greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
- Thread starter
-
- #221
Pwani inaetgemea sana Dar....Yaani Pwani haipo?
Yeah...Morogoro.....harafu unataja UNGUJa. Kweli
Mmenipata kwenye kuoa...Karibuni Kanda Maalum Mara, mkoa uliojaa upendo, umoja, na mshikamano mje kuwekeza, kuoa, ama kuishi
Ushakaa Mbweni /Ada estate au Msasani Peninsula...?Karibu hapa, Kwa Andrew zamani T garden. Mimi mtoto wa town kitambo braza ila ndo ivo tena tuna i overrate Dar sana. Its ahead but not proper. Nimeishi kote. Sio kufika tu.
Wakati wa mvua ama?Ushakaa Mbweni /Ada estate au Msasani Peninsula...?
Chukulia milion 4 ndo walio fosiwa, wengine mil 3 ni wazawa.Watu 700k wamsfosiwa na nani?
Kaka endelea na mjadala ila ukitaka kuingia malumbano ya hoja na huyo jamaa🤣🤣🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️utashika kichwa.Ushakaa Mbweni /Ada estate au Msasani Peninsula...?
Kwa mimi mkuu Morogoro imeendelea kuliko Unguja kwa aspects zifuatazo,maana Unguja nilifika;Yeah...
Unguja imeendelea sana kuliko Morogoro....
- Vyuo vingi
- Biashara kubwa
- Bandari
- Uwanja wa ndege
- Wilaya zake zote zimeunganishwa kwa barabara
- Usafiri mwepesi
- Usalama wa hali ya juu,C.C.T.V kila kona pale mjini.
- Huduma ya maji ya uhakika
Sawa sawa ,unguja huyu atakuwa mdogo wake huseinKwa mimi mkuu Morogoro imeendelea kuliko Unguja kwa aspects zifuatazo,maana Unguja nilifika;
1)Morogoro sehemu nyingi za mjini zinajengwa kimipango miji kuliko Unguja unplanned settlements nyingi.
2)Maisha bei rahisi interms of vyakula hata mortigages.
3)Kuna shule nyingi kubwa na kongwe mathalan Kilakala,Moroseco,Forest hill.
4)Kuna vyuo vingi tena vikubwa mathalan SUA university,huwezi fananisha na Mwalimu Nyerere cha Bububu skuli.
5)Morogoro kuna potentials nyingi za uwekezaji na utafutaji mathalan viwanda,kilimo,biashara ndogo na kubwa,ufugaji,uchimbaji madini n.k n.k.
Pa kuishi bora uishi Morogoro mkuu.
Hussein yupi tena mkuu!?Sawa sawa ,unguja huyu atakuwa mdogo wake husein
Kumbe unataka kusemaje sasa kama mataa ndio hayo mnajkutaaa kumbe hovyo tu now nchi imebadilika DAR ni sokoni tu tunakuja kujumua then tunapta hv
Kwhyo unataka kusema nn!? Hyo n Mwanza uktaka na Arusha nakuletea msitutishie hyo Dar wenzenu tushapafanya ni sokoni
Mtu asienachogo kabisa hayupo vizuri magorofani.Huwa wanajisifu kwa kukosa vichogo, yaan nashindwa kuelewa...sijui huwasaidia nini?
Dar ni kama maji katika maisha...kama hauja tumia kupikia, au kunywa basi jua utayaoga.Kumbe unataka kusemaje sasa kama mataa ndio hayo mnajkutaaa kumbe hovyo tu now nchi imebadilika DAR ni sokoni tu tunakuja kujumua then tunapta hv
Kwhyo unataka kusema nn!? Hyo n Mwanza uktaka na Arusha nakuletea msitutishie hyo Dar wenzenu tushapafanya ni sokoni
Nyakati zoteWakati wa mvua ama?
Dar ni kama Sokoni/dampo vtu vyote vpo huko, kwhyo lazma tuje.Dar ni kama maji katika maisha...kama hauja tumia kupikia, au kunywa basi jua utayaoga.
Hakuna anayeenda kuchukua mahitaji dampo....Dar ni kama Sokoni/dampo vtu vyote vpo huko, kwhyo lazma tuje.
Mara bado....Mara mbona haupo Hapo. Mkoa wenye Samaki kwa wingi, muhogo, mtama,Ndizi,n.k.