Sahihi KabisaaDodoma kwa sehemu kubwa hata kufika hapo waishukuru Serikali. Dodoma haina viwanda kwa sehemu kubwa inategemea Bunge na vyuo na uwepo wa Serikali
Kwa hiyo Vyuo na Bunge ndio vinaleta hela?Dodoma kwa sehemu kubwa hata kufika hapo waishukuru Serikali. Dodoma haina viwanda kwa sehemu kubwa inategemea Bunge na vyuo na uwepo wa Serikali
Umenotice kwamba badala ya kujibu umetafuta ufananisho?Tanzania wote hio mikoa ambayo wewe unaita sio masikini wana pesa ya chakula hata cha siku moja ? Bora sehemu ambazo hazina ukame wanaweza wakapata chakula na wana malazi (ndani ya kajumba) majority huko kwenye so called mikoa ambayo sio masikini wanakaa kwenye slums
Ni wapi Tanzania wakiumwa wanamudu gharama za matibabu au haujatembelea hospitali watu hadi maiti zinawekwa rehani ?
Ni wapi likitokea janga wanajiendesha.., tena achana na janga la once in a lifetime kuna watu Dar kila mvua zikinyesha mito inahamia sebuleni kwao
Nimekujibu na nimejibu tangia mwanzo huwezi kusema sehemu fulani ni matajiri sababu ya kipato bila kuweka uwiano wa gharama za maisha... na at the very least people need basic needs ambazo kwa macho ya kawaida mtu anayeishi kijijini anakashamba kake ana kajumba kake anafuata maji mtoni au mvua sio za shida hence anateka maji na akiugua ana miti shamba yake anajipatia basic needs ni bora kuliko hao majority huko mijini ambao ni mafukara lakini wanabebwa na ma tycoon wachache ambao wanaingiza kipato na ziada (ukizingatia kipato cha huyo tycoon kinagawiwa kwa wengine on average)....Umenotice kwamba badala ya kujibu umetafuta ufananisho?
Hapohapo hizo sehemu zingine hata kwa kutumia hii factor zinaiacha Kagera
Pwani imewh kutoa maraisi wawili, mtwara imetoa mmoja. Lakin wanatoka maskini huko aibu!Kagera tena?
Singida tena kwa mshika mikoba?
Pwani tena yenye mawazi zaidi ya wanne na Mheshimiwa mstaafu?
Definition Iko wazi,kama nyie ni wengi na mnazalisha kiduchu hapo si mnajikimu ,Sasa inahitaji definition gani tofauti na hiyo kujua kwamba nyie ni maskini? 🤣🤣Nimekujibu na nimejibu tangia mwanzo huwezi kusema sehemu fulani ni matajiri sababu ya kipato bila kuweka uwiano wa gharama za maisha... na at the very least people need basic needs ambazo kwa macho ya kawaida mtu anayeishi kijijini anakashamba kake ana kajumba kake anafuata maji mtoni au mvua sio za shida hence anateka maji na akiugua ana miti shamba yake anajipatia basic needs ni bora kuliko hao majority huko mijini ambao ni mafukara lakini wanabebwa na ma tycoon wachache ambao wanaingiza kipato na ziada (ukizingatia kipato cha huyo tycoon kinagawiwa kwa wengine on average)....
Kwahio we need a definition ya umasikini kwa perception ya mazingira husika (ingawa when push comes to shove majority Tanzania na katika mikoa mingi hususan hio so called tajiri watu income yao haikidhi mahitaji yao)... Its all about sustainability...
Kigoma itaondoka kwenye Hilo kundi miaka 5 ijayo kutokana na uwekezaji wa Serikali unaendelea kwenye sekta ya miundombinu ya kiuchumi na kijamii.Nilidhani Kigoma inaongoza
Mnazalisha nini ? Kuna Continent ambayo inazalisha raw materials kuliko Afrika ? Kuna watu wanazalisha Kuku huko kijijini lakini hata hawajawahi kula kuku sababu huyo kuku ndio wanamuuza ili wanunue mpunga....Definition Iko wazi,kama nyie ni wengi na mnazalisha kiduchu hapo si mnajikimu ,Sasa inahitaji definition gani tofauti na hiyo kujua kwamba nyie ni maskini? 🤣🤣
DuhNimekujibu na nimejibu tangia mwanzo huwezi kusema sehemu fulani ni matajiri sababu ya kipato bila kuweka uwiano wa gharama za maisha... na at the very least people need basic needs ambazo kwa macho ya kawaida mtu anayeishi kijijini anakashamba kake ana kajumba kake anafuata maji mtoni au mvua sio za shida hence anateka maji na akiugua ana miti shamba yake anajipatia basic needs ni bora kuliko hao majority huko mijini ambao ni mafukara lakini wanabebwa na ma tycoon wachache ambao wanaingiza kipato na ziada (ukizingatia kipato cha huyo tycoon kinagawiwa kwa wengine on average)....
