Mikoa 10 Yenye Watu Maskini Zaidi Tanzania: Kagera namba 2, Dodoma namba 5. Nini Kinaiponza Mikoa Hii Maarufu?

Dodoma kwa sehemu kubwa hata kufika hapo waishukuru Serikali. Dodoma haina viwanda kwa sehemu kubwa inategemea Bunge na vyuo na uwepo wa Serikali
Kwa hiyo Vyuo na Bunge ndio vinaleta hela?

Pwani inaongoza Kwa viwanda umeona inaikaribia Dodoma?

Mzee pesa Iko kwenye shughuli za service industry zaidi na sio hayo uliyoyasema wewe.
 
Tanzania wote hio mikoa ambayo wewe unaita sio masikini wana pesa ya chakula hata cha siku moja ? Bora sehemu ambazo hazina ukame wanaweza wakapata chakula na wana malazi (ndani ya kajumba) majority huko kwenye so called mikoa ambayo sio masikini wanakaa kwenye slums

Ni wapi Tanzania wakiumwa wanamudu gharama za matibabu au haujatembelea hospitali watu hadi maiti zinawekwa rehani ?

Ni wapi likitokea janga wanajiendesha.., tena achana na janga la once in a lifetime kuna watu Dar kila mvua zikinyesha mito inahamia sebuleni kwao
Umenotice kwamba badala ya kujibu umetafuta ufananisho?

Hapohapo hizo sehemu zingine hata kwa kutumia hii factor zinaiacha Kagera
 
Nimekujibu na nimejibu tangia mwanzo huwezi kusema sehemu fulani ni matajiri sababu ya kipato bila kuweka uwiano wa gharama za maisha... na at the very least people need basic needs ambazo kwa macho ya kawaida mtu anayeishi kijijini anakashamba kake ana kajumba kake anafuata maji mtoni au mvua sio za shida hence anateka maji na akiugua ana miti shamba yake anajipatia basic needs ni bora kuliko hao majority huko mijini ambao ni mafukara lakini wanabebwa na ma tycoon wachache ambao wanaingiza kipato na ziada (ukizingatia kipato cha huyo tycoon kinagawiwa kwa wengine on average)....

Kwahio we need a definition ya umasikini kwa perception ya mazingira husika (ingawa when push comes to shove majority Tanzania na katika mikoa mingi hususan hio so called tajiri watu income yao haikidhi mahitaji yao)... Its all about sustainability...
 
Definition Iko wazi,kama nyie ni wengi na mnazalisha kiduchu hapo si mnajikimu ,Sasa inahitaji definition gani tofauti na hiyo kujua kwamba nyie ni maskini? 🤣🤣
 
Mnazalisha nini ? Kuna Continent ambayo inazalisha raw materials kuliko Afrika ? Kuna watu wanazalisha Kuku huko kijijini lakini hata hawajawahi kula kuku sababu huyo kuku ndio wanamuuza ili wanunue mpunga....

Kuna nchi kutokana na marginalization na power of corruption na kudanganywa ni kwamba mnakopeshwa ili mzalisha ili muwauzie wao kwa bei wanayotaka na mwisho wa siku muwalipe riba maisha yenu yote (wao hawazalishi ila nyie ndio mnawazalishie)

Kati ya mtumwa na Mtwana nani alikuwa anazalisha na yupi alikuwa anakidhi basic needs zao ?

Kama umasikini ni opposite ya utajiri na utajiri ni mtu kuweza kukidhi mahitaji yake yote bila kujinyima na kubakiwa na savings basi huyo ni tajiri na utajiri hauwezi ukapimwa kwa kipato cha mtu bila kujua matumizi yake...
 
Nimekujibu na nimejibu tangia mwanzo huwezi kusema sehemu fulani ni matajiri sababu ya kipato bila kuweka uwiano wa gharama za maisha... na at the very least people need basic needs ambazo kwa macho ya kawaida mtu anayeishi kijijini anakashamba kake ana kajumba kake anafuata maji mtoni au mvua sio za shida hence anateka maji na akiugua ana miti shamba yake anajipatia basic needs ni bora kuliko hao majority huko mijini ambao ni mafukara lakini wanabebwa na ma tycoon wachache ambao wanaingiza kipato na ziada (ukizingatia kipato cha huyo tycoon kinagawiwa kwa wengine on average)....

