Mikoa ambayo dini zimeharibu zaidi akili za watu

Mikoa ambayo dini zimeharibu zaidi akili za watu

Hii ni mikoa nane ambayo watu wake wengi zaidi wamelewa ulevi wa dini hadi kufikia kiwango cha kuwa kama watu wenye matatizo ya akili/waliochanganyikiwa.
1. Dar es Salaam
2. Mbeya
3. Arusha
4. Kilimanjaro
5. Mikoa yote Zanzibar
6. Pwani
7. Lindi
8. Mtwara
Dar tunaongozaa na manabii wapuliza gesi puuuuuuu
 
Utafiti wako umeufanyia wapi?
Unamaanisha dini zipi?
Hivi unazijua dini za jadi?
Ulishawahi kufika Njombe, Iringa, Lindi, Mtwara, Geita, Mwanza, Shinyanga, Tabora, Rukwa na kutazama hilo la dini?

Kwangu mimi sijaona afadhali kokote.
Hapo Zenj ingekuwa namba 1
 
Zamani niliamini wachaga karibu wote ni waumini wa dini ya kikristo, lakini nillipo tembelea huko uchagani mwezi December nikagundua huenda zaidi ya 80% ya wachaga ni wapagani na waumini nguli wa dini za kijadi (mizimu, matambiko na ushirikina)
Una ushahidi na hili Mjomba?
 
Waislamu mnatumia vitabu mlivyovikuta?
Hapana hatutumii Kwasababu
Qur’an imeonya kuhusu mabadiliko katika maandiko:
"Wanabadili maneno kutoka mahali pake..." (Al-Ma’idah 5:13)

"Basi ole wao wanaoandika Kitabu kwa mikono yao kisha wakasema Hiki kimetoka kwa Mwenyezi Mungu..." (Al-Baqarah 2:79)

Qur'an inathibitisha kuwa maandiko ya awali yalikuwa ya kweli lakini wanadamu walibadili baadhi ya maneno au kuyapotosha.

Nukuu hii ya "Dionysius" Askofu wa Korintho (karne ya 2), inarejelewa sana katika mijadala ya wasomi wa historia ya Kikristo hususan kuhusu mabadiliko ya maandishi ya awali.

Imenukuliwa na "Eusebius wa Caesarea" katika kazi yake mashuhuri "Ecclesiastical History" (Historia ya Kanisa) Kitabu cha 4, Sura ya 23.

Dionysius: analalamika kuwa "barua zake zimepotoshwa" na “mitume wa Ibilisi” waliodiriki "kubadilisha, kuongeza au kuondoa maneno".
Anasema:
“They have tampered with my letters, not sparing even the words of the Lord, and they have dared to falsify the Holy Scriptures.”

"Dionysius hakumaanisha kuwa Maandiko yote yamepotoshwa" bali anaonya kuwa watu walijaribu "kuyabadili maandiko" hata yale ya Bwana.
Hapo alionyesha hofu ya upotoshaji wa maandiko miongoni mwa waumini wa karne ya pili.
 
Hii ni mikoa nane ambayo watu wake wengi zaidi wamelewa ulevi wa dini hadi kufikia kiwango cha kuwa kama watu wenye matatizo ya akili/waliochanganyikiwa.
1. Dar es Salaam
2. Mbeya
3. Arusha
4. Kilimanjaro
5. Mikoa yote Zanzibar
6. Pwani
7. Lindi
8. Mtwara
Umemsahau yule Mtume Zumaridi alieenda Mbinguni akaekewa CD ya vichekesho: ukienda huko Kanda ya Ziwa ( Shinyanga, Geita na Mwanza hauwaambii kitu🤣
 
Sasa kama Yesu alikuja kutimiliza why Muhammad aje?
Naomba usome haya maandiko kuna utabiri wa atakaekuja na sheriya
Yohana 16:1-12
1)Maneno hayo nimewaambia, msije mkachukizwa.

2) Watawatenga na masinagogi; naam, saa yaja atakapodhania kila mtu awauaye ya kuwa anamtolea Mungu ibada.

3) Na hayo watawatenda kwa sababu hawakumjua Baba wala mimi.

