luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Bila shaka wewe ni wa kagera maana sio kwa povu hiloNikiona hoja halisi, nitazijadili, na hoja hafifu/batili nitazieleza kama zilivyo. Mara nyingi unakuja humu na hoja batili, na kama ni hoja halisi unaweka tafsiri iliyo batili. Hilo ndilo ninalokueleza mara nyingi, hata kama hupendi kusikia.
NB
Namba hazidanganyi [emoji3][emoji3]