Basi tuindoe kwenye modern cities. Hiyo rapid transit tamu kwa kingereza nenda basi pale msimbazi au fire ,utajua hujui. Dar bado budaa. Anyways nimekaa miji ya ulaya mingi tu, mfano Maastricht na Basel. Ni modern ila haina kila kitu unachosema. Point yangu ni kwamba vigezo ulivotumia kuiita dar eti ni modern kuliko Arusha based on infrastructure ni null. Arusha wana by pass ways kubwa dar hakuna. Kila mahali kuna kitu kwa sababu. Before 2006, na mpaka sasa Arusha ilikuwa na watumiaji wengi wa internet per area kuliko dar! Unajua bana watu wa dar wako na tabu sana ya "kudhania" , wao ni bora sababu ya 123. Ni kweli hatukatai dar ndio mji mkubwa lakini sio kwamba unaongoza kwa kila jambo. Dar ina mengi tu ya kujifunza pengine.
Kwa miji ya Ulaya nasema Dar bado.
Ila nazungumzia kwa Tanzania Dar es salaam is the modern city.
Arusha bado nimefika mzee Arusha kaifananishe na Mwanza.
Kwa miundombinu iliyopo na inayoendelea kujengwa Dar basi Dar is the only modern city hapa TZ.
Bypass sio kitu cha ajabu mzee.
Unasifia mji kuwa na bypass!?
You can't be serious.
Na kwa Dar bypass zinajengwa sasa hivi ikiwemo Kigamboni bypass ipo,Msimbazi centre ipo,Mbezi Luis ipo na sehemu zingine bypass zinajengwa
Kuna VITU VINGI SANA DAR vipo ARUSHA HAKUNA.
Arusha kuuita modern city ni matusi.
Maana miji mingi ya kisasa ina sifa ambazo Dar es salaam inazo.
Ninaongea kwasababu Arusha nimefika.
Huwezi kuita Arusha modern city kamwe.
Ila tufanye yameisha.
Basel bro sifa hizo zipo hakuna kitu cha kosekana Basel katika hizo sifa nilizotaja labda rapid transit ila flyover,skyscraper n.k n.k vipo.
Ila tufanye mjadala umeisha mkuu tufanye umeshinda.