MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
🤣🤣🤣🤣🤣Ngoja watoke kuchukua gas kwa tony
🤣🤣🤣🤣🤣Ngoja watoke kuchukua gas kwa tony
Uyahudi ni Ukoo au kabila unaotokana na Uzao wa Yakobo (Izraeli) na wanataratibuzao ndiyo maana Yesu anaitwa myahudi kwasababu amezaliwa kwenye Ukoo huo Je Nabii Ibrahim alikuwa dini gani?Kwa namna mlivyomezeshwa mmeaminishwa kuwa dini ni moja tu,uislam?
What is Judaism then?
Pwani ya mtwara na LindiHii ni mikoa nane ambayo watu wake wengi zaidi wamelewa ulevi wa dini hadi kufikia kiwango cha kuwa kama watu wenye matatizo ya akili/waliochanganyikiwa.
1. Dar es Salaam
2. Mbeya
3. Arusha
4. Kilimanjaro
5. Mikoa yote Zanzibar
6. Pwani
7. Lindi
8. Mtwara
Mayahudi ni maisilamu menzenu manake hadi leo yao yanasali kwa dini yao.Uyahudi ni Ukoo au kabila unaotokana na Uzao wa Yakobo (Izraeli) na wanataratibuzao ndiyo maana Yesu anaitwa myahudi kwasababu amezaliwa kwenye Ukoo huo Je Nabii Ibrahim alikuwa dini gani?
Haya twambie huyo nabii Ibrahim alitumwa kwa umma gani?Uyahudi ni Ukoo au kabila unaotokana na Uzao wa Yakobo (Izraeli) na wanataratibuzao ndiyo maana Yesu anaitwa myahudi kwasababu amezaliwa kwenye Ukoo huo Je Nabii Ibrahim alikuwa dini gani?
Wangelewa pombe ungesema?Hii ni mikoa nane ambayo watu wake wengi zaidi wamelewa ulevi wa dini hadi kufikia kiwango cha kuwa kama watu wenye matatizo ya akili/waliochanganyikiwa.
1. Dar es Salaam
2. Mbeya
3. Arusha
4. Kilimanjaro
5. Mikoa yote Zanzibar
6. Pwani
7. Lindi
8. Mtwara
Asante sana 🤝🏽 kwa kuelimishana Mungu akuongoze katika njia SAHIHI 🤲🏽🤲🏽🤲🏽.Mayahudi ni maisilamu menzenu manake hadi leo yao yanasali kwa dini yao.
Kumnasibisha mwamwedi na Ibrahim ni kipengele na inahitaji kujitoa ufahamu kabisa
Uislamu ulianzia hapa
Leo Nimekukamilishieni Dini yenu, na Nimekutimizieni Neema Yangu, na Nimekuridhieni Uislamu uwe Dini yenu. (5:3).
Hizo za nabii Ibrahim sijui nabii adam ni porojo
Dini ni uchiziWanasema imani ni kuwa na uhakika na mambo yasiyo bayana. Mambo yasiyothibitishika.
Sasa unajiuliza, unakuaje na uhakika na mambo yasiyothibitishika? Ukichaa ndiyo unaanzia hapo.
Waislamu wanaamini jiwe lilikimbia na nguo za Musa. Upuuzi mtupu.
Kwamba Mohammad alipaa kwenye mgongo wa mnyama, akaenda kuswali Al-Aqsa na akarudi usiku huo huo. Upuuzi sana.
Wakristu wanaamini Yesu alifufuka na akapaa mbinguni. Upuuzi mkubwa. Binadamu hafufuki wala hapai.
Hii ni mifano michache ya mambo yasiyo make sense ambayo watu wazima na akili zao wameamua kuyaamini, kuyalinda na hata kuyafia.
Kama si ujinga ni nini?
Dini ni upuuzi. Kupuuzia logic.
kwa Ruvuma ni wilaya moja tu ya TUNDURU umaskini wake ni sawa na maeneoHii ni mikoa nane ambayo watu wake wengi zaidi wamelewa ulevi wa dini hadi kufikia kiwango cha kuwa kama watu wenye matatizo ya akili/waliochanganyikiwa.
1. Dar es Salaam
2. Mbeya
3. Arusha
4. Kilimanjaro
5. Mikoa yote Zanzibar
6. Pwani
7. Lindi
8. Mtwara
kwa Ruvuma ni wilaya moja tu ya TUNDURU umaskini wake ni sawa na maeneo na ulevi wa dini ni sawa na maeneo ya PWANI ya LINDI na MTWARAHii ni mikoa nane ambayo watu wake wengi zaidi wamelewa ulevi wa dini hadi kufikia kiwango cha kuwa kama watu wenye matatizo ya akili/waliochanganyikiwa.
1. Dar es Salaam
2. Mbeya
3. Arusha
4. Kilimanjaro
5. Mikoa yote Zanzibar
6. Pwani
7. Lindi
8. Mtwara
mtu anajitoa ufahamu kidini kwa maandiko ambayo ni fiction hasa walokoleDini ni uchizi
Leo Nimekukamilishieni Dini yenu, na Nimekutimizieni Neema Yangu, na Nimekuridhieni Uislamu uwe Dini yenu. (5:3). basi tungeliifanya kuwa ni siku ya ...Asante sana 🤝🏽 kwa kuelimishana Mungu akuongoze katika njia SAHIHI 🤲🏽🤲🏽🤲🏽.
Yaani hapo ndiyo mwisho wa manabii Yesu tu ndiye ataye rejeshwa duniani na atahukumu kwa Qur'anLeo Nimekukamilishieni Dini yenu, na Nimekutimizieni Neema Yangu, na Nimekuridhieni Uislamu uwe Dini yenu. (5:3). basi tungeliifanya kuwa ni siku ya ...
Kwa akili yalo huo ndiyo ushahidi au ni mistari umekariri??Ushahidi wa dini katika Qur'an
Surah Aal-Imran (3:19)
"Hakika Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu..."
Surah Al-Baqarah (2:256)
"Hakuna kulazimishwa katika Dini. Kwani uwongofu umekwisha bainika na upotofu..."
Surah Al-Kafirun (109:6)
"Nyinyi mna Dini yenu, nami nina Dini yangu."
Una ihakika wanafuata kikamilifu? Wale sahiz ni mchanganyiko wa western societis hata mila zao zimeshabadilika, si waarabu wa 60s
Mtu mweusi huku anashikilia dini kuliko wenye dini yao
Babu yako yeye hatarudi?na ke waliokufa ndani ya Afrika labla ua uislam na ukristo watarudije?Yaani hapo ndiyo mwisho wa manabii Yesu tu ndiye ataye rejeshwa duniani na atahukumu kwa Qur'an
Imepokelewa Mtume Muhammad (s.a.w) alisema:
"Naapa kwa yule ambaye nafsi yangu iko mikononi mwake atateremka juu yenu mwana wa Maryam kama hakimu wa haki...".
(Sahih Bukhari & Muslim)
Kwa hivyo kurudi kwa Nabii Isa (a.s) ni miongoni mwa alama kubwa za (Kiyama)"siku ya mwisho" na ni imani ya msingi katika itikadi ya Uislamu.
Iringa hakuna huo utitili wa dini kama mikoa mingine hiyoUtafiti wako umeufanyia wapi?
Unamaanisha dini zipi?
Hivi unazijua dini za jadi?
Ulishawahi kufika Njombe, Iringa, Lindi, Mtwara, Geita, Mwanza, Shinyanga, Tabora, Rukwa na kutazama hilo la dini?
Kwangu mimi sijaona afadhali kokote.