min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Hahaha wachaga kuna mpaka waislam, tena wana misimamo mikali kuliko kawaida 😆
Hahaha wachaga kuna mpaka waislam, tena wana misimamo mikali kuliko kawaida 😆
😆😆😆 kuna kiukweli flani hivi
Au wakishaachika😆😆😆 kuna kiukweli flani hivi
Eeeeeh waaaaaah wewe umewajua vizuri sana, au wakishakuwa wajane😆Au wakishaachika
Sana sana Machame hiyo!Ogopa sana wamama wa kichaga wanaojifanya ni walokole, hasa utawapata marangu na machame kwenye wa Lutheran wengi
wkt wa msiba wa jpm dsm walikanyagana wakapoteza maisha watu 45? Na ni dar hapo? Tuite uzembe?Wale waliokanyaga mafuta ya Mwamposa wakafa hovyo, ni watu wa wapi kama sio Klm ?
Nyie mnaolawiti na kulawitiana ndio wema kwenye?Ukristu unajikita katika matendo mema sio tu kuwa na imani. Hawa wapuuzi wa kilokole walojikita kwenye miujiza ni sawa na washirikina hawafai kujiita wakristu.
Nani kakakwambia ukijihusisha sana na dini lazima uwe duni kimaendeleo au kiuchumi ?wkt wa msiba wa jpm dsm walikanyagana wakapoteza maisha watu 45? Na ni dar hapo? Tuite uzembe?
Ile ilikuwa accident lakin haimaanish kim yote ilikuwa pale. Plus wangekuwa wadini sana ingekuwa moja ya mikoa duni kielimu, mkoa duni kiuchumi na kimaendeleo
😁😁😁uchagani japo dini ilifika kitambo sana ila hawapo serious sana ,zaidi ya kuitumia kufanyia unafki tu, ukienda kibosho na rombo watu wapo serious na mila zao hatari.Sana sana Machame hiyo!
Uzuri mchaga hata ashike dini hadi mwisho haachi asili yake december tunalipuka naye fresh, iwe sherehe au msiba tunakunywa naye fresh.
Pole, msamehe aliyekulawiti, sawa ?Nyie mnaolawiti na kulawitiana ndio wema kwenye?
We unatafuta ugomvi japo huo ndo ukweli😆😆 wachaga wakishapata UKIMWI hasa wamama ndio wanakuwa walokole
Issue sio kwamba hawapo serious nazo walishazipima vya kutosha, wakazisoma sana mwisho wa siku ndo wakaja na conclusion tuishi nazo tu ila tusiache asili yetu!😁😁😁uchagani japo dini ilifika kitambo sana ila hawapo serious sana ,zaidi ya kuitumia kufanyia unafki tu, ukienda kibosho na rombo watu wapo serious na mila zao hatari.
Kwenye ukristo ni rahisi kujificha huku ukiwa na dini yako ya jadi.Zamani niliamini wachaga karibu wote ni waumini wa dini ya kikristo, lakini nillipo tembelea huko uchagani mwezi December nikagundua huenda zaidi ya 80% ya wachaga ni wapagani na waumini nguli wa dini za kijadi (mizimu, matambiko na ushirikina)
Ila mimi kuna kitu kina nishangaza sana ,zile koo zinazoendeleza mila zipo organise vibya sana kuliko zile ziliacha na kujikita kwenye dini🤔Issue sio kwamba hawapo serious nazo walishazipima vya kutosha, wakazisoma sana mwisho wa siku ndo wakaja na conclusion tuishi nazo tu ila tusiache asili yetu!
Na Mungu chini ya Jua yupo huko.Njoo mwanza utacheka ufe
Umepita mulemule ndio maana wengi vichwa hulipuka kwa kuchanganya mamboEeeeeh waaaaaah wewe umewajua vizuri sana, au wakishakuwa wajane😆
Dini zinagawanya watu zaidi kuliko kuunganisha, Mila zinawaleta watu pamoja zaidi. Mfano Msiba, harusi/ndoa, malezi & utafutaji zamani haya mambo yalienda kimila zaidi na watu walishikamana lakini saiv kuna baadhi ya mambo unaweza usipate access ya moja kwa moja kwa ndugu yako wa kuzaliwa nae tumbo moja kwa sababu tu mmetofautiana dini.Ila mimi kuna kitu kina nishangaza sana ,zile koo zinazoendeleza mila zipo organise vibya sana kuliko zile ziliacha na kujikita kwenye dini🤔