Kwahio we need a definition ya umasikini kwa perception ya mazingira husika (ingawa when push comes to shove majority Tanzania na katika mikoa mingi hususan hio so called tajiri watu income yao haikidhi mahitaji yao)... Its all about sustainability...
Ukijua definition ya GDP hutouliza tena maswali yasiyo na akili Wala kutoa maelezo yasiyo na maana.Mnazalisha nini ? Kuna Continent ambayo inazalisha raw materials kuliko Afrika ? Kuna watu wanazalisha Kuku huko kijijini lakini hata hawajawahi kula kuku sababu huyo kuku ndio wanamuuza ili wanunue mpunga....
Kuna nchi kutokana na marginalization na power of corruption na kudanganywa ni kwamba mnakopeshwa ili mzalisha ili muwauzie wao kwa bei wanayotaka na mwisho wa siku muwalipe riba maisha yenu yote (wao hawazalishi ila nyie ndio mnawazalishie)
Kati ya mtumwa na Mtwana nani alikuwa anazalisha na yupi alikuwa anakidhi basic needs zao ?
Kama umasikini ni opposite ya utajiri na utajiri ni mtu kuweza kukidhi mahitaji yake yote bila kujinyima na kubakiwa na savings basi huyo ni tajiri na utajiri hauwezi ukapimwa kwa kipato cha mtu bila kujua matumizi yake...
Kwahio unaongelea mkoa fukara na sio mikoa yenye watu mafukara ? au unadhani yote ni sawa ?Ukijua definition ya GDP hutouliza tena maswali yasiyo na akili Wala kutoa maelezo yasiyo na maana.
Kagera ni Mkoa fukara sana hapa Tanzania
Ndani ya Mkoa wanaishi fisi ndio fukara au?Kwahio unaongelea mkoa fukara na sio mikoa yenye watu mafukara ? au unadhani yote ni sawa ?
Wahaya wametembea duniani zamani kabla ya uhuru, Nyerere mjanja wenu aliwakuta makerere akaenda Edimburg akawakutaKila Siku Huwa nawaambia wahaya waje Kilimanjaro tuwafundishe uchumi hawataki
instanbul , mliberali ,The Great Haya ,DR HAYA LAND wacheni viburi njooni kwa waalimu wenu Kilimanjaro mpate lecture
Hamna kitu.Ishomile hawapapendi kwao .
Uchumi wa kibaguzi, ardhi ya hovyo, mnachoringia ni watalii wapanda milima hamna cha ziada pia idadi ndogo ya watu huko ndio inafanya per capita hiwe kubwa, nakuonekana mkoa wa kipato kikubwa, watu wenu wanakimbilia mijini, hasa Dar, Mwanza na arusha kwa utafutaji na kuacha mahema ya kuzikia na kutambika.Kila Siku Huwa nawaambia wahaya waje Kilimanjaro tuwafundishe uchumi hawataki
instanbul , mliberali ,The Great Haya ,DR HAYA LAND wacheni viburi njooni kwa waalimu wenu Kilimanjaro mpate lecture
Kwamba Kagera hapajajengwa?? Tupe idadi ya maghorofa kutoka kwenye sensa ya 2022Akina nshomile walikwenda kujenga mikoa mingine! Nafikiri walikimbizwa na janga la Ukimwi ndiyo maana mkoa wao ni moja ya mikoa maskini.
Uwe unaelewa kwanza mimi nimeongelea mzalishaji mkubwa au basi tuseme anaeingiza pesa nyingi za kahawa ni nani??Kilimanjaro ndio inaongoza kwa kuuza kahawa nje
Unaonekana unarukia tu kusema GDP ila hujui ikoje, nilikwambia ulete vyanzo huo utajiri kwa hiyo mikoa we unapiga porojo tu. Unachotuaminisha na tunachokikuta huko kwenye mikoa so called matajiri mbona tofauti??Ukijua definition ya GDP hutouliza tena maswali yasiyo na akili Wala kutoa maelezo yasiyo na maana.
Kagera ni Mkoa fukara sana hapa Tanzania
Najua vyanzo vya ufukara na umaskini wa watu wa Kagera tuu 😁😁Unaonekana unarukia tu kusema GDP ila hujui ikoje, nilikwambia ulete vyanzo huo utajiri kwa hiyo mikoa we unapiga porojo tu. Unachotuaminisha na tunachokikuta huko kwenye mikoa so called matajiri mbona tofauti??