Mikoa 10 ya Tanzania ambayo Wakazi wake wana Maendeleo na Kipato kikubwa

Nikiona hoja halisi, nitazijadili, na hoja hafifu/batili nitazieleza kama zilivyo. Mara nyingi unakuja humu na hoja batili, na kama ni hoja halisi unaweka tafsiri iliyo batili. Hilo ndilo ninalokueleza mara nyingi, hata kama hupendi kusikia.
Bila shaka wewe ni wa kagera maana sio kwa povu hilo
NB
Namba hazidanganyi [emoji3][emoji3]
 
Nikiona hoja halisi, nitazijadili, na hoja hafifu/batili nitazieleza kama zilivyo. Mara nyingi unakuja humu na hoja batili, na kama ni hoja halisi unaweka tafsiri iliyo batili. Hilo ndilo ninalokueleza mara nyingi, hata kama hupendi kusikia.
Kama huwezi jadili hoja pita kushoto acha shobo
 
Upendeleo wa kiaje?
Natafuta quotation ya Dr. Magu nikuwekee, kuwa Mikoa mingine isubiri tushughulike na kusini kwanza. Yeye badala ya kutengeneza purposefull interaction ya jamii za Kusini na zile zilizopiga hatua,akaamua azibe sehemu moja. Hata hivyo, angekuwa hai leo angekuwa na la kujifunza, kuwa maendeleo ni inborn spirit inayoambatana na creativity na exposure.
 
Kauli na matendo ni sawa? Huyo unaemsema aliongea kama nani? Niwekee hapa ushahidi wa Kusini ikipendelewa
 
Arusha ni ya pili kwa makusanyo ya TRA
Pato ni mkusanyiko wa shughuli zote za kiuchumi kwenye eneo husika
Hata kama , bado pato Lao litakua kubwa na kwakua wanachangia asilimia kubwa kwenye pato la Taifa,

Basi wanastahili kuangaliwa kwa jicho la kipekee kwenye miradi ya maendeleo jambo ambalo halifanyiki.

Ingawa wanachakia bakubwa ila hawana hata stendi hapo mjini

Kuna maeneo ni makame mno maji hakuna.

Serikali inapaswa kuungalia huu mkoa kipekee.
 
Sibishani na data, ila kwa maono yangu dar haifai kuwa kwenye list wakazi wake wengi choka mbaya, shinyanga hususani kahama bila kuwa kwenye list sio sahihi
 
Takwimu za kupika
 
Kumbe una akili sana sema kuna kipindi unajizima data.
 
Unajua hizi takwimu zina shida kubwa.
Mfano mbaazi inayolimwa huko Babati au Arusha ikiuzwa nje ya nchi kupitia bandari ya Dar hesabu za TRA zitasoma mapato ni Dar.
Hizo takwimu zinachukuliwa kwenye kaya. Unaulizwa unazalisha nini kwa mwaka. Mfano. Miti ekari 100 , mahindi, maharagwe etc. Hivyo mbaazi za babati anayehesabiwa ni mkulima
 
Hivi kunawajinga kama mateka wa mzee Mbowe hapa nchini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…