(Je Paulo hajayafanya hayo 👆🏽 )

4) Lakini nimewaambia hayo, ili makusudi saa ile itakapokuja myakumbuke ya kuwa mimi naliwaambia. Sikuwaambia hayo tangu mwanzo, kwa sababu nalikuwapo pamoja nanyi.

5) Lakini sasa mimi naenda zangu kwake yeye aliyenipeleka, wala hakuna mmoja wenu aniulizaye, Unakwendapi?

6) Ila kwa sababu nimewaambia hayo huzuni imejaa mioyoni mwenu.

7) Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke, kwa maana mimi nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu; bali mimi nikienda zangu, nitampeleka kwenu.

8) Naye akiisha kuja, huyo atauhakikisha ulimwengu kwa habari ya dhambi, na haki, na hukumu.

(7 na 8 huyo msaidizi ni nani atakaye toa hukumu)

9) Kwa habari ya dhambi, kwa sababu hawaniamini mimi

10) kwa habari ya haki, kwa sababu mimi naenda zangu kwa Baba, wala hamnioni tena

11) kwa habari ya hukumu, kwa sababu yule mkuu wa ulimwengu huu amekwisha kuhukumiwa.

12) Hata bado nikali ninayo mengi ya kuwaambia, lakini hamwezi kuyastahimili hivi sasa.

13) Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote kwa maana hatanena kwa shauri lake mwenyewe, lakini yote atakayoyasikia atayanena, na mambo yajayo atawapasha habari yake.

14) Yeye atanitukuza mimi, kwa kuwa atatwaa katika yaliyo yangu na kuwapasha habari.

(14 Je Muhammadi hajamtukuza Yesu kwa kumtakasa )

15) Na yote aliyo nayo Baba ni yangu kwa hiyo nalisema ya kwamba atatwaa katika yaliyo yangu, na kuwapasheni habari.

16) Bado kitambo kidogo nanyi hamnioni; na tena bado kitambo kidogo nanyi mtaniona.
 
Kumuingiza mwamedi kwenye prophetic lineage ni kutaka kujitoa ufahamu!
 
majitu yananguvu badal ya kulima yanakalia usnii na kujifnya ynamiujiza ndiomana asia hawana dini na mambo yao yanakwenda freshi kabisa .
 
Swali lako lina maana kubwa na linaweza kujibiwa kwa njia mbalimbali. Wengi wanadhani kwamba dini zinaweza kuwa na athari nzuri au mbaya kwa jamii, kutegemea na jinsi zinavyoeleweka na kutumika.

Katika muktadha wa Tanzania, kuna watu wanaoamini kwamba dini zimechangia kupooza akili za watu kwa kuwa zinawaelekeza watu kutegemea nguvu za kiroho pekee badala ya kutumia akili na maarifa katika kutatua changamoto za kila siku.

Hii inaweza kuhusishwa na imani za kijamii na kiroho ambazo zinawazuia watu kuchukua hatua zinazohitaji ufanisi wa kisayansi au elimu. Wakati mwingine, dini zinaweza kuwa kikwazo katika maendeleo ya kiuchumi au kijamii, hasa inapokuja katika masuala ya elimu, sayansi, na teknolojia.

Hata hivyo, upande mwingine, dini pia ina nafasi kubwa katika kuwaunganisha watu, kutoa maadili, na kuwasaidia kukabiliana na changamoto za maisha. Kwa mfano, dini nyingi hutufundisha upendo, huruma, na mshikamano, na kuna wengi wanaoona kwamba imani zao huwasaidia kufikia amani ya ndani na kuwa na lengo maishani.

Mfano Mashahidi wa Yehova wamekuwa wakifundisha mambo ya msingi kuhusu uaminifu katika ndoa , kazi, upendo kwa watu wote, kuheshimu kila mtu bila kujalinhali yake ya maisha, kupenda fedha kwa kiasi, kutii na kutunza wazazi na watoto, kutojikweza na kadhalika, kwa mafundisho kama haya bilashaka ikiwa wote tutayaishi basi dunia inakwenda kuwa mahali pazuri pa kuishi
 
Back
Top Bottom