Mikoa 13 Kinara wa Kuchangia Kodi ya TRA mwaka 2023

Serengeti iko mara sio Arusha na utalii hauko Arusha pekee acha upotoshaji??
Arusha mbuga ya maana Ngorongoro pekee
 
Mapato Ar haihusiani na utalii? Unaelewa?
 
Tanga bado kama mapato ni 100k miezi mitano pamoja na bandari mtasubiri Sana! Arusha ni 450 kwa mwaka Bola utalii
Kuna Bilioni 100 za TPA na Bilioni 154 za TRA.

Jumla hapo ni Bln 250 plus ndani ya miezi 5 tuu ,Hadi June 2025 itakuwa Times 2 .

Arusha mnaenda kukalishwa Wala halina ubishi.
 
Kuna Bilioni 100 za TPA na Bilioni 154 za TRA.

Jumla hapo ni Bln 250 plus ndani ya miezi 5 tuu ,Hadi June 2025 itakuwa Times 2 .

Arusha mnaenda kukalishwa Wala halina ubishi.
Uchumi wa Arusha uko diverse. Sio rahisi kupitwa kama unavyoona wewe. Uchumi ambao hautemei aina moja ya njia za uzalishaji mali. Arusha pia imepakana na Uchumi Mkubwa Africa ya Mashariki na Kati na zaidi karibu kabisa na Jiji lenye uchumi Mkubwa zaidi Africa ya Mashariki na Kati.
Arusha ina shughuli za kiuchumi zinazotozeka kodi(taxable economic activities) nyingi zaidi nchini second only to Dar es Salaam. Arusha imekuwa ya 2 kwa kodi nchini consistently for more than 30 years.
Tanga kuitpita inahitaji economic miracle.
 
Hata Tanga inapakana na Uchumi mkubwa pia.

With Tanga Port Hilo litawezekana.
 
Yaani Kagera hii mliyo tuaminisha hapa kuwa ni miongoni mwa mikoa yenye umasikini uliokithiri ukifuatiwa na Lindi, leo Iko kwenye mikoa kumi iliyochangia pato la taifa 2023?.

Tumshutumu nani wanakagera au serikali inayokusanya mapato kwa umasikini wa mkoa huo?.

Je hizi data huwa ni za kupikwa jikoni au zina uhalisia?
 

View: https://www.instagram.com/p/DF2W-INMwCJ/?igsh=MWdwMXY3ZW4yODE0NA==
 
Mapato ya serengeti national park yangekua yanapitia mkoa wa mara direct, arusha isingekuwepo kwenye hii list, na Mara ingekua nafasi ya pili.
 
Mapato ya serengeti national park yangekua yanapitia mkoa wa mara direct, arusha isingekuwepo kwenye hii list, na Mara ingekua nafasi ya pili.
Kwani yanapitia wapi? 😁😁
 
Kipindi cha jiwe kuna igizo lilifanyika eti dodoma chini ya mkurugenzi wa jiji ndugu kunambi iliongoza kwa makusanyo
 
mkoa wa Mara mnaweza kuonesha vyanzo vyake mpaka ikaipiku mikoa kama Morogoro na ikawa imepishana kidogo na Mwanza.
Kuna migodi ya dhahabu kama yote kule,kilimo ni mwaka mzima,viwanda vya samaki,maziwa, pamba na pia kuna boda ya sirali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…