yako.
Njombe haijazungukwa na safu za milima.Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo :
Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia
1. Dar es Salaam
- Upatikanaji wa chakula
- Urahisi wa Usafiri
- Elimu
- Hali ya Hewa
- Huduma za maji
- Mitandao ya simu
- Usalama
- Biashara
Ndiyo mkoa ulioendelea Tanzania kuliko yote.
Kwenye
- Biashara ina points 9
- Mitandao ya simu ina points 9
- Usafiri ina points 9
- Elimu,points 9
- Upatikanaji wa chakula points 8
- Huduma ya maji,points 8
- Usalama,points 7
- Bei ya vyakula ,points 5
- Hali ya hewa ,points 4
- Usafi,points 4
2. Mwanza
Mkoa Tajiri katika Kanda ya Ziwa
Kwenye
- Biashara ina points 8
- Mitandao ya simu ina points 8
- Usafiri ina points 8
- Elimu,points 8
- Upatikanaji wa chakula points 8
- Huduma ya maji,points 7
- Usalama,points 7
- Bei ya vyakula ,points 7
- Hali ya hewa ,points 6
- Usafi,points 5
3. Mbeya
Mkoa ulioendelea zaidi katika Nyanda za juu kusini.
Kwenye...
- Biashara ina points 7
- Mitandao ya simu ina points 6
- Usafiri ina points 6
- Elimu,points 8
- Upatikanaji wa chakula points 9
- Huduma ya maji,points 6
- Usalama,points 6
- Bei ya vyakula ,points 9
- Hali ya hewa ,points 9
- Usafi,points 6
4. Iringa
Moja kati ya mikoa yenye mandhari nzuri hapa nchini.
- Biashara ina points 6
- Mitandao ya simu ina points 6
- Usafiri ina points 5
- Elimu,points 8
- Upatikanaji wa chakula points 9
- Huduma ya maji,points 6
- Usalama,points 6
- Bei ya vyakula ,points 8
- Hali ya hewa ,points 8
- Usafi ,points 9
5. Arusha
Mkoa ambao ndiyo kitovu cha utalii hapa nchini,japo hizo sehemu maarufu za utalii zote zipo nje ya mkoa wa Arusha🤔
Kwenye
6. Ruvuma
- Biashara ina points 6
- Mitandao ya simu ina points 6
- Usafiri ina points 6
- Elimu,points 6
- Upatikanaji wa chakula points 6
- Huduma ya maji,points 5
- Usalama,points 6
- Bei ya vyakula ,points 4
- Hali ya hewa ,points 6
- Usafi,points 5
Huu ni mkoa wenye Ziwa lenye Samaki wengi Afrika.
Kwenye
- Biashara ina points 7
- Mitandao ya simu ina points 6
- Usafiri ina points 5
- Elimu,points 7
- Upatikanaji wa chakula points 9
- Huduma ya maji,points 6
- Usalama,points 7
- Bei ya vyakula ,points 9
- Hali ya hewa ,points 7
- Usafi,points 5
7. Kilimanjaro
Mkoa wenye mlima mrefu Afrika...
Kwenye
- Biashara ina points 6
- Mitandao ya simu ina points 7
- Usafiri ina points 7
- Elimu,points 8
- Upatikanaji wa chakula points 7
- Huduma ya maji,points 8
- Usalama,points 7
- Bei ya vyakula ,points 6
- Hali ya hewa ,points 8
- Usafi,points 9
8. Njombe
Huu mkoa umezungukwa na safu nyingi ya Milima na ndiyo mkoa Baridi kali hapa nchini.
- Biashara ina points 6
- Mitandao ya simu ina points 5
- Usafiri ina points 4
- Elimu,points 6
- Upatikanaji wa chakula points 9
- Huduma ya maji,points 6
- Usalama,points 6
- Bei ya vyakula ,points 9
- Hali ya hewa ,points 8
- Usafi,points 9
9. Dodoma
Makao makuu ya nchi....
Kwenye....
- Biashara ina points 5
- Mitandao ya simu ina points 6
- Usafiri ina points 7
- Elimu,points 8
- Upatikanaji wa chakula points 6
- Huduma ya maji,points 4
- Usalama,points 6
- Bei ya vyakula ,points 4
- Hali ya hewa ,points 4
- Usafi,points 5
10. Unguja
Mkoa Tajiri huko Visiwani.
Kwenye....
Kwa mtu wa bara atapata ugumu kwenye
- Biashara ina points 7
- Mitandao ya simu ina points 8
- Usafiri,points 7
- Elimu,points 8
- Upatikanaji wa chakula points 8
- Huduma ya maji,points 7
- Usalama,points 7
- Bei ya vyakula ,points 6
- Hali ya hewa ,points 4
- Usafi,points 5
Bonus: Morogoro
- Aina za vyakula
- Udini
- Uhitaji wa vitambulisho
- Leseni ya udereva kutokukubaliwa
- Kubaguliwa kwenye baadhi ya huduma.
