Mikoa 13 Kinara wa Kuchangia Kodi ya TRA mwaka 2023

Mikoa 13 Kinara wa Kuchangia Kodi ya TRA mwaka 2023

Kutoka kwenye takwimu za Mapato ya Kodi za TRA yaani Regional Tax Statistics za mwaka 2023/2024 zimebainisha Mikoa 13 ambayo imechangia Mapato makubwa ya Kodi Kwa mwaka 2023.

Uchambuzi wa awali nilioufanya umebainisha Mikoa 13 ambayo imechangia zaidi Mapato ya Kodi ya kuanzia Bilioni 60 na zaidi.

Orodha hiyo Kwa mwaka wa Fedha 2022/2023 inasomeka kama ifuatavyo;(Figures are in "000" Million Tanzania Shillings).

1. Dar es Salaam =7,416.95
2. Arusha =356.28
3. Kilimanjaro =234.88
4. Tanga =203.28
5. Songwe = 176.81
6. Dodoma =163.17
7. Mwanza =160.66
8. Mara =143.13
9. Kagera =118.94
10. Mtwara =116.44
11. Mbeya =85.10
12. Morogoro =67.60
13. Pwani =60.60

View attachment 3063007

My Take
1.Vyanzo vya Kodi kama Utalii, Property Tax,OPMU,MTD na Large Tax Payers Sio sehemu ya takwimu za Mikoa Kwa sababu ni Kodi ya Jumla ambayo Haina mchanganuo wa Mkoa ilikokusanywa.

2.Figurrs za Mkoa wa Dar es Salaam zimehusisha Mikoa ya kikodi iliyoko Dar ambayo ni Ilala,Kinondoni,Temeke,Tegeta,Kariakoo,DSM Service Centre na JNIA.

✓Credits;TRA Regional Tax Statistics 2023/2024.

Observation
•Mapato ya Kodi Kwa Mikoa Mingi mwaka ulioisha wa 2023/2024 Yalishuka sana ukilinganisha na Mwaka 2022/2023. Huenda Mvua za El Nino zilichangia Hali hiyo na sababu zingine.Utalii na Makaa ya Mawe viliokoa jahazi.

•Mkoa wa Mtwara umefanya vizuri Sana kwenye Mapato Kwa sababu ya Bandari ya Maboresho ya Bandari ya Mtwara ,amri ya Rais kusafirisha korosho Kupitia mtwara na Kusafirisha shehena kubwa kabisa ya Makaa ya Mawe kutoka Ruvuma na Njombe.

Mwisho.
•Pamoja kwmaba TRA ndio taasisi mama ya kukusanya Mapato ila Tanzania Ina taasisi nyingi sana zinazokusanya Mapato ya Serikali,hivyo mchango wa Mkoa kwenye Uchumi wa Nchi unapimwa sawaia Kupitia GDP.

Pia soma Mikoa 15 Inayoongoza Kuchangia Kodi za TRA Tanzania

Angalizo
•Uchambuzi huu sio rasmi hivyo uchukuliwe Kwa muktadha huo.Taasisi Zenye mamlaka husika ndio zitafanya Uchambuzi wake wa kina kama zikiona inafaa.
Hizi figure hazina uhalisia Mfanyabiashara yoyote wa mikoa ya Tanganyika akifikisha 1 billion na kuendelea juu anahamishiwa Dar.
 
mkoa wa Mara mnaweza kuonesha vyanzo vyake mpaka ikaipiku mikoa kama Morogoro na ikawa imepishana kidogo na Mwanza.
Madini hasa dhahabu , ( wachimbaji wakubwa Kwa wadogo) , mazao ya kilimo mtama, mahindi, muhogo, uvivu wa dagaa na samaki, note, dagaa ya mara ndio rahisi kwenda tunduma kuliko ya kagera, Kwa ufupi ni hivo plus mpaka wa silari lazima wapate chochote kitu
 
Uchambuzi wa awali nilioufanya umebainisha Mikoa 13 ambayo imechangia zaidi Mapato ya Kodi ya kuanzia Bilioni 60 na zaidi
"---uchambuzi wa awali NILIOUFANYA---" Hiki ndiyo kitu gani katika mada hii?
Huoni kuwa unakuwa limbukeni? Hata hiyo heshima ndogo tu ya angalao jitihada unazofanya kutafuta hizi habari unaidhalilisha?

Sasa tueleze, umeongeza kitu gani kwenye taarifa hiyo ambacho unaweza kueleza na kujivunia "uchambuzi"?
 
Dar inaonekana ipo juu wakati figure za makusanyo ya kodi inawasomba walipa kodi wakubwa wa mikoa yote ya Tanganyika.Large Tax Payers wote wamehamishiwa Dar.
Sijaelewa hapo Kwa sababu kundi la walipakodi wakubwa hakijahusika kwenye hizo takwimu,ziko independent kabisa na nimeeleza wazi kwenye mada.
 
Sasa wewe unauza Sambusa haya mambo ni makubwa sana kwako.
Wewe ni mbumbumbu, nimekwambia takwimu za Large Tax Payers hazijagawnywa Kimikoa Bali zimewekwa kiujumla na hazihesabiwi Dar kama unavyosema Bali zinalipwa huko huko Dar.

Makusanyo ya Dar ni independent.Kwenye jedwali la TRA utaona Figures za walipajo wakubwa ,Figures za Utalii, Property Tax OPMU MTD nk
 
Wewe ni mbumbumbu, nimekwambia takwimu za Large Tax Payers hazijagawnywa Kimoja Bali zimewekwa kiujumla na hazihwsabiwi Dar kama unavyosema Bali zinaliowa huko huko Dar.

Makusanyo ya Dar ni independent.Kwenye jedwali la TRA utaona Figures za walipajo wakubwa ,Figures za Utalii, Property Tax OPMU MTD nk
We Pimbi hujui kitu.
 
Back
Top Bottom