Kwahio we need a definition ya umasikini kwa perception ya mazingira husika (ingawa when push comes to shove majority Tanzania na katika mikoa mingi hususan hio so called tajiri watu income yao haikidhi mahitaji yao)... Its all about sustainability...
Duh
 
Mnazalisha nini ? Kuna Continent ambayo inazalisha raw materials kuliko Afrika ? Kuna watu wanazalisha Kuku huko kijijini lakini hata hawajawahi kula kuku sababu huyo kuku ndio wanamuuza ili wanunue mpunga....

Kuna nchi kutokana na marginalization na power of corruption na kudanganywa ni kwamba mnakopeshwa ili mzalisha ili muwauzie wao kwa bei wanayotaka na mwisho wa siku muwalipe riba maisha yenu yote (wao hawazalishi ila nyie ndio mnawazalishie)

Kati ya mtumwa na Mtwana nani alikuwa anazalisha na yupi alikuwa anakidhi basic needs zao ?

Kama umasikini ni opposite ya utajiri na utajiri ni mtu kuweza kukidhi mahitaji yake yote bila kujinyima na kubakiwa na savings basi huyo ni tajiri na utajiri hauwezi ukapimwa kwa kipato cha mtu bila kujua matumizi yake...
Ukijua definition ya GDP hutouliza tena maswali yasiyo na akili Wala kutoa maelezo yasiyo na maana.

Kagera ni Mkoa fukara sana hapa Tanzania
 
Kwahio unaongelea mkoa fukara na sio mikoa yenye watu mafukara ? au unadhani yote ni sawa ?
 
Kila Siku Huwa nawaambia wahaya waje Kilimanjaro tuwafundishe uchumi hawataki
instanbul , mliberali ,The Great Haya ,DR HAYA LAND wacheni viburi njooni kwa waalimu wenu Kilimanjaro mpate lecture
Wahaya wametembea duniani zamani kabla ya uhuru, Nyerere mjanja wenu aliwakuta makerere akaenda Edimburg akawakuta
Aliporudi akasema sitaki wahaya

Lakini Cha kushangaza mwaka 1965 karibu makatibu wakuu wa wizara zote walikuwa wahaya, wataalamu katika idara nyeti za nchi walikuwa wahaya

Wahaya sio wezi ni watu wa misimama wamenyooka

Ndugu zetu mmekosa maadili hata huo utajiri mlio nao unatia shaka

Mimi niliyekuja mjini kabla ya uhuru Nakumbuka hapa dar kulikuwa hakuna wizi Wala ujambazi, wizi umeanza miaka ya 70 baada ya wachaga kuongezeka
 
Kila Siku Huwa nawaambia wahaya waje Kilimanjaro tuwafundishe uchumi hawataki
instanbul , mliberali ,The Great Haya ,DR HAYA LAND wacheni viburi njooni kwa waalimu wenu Kilimanjaro mpate lecture
Uchumi wa kibaguzi, ardhi ya hovyo, mnachoringia ni watalii wapanda milima hamna cha ziada pia idadi ndogo ya watu huko ndio inafanya per capita hiwe kubwa, nakuonekana mkoa wa kipato kikubwa, watu wenu wanakimbilia mijini, hasa Dar, Mwanza na arusha kwa utafutaji na kuacha mahema ya kuzikia na kutambika.
 
Akina nshomile walikwenda kujenga mikoa mingine! Nafikiri walikimbizwa na janga la Ukimwi ndiyo maana mkoa wao ni moja ya mikoa maskini.
Kwamba Kagera hapajajengwa?? Tupe idadi ya maghorofa kutoka kwenye sensa ya 2022
 
Ukijua definition ya GDP hutouliza tena maswali yasiyo na akili Wala kutoa maelezo yasiyo na maana.

Kagera ni Mkoa fukara sana hapa Tanzania
Unaonekana unarukia tu kusema GDP ila hujui ikoje, nilikwambia ulete vyanzo huo utajiri kwa hiyo mikoa we unapiga porojo tu. Unachotuaminisha na tunachokikuta huko kwenye mikoa so called matajiri mbona tofauti??
 
Najua vyanzo vya ufukara na umaskini wa watu wa Kagera tuu 😁😁

Bado hujasema Hadi useme
 
Back
Top Bottom