NOTES
Mikoa ambayo sijawahi fika ni Katavi,Mtwara,Geita,Rukwa,Mara,Pemba na Kigoma.
Mpangilio kulingana na niliyo yaona katika mikoa husika.
Unaweza weka orodha yako.
Laki moja au unamanisha elufu10?.Chukulia milion 4 ndo walio fosiwa, wengine mil 3 ni wazawa.
Sasa hawa mil 4 utawakuta kuna wafanyakazi wa wizara ambaye wizara yake ilikua Dar sasa imehamia Dodoma, mwajiriwa 1 anahamia Dodoma na kundi la watu wasiopungua 7, mfano, House girl wake, dereva wake au dereva wa haice atamfuata mwajiriwa ili aendelee kumpakia, muuza mihogo/chai anamfuata, watoto wake watamfuata huyu mtu mmoja n.k
Lakini pia vyuo vipo vingi Kwa vile n katkat ya nchi chukulia Udom pekee Ina wanafundi wasiopungua laki moja wao wamefosiwa na elimu, wakihitimu huwezi ona wanabaki kwenye Jiji lenye adha kama wanavyobaki kwetu. N.k
We nilishakuweka kushoto.Huyu anaelekea hana exposure au ni ushamba unamsumbua. Europe miji kibao ya kisasa haina fly overs! Na very few skyscrapers! Ukisema tuvitu vitu vya hivyo utaambiwa Dar bado sana. Kwa tuliotembea tunacheka. Yani tu interchange tuwili sijui ti ngapi, mji hauna ata span ya kilometer 20 really? Watu wana ma metro subway, we unaongea nini wewe?
Njombe safu ya Milima Kipengere iliyopo makete na Ludewa...Njombe haijazungukwa na safu za milima.
Asante Mkuu kwa info. Mi nilikuwa naifikiria Njombe mjini.W
Njombe safu ya Milima Kipengere iliyopo makete na Ludewa...
Pia kuna safu ya milima Livingstone inayotenganisha Njombe na Ruvuma na Mbeya...
Magharibi,Kaskazini and Mashariki kuna safu za Milima...
Hizo Wilaya 2 zianunda zaidi 50% ya eneo la Njombe...
Panda reli ya Tazara...utajionea hii.
Mkoa wa njombe eneo lake kubwa niW
Njombe safu ya Milima Kipengere iliyopo makete na Ludewa...
Pia kuna safu ya milima Livingstone inayotenganisha Njombe na Ruvuma na Mbeya...
Magharibi,Kaskazini and Mashariki kuna safu za Milima...
Hizo Wilaya 2 zianunda zaidi 50% ya eneo la Njombe...
Panda reli ya Tazara...utajionea hii.
Aliyeanzisha hii thread ni mtu wa ziwani bila shaka ndio mda wote wanaanzisha vi thread uchwara kuiundermine arusha 😄Wewe bado hujakaa Arusha wewe. Yani Arusha hakuna maji? Chakula gharama? Yani ilitakiwa Arusha ndio iwe ya kwanza. Dar inaongoza kwa wingi wa watu na mzunguko wa pesa basi. Vingine vyote ni kizungumkuti. Maji shida, usafiri tabu, joto kama tanuru, we mzima kweli kichwani?
Napenda huwaogopagi jamaa unawanyooshea hivo hivo 😄Tatizo la Mwanza ni slums na hela hakuna
Nmetoka kuwaambia hapa inaanza arusha sikuzote hizo zingine ndio zinafataWatu mna list tu mikoa Yenu. Hakuna mkoa Bora kuishi kama A- Town. Dar ni joto na miharufu ya ovyo. Kila sehemu ni chafu. Sehemu nyingine ni njombe japo Kuna baridi lakini maisha ni rahisi. Kanda ya ziwa labda kagera ila mikoa mingine ni njaa tu, Dodoma futa kabisa kwenye list, huo mkoa si wakuishi ni ukame Kila kitu kinatoka singida, Iringa na morogoro. Hivyo maisha ya Dom ni gharama maana unaishi jangwani .
Dar ya hovyo sana ,angalia hapa wanavyokaangwa na joto 😂😂👇👇Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo :
Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia
1. Dar es Salaam
- Upatikanaji wa chakula
- Urahisi wa Usafiri
- Elimu
- Hali ya Hewa
- Huduma za maji
- Mitandao ya simu
- Usalama
- Biashara
Ndiyo mkoa ulioendelea Tanzania kuliko yote.
