Kwa mimi mkuu Morogoro imeendelea kuliko Unguja kwa aspects zifuatazo,maana Unguja nilifika;
1)Morogoro sehemu nyingi za mjini zinajengwa kimipango miji kuliko Unguja unplanned settlements nyingi.
2)Maisha bei rahisi interms of vyakula hata mortigages.
3)Kuna shule nyingi kubwa na kongwe mathalan Kilakala,Moroseco,Forest hill.
4)Kuna vyuo vingi tena vikubwa mathalan SUA university,huwezi fananisha na Mwalimu Nyerere cha Bububu skuli.
5)Morogoro kuna potentials nyingi za uwekezaji na utafutaji mathalan viwanda,kilimo,biashara ndogo na kubwa,ufugaji,uchimbaji madini n.k n.k.
Pa kuishi bora uishi Morogoro mkuu.