Mikoa 10 iliyoongoza kwa ripoti za Matukio ya Ukatili wa Kijinsia Tanzania kwa mwaka 2022/23

Mikoa 10 iliyoongoza kwa ripoti za Matukio ya Ukatili wa Kijinsia Tanzania kwa mwaka 2022/23

Tusisahau kuwa dar es salaam ni mseto wa wanajamii kutoka mikoa mbali mbali. Kuna watu wanakuja na matabia yao ya hovyo huku Dar so usishangae kama matukio yao yakaripotiwa huku.
 
Ulitumia research factor au reference gani kujua miongoni mwa walionyanyasa Ke hapo Dar si wa kanda hiyo?
Ficha ujinga wako, narudia tena ficha ujinga wako.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Ukatili wa kijinsia jijini Dar es salaam hasa upo Kitunda, Kipunguni, Mwanagati, Kinyantila, Pugu, mvuti, Gongolamboto, Kigamboni na vitongoji vyake, hayo ndiyo maeneo waliyojazana watu wenye asili ya kanda ya ziwa.
Kesi zao nyingi utazikuta Polisi Buguruni na Polisi Kigamboni.
Nenda kwenye hivyo vituo utaambiwa kinachoendelea huko.
 
Umeona wapi research yangu?Nani kaandika kwamba sio wa Kanda ya Dar?Unajua kusoma na kuelewa ulichosoma?Usinilishe maneno.Uwezo wako wa kujadili mada ni mdogo unarukaruka tu bila kufuata mpangilio wa kuunga mkono hoja au kupinga.
Elimu yako haikusaidii kujua unalotakiwa kujua.
Ulikuwa na uhalali gani wa kutojumuisha mikoa mingine ya kanda hiyo kuwa laiti ingetajwa ilihali unajizima data kuwa Dar si kanda hiyo hiyo?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Tatizo kubwa ni ukosefu wa Elimu. Mwamko wa Elimu bado upo chini.
Sehemu gn Kanda Ya Ziwa hain mwamko wa Elimu !? Morogoro ni Kanda ya nyonyo!? Mtwara, Lindi, Katavi ,Njombe na Songea ni KandaYaZiwa!? Ficha ujinga wako na utoto.

Nitajie mikoa inayozd lakeZone kwa Elimu, tuna Kagera, Mwanza ,Mara na wakushndana na sisi kwenye elimu ni Kaskazin tu lbd na Dar.
 
Tumeanza na wanawake get ready soon nitaendelea na nyie wanaume si mnatuogopa !?
Watu wa Kanda ya ziwa waliolundikana Dar ndiyo wanaoharibu sifa nzuri za jiji hilo.
Kwa kawaida wenyeji wa ukanda huo hawana tabia za ukatili wa kijinsia.
Ndiyo maana unaona mkoa wa Pwani na mikoa jirani ya Lindi na Morogoro hawamo kwenye orodha hiyo.
 
Na
Tusisahau kuwa dar es salaam ni mseto wa wanajamii kutoka mikoa mbali mbali. Kuna watu wanakuja na matabia yao ya hovyo huku Dar so usishangae kama matukio yao yakaripotiwa huku.
Na tukiwaambia watu wa KandaYaZiwa ndio kila ktu kwenye nchi hii mnakuwa wabishi sasa mmeanza kukubali
 
Njombe inakosekana vipi?

Au wahanga wengi wanaogopa kusema?
Wale Jamaa wakigombana na wake zao, wanawapa adhabu ya kuwafir@.
 
Dar es Salaam - 13,719
Shinyanga - 12,300
Mara - 9,823
Mwanza - 9,242
Geita - 7,697
Kigoma - 7,544
Kagera - 7496
Tabora - 7,471
Ruvuma - 7,425
Tanga - 6,827

Chanzo: Wizara ya Afya
intmstanbul

ukuye huku kagera nayo imo.
kila ripoti mbaya lazma kagera iwemo kulikoni?
 
Sehemu gn Kanda Ya Ziwa hain mwamko wa Elimu !? Morogoro ni Kanda ya nyonyo!? Mtwara, Lindi, Katavi ,Njombe na Songea ni KandaYaZiwa!? Ficha ujinga wako na utoto.

Nitajie mikoa inayozd lakeZone kwa Elimu, tuna Kagera, Mwanza ,Mara na wakushndana na sisi kwenye elimu ni Kaskazin tu lbd na Dar.
Utoto haufichwi, vinginevyo kama mwenye huo utoto kafunzwa kuuishi unafiki.

Kuuficha ujinga ni sawa na kuchagua kuwa mjinga milele. Ambao hawajafunga ndoa na ujinga huuweka wazi ujinga wao ili wapate msaada.

Nimeishi Mwanza, Geita, Kigoma, na Shinyanga.

Ukiacha maeneo ya mijini, maeneo mengine mengi bado Elimu haipewi lipaumbele.

Misungwi mkoani Mwanza nilikuta kesi za wazazi kuwashauri watoto wao wajaze uongo kwenye mitihani ya darasa la saba ili wasichaguliwe kwenda Sekondari.

Misungwi, msichana wa shule ya Msingi alinusurika kuachishwa shule na baba yake ili aolewe na mwanaume mtu mzima. Kama taarifa za kiitelijensia zisingemfikia mkuu wa wilaya huyo binti angeachishwa shule.

Nimejionea hali ya kielimu ilivyo mbaya Geita vijijini. Shule siyo kipaumbele kwa watu wengi.
 
Sehemu gn Kanda Ya Ziwa hain mwamko wa Elimu !? Morogoro ni Kanda ya nyonyo!? Mtwara, Lindi, Katavi ,Njombe na Songea ni KandaYaZiwa!? Ficha ujinga wako na utoto.

Nitajie mikoa inayozd lakeZone kwa Elimu, tuna Kagera, Mwanza ,Mara na wakushndana na sisi kwenye elimu ni Kaskazin tu lbd na Dar.
Matukio kama haya ni nadra sana penye mwamko wa Elimu.
 
Attachments

  • CHEKI_MKUU_wa_WILAYA_ALIVYOZUIA_MWANAFUNZI_ASIOLEWE_kwa_MIL_2_MWANZA,_WAZAZI_WABANANISHWA,_WAF...mp4
    17.6 MB
Ripoti hii ingekuwa zinazoongoza Pwani,Lindi na Mtwara wangekuja wavimba macho na kuihusisha na dini.Ilivyo sasa hutasikia hayo bali mikoa inayoongozwa haina wastaarabu ikiongozwa na Dar.
Hapa FaizaFoxy anachekelea tu
 
Wasukuma wamehamiwa kwa wingi daslam na kufanya daslam iwe kinara
 
Back
Top Bottom