DR VRM
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 3,933
- 3,071
IR kuna uzungu mwingi sana 😀Iringa hakuna huo utitili wa dini kama mikoa mingine hiyo
IR kuna uzungu mwingi sana 😀Iringa hakuna huo utitili wa dini kama mikoa mingine hiyo
Wana akili, wanatambua kuwa dini utapeli mkubwa hata na wenyewe wanahutumia kutapelia ndo maana wengi wanasomea upadri na uchungaji ili wawe kwenye nafasi za unyonyaji wengine na si kunyonywa na pia kama ni mkristo wa kawaida lazima awe kwenye nafasi za uongozi kama mwekahazina, mzee wa kanisa n.k. Chunguzeni kwa umakini wachaga sio mafala hata kidogo na mimi nawaelewa sana.Hata awe itikadi kali akifika tu Mombo anaanza na mdudu
Ngoja nicheke mie!Yaani hapo ndiyo mwisho wa manabii Yesu tu ndiye ataye rejeshwa duniani na atahukumu kwa Qur'an
Imepokelewa Mtume Muhammad (s.a.w) alisema:
"Naapa kwa yule ambaye nafsi yangu iko mikononi mwake atateremka juu yenu mwana wa Maryam kama hakimu wa haki...".
(Sahih Bukhari & Muslim)
Kwa hivyo kurudi kwa Nabii Isa (a.s) ni miongoni mwa alama kubwa za (Kiyama)"siku ya mwisho" na ni imani ya msingi katika itikadi ya Uislamu.
Kigoma umeisahau?Hii ni mikoa nane ambayo watu wake wengi zaidi wamelewa ulevi wa dini hadi kufikia kiwango cha kuwa kama watu wenye matatizo ya akili/waliochanganyikiwa.
1. Dar es Salaam
2. Mbeya
3. Arusha
4. Kilimanjaro
5. Mikoa yote Zanzibar
6. Pwani
7. Lindi
8. Mtwara
Tanga ipo wapi?Hii ni mikoa nane ambayo watu wake wengi zaidi wamelewa ulevi wa dini hadi kufikia kiwango cha kuwa kama watu wenye matatizo ya akili/waliochanganyikiwa.
1. Dar es Salaam
2. Mbeya
3. Arusha
4. Kilimanjaro
5. Mikoa yote Zanzibar
6. Pwani
7. Lindi
8. Mtwara
Upo dogo?Hahahaa we jjnga sana dogo. 😁😁
Ila unakuta huyo mtoto wa Kiislamu katembea na mabinti wa mtaa mzima🤣🤣Pwani sawa, ukiwa huko kisenvule utasikia "Mimi mtoto wa kiislamu siwezi kusema uongo" ujinga tu😀😀
Bora yetu sisi tuna ule wimbo wetu maarufu, "Najivunia nimezaliwa kwenye moja kanisa takatifu 🎤🙂
Mimi nilikua na wanyamazia tu kwa sababu nilikua naishi ugenini😀Ila unakuta huyo mtoto wa Kiislamu katembea na mabinti wa mtaa mzima🤣🤣
Lyamungo wanaogopeka kwa uchawiHahaha wachaga kuna mpaka waislam, tena wana misimamo mikali kuliko kawaida 😆
Uchawi nao ni ujinga ujinga tu usio na uthibitisho BwasheeLyamungo wanaogopeka kwa uchawi
Haha ni kweli , wazee wanaogopa kwenda maeneo hayo , wanawaona waislamu wa lyamungo ni waumba mabusha .Uchawi nao ni ujinga ujinga tu usio na uthibitisho Bwashee
Swali kama hilo aliulizwa Nabii Musa limenukuliwa katika Qur'an Surat Twaha (20) Aya ya 51-52Babu yako yeye hatarudi?na ke waliokufa ndani ya Afrika labla ua uislam na ukristo watarudije?
Hilo ni jambo la kawaida kwa Yesu Kutumia kitabu alicho kikutaNgoja nicheke mie!
Yesu huyu aliyekuwa anaitwa Rabi kwa maana ya mwalimu wa dini ya Kiyahudi,Yesu huyu aliyetabiriwa kwa vinywa vya manabii awe nabii?
Kwamba awe mdogo kuliko Muhammad?
Kwamba alikuwa Muislam yeye pamoja na akina Adam?
Hesabu zinakataa kabisa ndugu yangu!
Uislamu ulianzishwa na kukamilishwa wakati wa Mwamedi nothing less nothing more!
18 Kwa maana, amin, nawaambia ,Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka,yodi moja wala nukta moja ya torati haitaoondoka ,hata yote yatimie”.Mathayo 5:17 “Msidhani ya kuwa nalikuja KUITANGUA TORATI AU MANABII; La!, SIKUJA KUTANGUA, bali KUTIMILIZA.
Waislamu mnatumia vitabu mlivyovikuta?Hilo ni jambo la kawaida kwa Yesu Kutumia kitabu alicho kikuta
18 Kwa maana, amin, nawaambia ,Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka,yodi moja wala nukta moja ya torati haitaoondoka ,hata yote yatimie”.
Sasa kama Yesu alikuja kutimiliza why Muhammad aje?Hilo ni jambo la kawaida kwa Yesu Kutumia kitabu alicho kikuta
18 Kwa maana, amin, nawaambia ,Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka,yodi moja wala nukta moja ya torati haitaoondoka ,hata yote yatimie”.