Mikoa 10 bora ya kuishi Tanzania

Wanafunzi laki Moja??????? Acha utani
 
Hakuna anayeenda kuchukua mahitaji dampo....
Yan najaribu kuichukia Dar,huku unaikubali kiaina...
Mfumo wa kiutawala wa nchi hii ndio unaibeba DAR na yes wapo wengi tu wanapakubal huko Dar na wapo wengi pia hawapakubali huko Dar, so it's a win win situation ww endelea kuishi huko na Sisi tupo tutaishi Mwanza, Arusha ama Dodoma.
 
Mfumo wa kiutawala wa nchi hii ndio unaibeba DAR na yes wapo wengi tu wanapakubal huko Dar na wapo wengi pia hawapakubali huko Dar, so it's a win win situation ww endelea kuishi huko na Sisi tupo tutaishi Mwanza, Arusha ama Dodoma.
well,Kati ya Majiji 6 ya nchi, majiji manne nimeshaishi zaidi ya mwaka...
....wewe kubali tu kuwa mkoa wa Dar ni upo juu.....
 
Njombe haijazungukwa na safu za milima.
 
Laki moja au unamanisha elufu10?.
 
We nilishakuweka kushoto.
First waonekana mshamba second unajibaraguza umetembea kumbe kapuku tu.
SISI TUMETEMBEA ZAIDI YAKO.
Unajisifu umetembea ilhali umeishia Tandale my foot!?
Kichwa chako.
Embu nitajie mji wa kisasa Europe usiokuwa na miundombinu yeyote ya usafiri ya kisasa(flyover/interchange/expressway)!??
πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†Nataka jibu hapo.
[/QUOTE]
Ushafika Washington DC. ? Rome? Yani we unadhani kila mahali ni washamba wa skyscrapers!? Watu wana preserve heritage zao. Ndio maana washamba wa Dar wakiona mji una miti mingi wanadhani ni kijijini. Alafu kwanza hizo structures za Dar jamani ni za kawaida sana yani, ni kutokana na mpangilio mbovu wa mji.
[/QUOTE]

dc
 
W
Njombe haijazungukwa na safu za milima.
Njombe safu ya Milima Kipengere iliyopo makete na Ludewa...
Pia kuna safu ya milima Livingstone inayotenganisha Njombe na Ruvuma na Mbeya...
Magharibi,Kaskazini and Mashariki kuna safu za Milima...
Hizo Wilaya 2 zianunda zaidi 50% ya eneo la Njombe...

Panda reli ya Tazara...utajionea hii.
 
Asante Mkuu kwa info. Mi nilikuwa naifikiria Njombe mjini.
 
Mkoa wa njombe eneo lake kubwa ni
Milima ni halmashauri tatu tu hazina milima makambako tc ,wangingombe DC na njombe DC kwingine kote ni milima sawa na mkoa wa iringa ,mbeya nk
 
Aliyeanzisha hii thread ni mtu wa ziwani bila shaka ndio mda wote wanaanzisha vi thread uchwara kuiundermine arusha πŸ˜„
Lakin ukweli usiopingika arusha ndio best place hapa nchini by far
Kuanzia hali ya hewa upatikanaji wahuduma n.k
 
Nmetoka kuwaambia hapa inaanza arusha sikuzote hizo zingine ndio zinafata
 
Dar ya hovyo sana ,angalia hapa wanavyokaangwa na joto πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DGu9WWQgqQs/?igsh=MWZkcnNwM3lhNDRvMQ==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…