Kwenye
- Biashara ina points 9
- Mitandao ya simu ina points 9
- Usafiri ina points 9
- Elimu,points 9
- Upatikanaji wa chakula points 8
- Huduma ya maji,points 8
- Usalama,points 7
- Bei ya vyakula ,points 5
- Hali ya hewa ,points 4
- Usafi,points 4
2. Mwanza
Mkoa Tajiri katika Kanda ya Ziwa
Kwenye
- Biashara ina points 8
- Mitandao ya simu ina points 8
- Usafiri ina points 8
- Elimu,points 8
- Upatikanaji wa chakula points 8
- Huduma ya maji,points 7
- Usalama,points 7
- Bei ya vyakula ,points 7
- Hali ya hewa ,points 6
- Usafi,points 5
3. Mbeya
Mkoa ulioendelea zaidi katika Nyanda za juu kusini.
Kwenye...
- Biashara ina points 7
- Mitandao ya simu ina points 6
- Usafiri ina points 6
- Elimu,points 8
- Upatikanaji wa chakula points 9
- Huduma ya maji,points 6
- Usalama,points 6
- Bei ya vyakula ,points 9
- Hali ya hewa ,points 9
- Usafi,points 6
4. Iringa
Moja kati ya mikoa yenye mandhari nzuri hapa nchini.
- Biashara ina points 6
- Mitandao ya simu ina points 6
- Usafiri ina points 5
- Elimu,points 8
- Upatikanaji wa chakula points 9
- Huduma ya maji,points 6
- Usalama,points 6
- Bei ya vyakula ,points 8
- Hali ya hewa ,points 8
- Usafi ,points 9
5. Arusha
Mkoa ambao ndiyo kitovu cha utalii hapa nchini,japo hizo sehemu maarufu za utalii zote zipo nje ya mkoa wa Arusha🤔
Kwenye
6. Ruvuma
- Biashara ina points 6
- Mitandao ya simu ina points 6
- Usafiri ina points 6
- Elimu,points 6
- Upatikanaji wa chakula points 6
- Huduma ya maji,points 5
- Usalama,points 6
- Bei ya vyakula ,points 4
- Hali ya hewa ,points 6
- Usafi,points 5
Huu ni mkoa wenye Ziwa lenye Samaki wengi Afrika.
Kwenye
- Biashara ina points 7
- Mitandao ya simu ina points 6
- Usafiri ina points 5
- Elimu,points 7
- Upatikanaji wa chakula points 9
- Huduma ya maji,points 6
- Usalama,points 7
- Bei ya vyakula ,points 9
- Hali ya hewa ,points 7
- Usafi,points 5
7. Kilimanjaro
Mkoa wenye mlima mrefu Afrika...
Kwenye
- Biashara ina points 6
- Mitandao ya simu ina points 7
- Usafiri ina points 7
- Elimu,points 8
- Upatikanaji wa chakula points 7
- Huduma ya maji,points 8
- Usalama,points 7
- Bei ya vyakula ,points 6
- Hali ya hewa ,points 8
- Usafi,points 9
8. Njombe
Huu mkoa umezungukwa na safu nyingi ya Milima na ndiyo mkoa Baridi kali hapa nchini.
- Biashara ina points 6
- Mitandao ya simu ina points 5
- Usafiri ina points 4
- Elimu,points 6
- Upatikanaji wa chakula points 9
- Huduma ya maji,points 6
- Usalama,points 6
- Bei ya vyakula ,points 9
- Hali ya hewa ,points 8
- Usafi,points 9
9. Dodoma
Makao makuu ya nchi....
Kwenye....
- Biashara ina points 5
- Mitandao ya simu ina points 6
- Usafiri ina points 7
- Elimu,points 8
- Upatikanaji wa chakula points 6
- Huduma ya maji,points 4
- Usalama,points 6
- Bei ya vyakula ,points 4
- Hali ya hewa ,points 4
- Usafi,points 5
10. Unguja
Mkoa Tajiri huko Visiwani.
Kwenye....
Kwa mtu wa bara atapata ugumu kwenye
- Biashara ina points 7
- Mitandao ya simu ina points 8
- Usafiri,points 7
- Elimu,points 8
- Upatikanaji wa chakula points 8
- Huduma ya maji,points 7
- Usalama,points 7
- Bei ya vyakula ,points 6
- Hali ya hewa ,points 4
- Usafi,points 5
Bonus: Morogoro
- Aina za vyakula
- Udini
- Uhitaji wa vitambulisho
- Leseni ya udereva kutokukubaliwa
- Kubaguliwa kwenye baadhi ya huduma.
NOTES
Mikoa ambayo sijawahi fika ni Katavi,Mtwara,Geita,Rukwa,Mara,Pemba na Kigoma.
Mpangilio kulingana na niliyo yaona katika mikoa husika.
Unaweza weka orodha yako.