Wanakwambia IMANI ni uchiziHii ni mikoa sita ambayo watu wake wengi zaidi wamelewa ulevi wa dini hadi kufikia kiwango cha kuwa kama watu wenye matatizo ya akili/waliochanganyikiwa.
1. Dar es Salaam
2. Mbeya
3. Arusha
4. Kilimanjaro
5. Mikoa yote Zanzibar
6. Pwani
Hivi mwenye uzi huu siyo yeye kweli 👇🏽Ngoja watoke kuchukua gas kwa tony
Mkuu...!!Zamani niliamini wachaga karibu wote ni waumini wa dini ya kikristo, lakini nillipo tembelea huko uchagani mwezi December nikagundua huenda zaidi ya 80% ya wachaga ni wapagani na waumini nguli wa dini za kijadi (mizimu, matambiko na ushirikina)
Hii ni mikoa sita ambayo watu wake wengi zaidi wamelewa ulevi wa dini hadi kufikia kiwango cha kuwa kama watu wenye matatizo ya akili/waliochanganyikiwa.
1. Dar es Salaam
2. Mbeya
3. Arusha
4. Kilimanjaro
5. Mikoa yote Zanzibar
6. Pwan