Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Aiseee huko kuna mfalme baba zumaridi anayepigwa doggyNjoo mwanza utacheka ufe
Aiseee huko kuna mfalme baba zumaridi anayepigwa doggyNjoo mwanza utacheka ufe
Sio kweli. Naishi Mbeya mkuu. Hizo ni hadithi tu bro.Mbeya Wana manabii wengi kushinda Israel kwa wayahudi
Na anapendeza yule ukimpiga 🐕 styleAiseee huko kuna mfalme baba zumaridi anayepigwa doggy
Angalia na hili siyo mambo bayana?Wanasema imani ni kuwa na uhakika na mambo yasiyo bayana. Mambo yasiyothibitishika.
Sasa unajiuliza, unakuaje na uhakika na mambo yasiyothibitishika? Ukichaa ndiyo unaanzia hapo.
Waislamu wanaamini jiwe lilikimbia na nguo za Musa. Upuuzi mtupu.
Kwamba Mohammad alipaa kwenye mgongo wa mnyama, akaenda kuswali Al-Aqsa na akarudi usiku huo huo. Upuuzi sana.
Wakristu wanaamini Yesu alifufuka na akapaa mbinguni. Upuuzi mkubwa. Binadamu hafufuki wala hapai.
Hii ni mifano michache ya mambo yasiyo make sense ambayo watu wazima na akili zao wameamua kuyaamini, kuyalinda na hata kuyafia.
Kama si ujinga ni nini?
Dini ni upuuzi. Kupuuzia logic.
Hahahaa we jjnga sana dogo. 😁😁😆😆 wachaga wakishapata UKIMWI hasa wamama ndio wanakuwa walokole
Mbona unawaita washirikina kwani miujiza imesitishwa lini kwenye UkristoUkristu unajikita katika matendo mema sio tu kuwa na imani. Hawa wapuuzi wa kilokole walojikita kwenye miujiza ni sawa na washirikina hawafai kujiita wakristu.
Aisee maybe you dont know dhat, moja ya effect kubwa ya dini huwa inafanya jamii husika IQ zao kuwa chini, kuokuweza kufikiria mbali.Nani kakakwambia ukijihusisha sana na dini lazima uwe duni kimaendeleo au kiuchumi ?
Kinachozungumzwa hapo ni dini kuwafanya watu wawe kama mazombie au machizi.
Hueleweki. Andika vizuri kama mtu mwenye utimamu.Angalia na hili siyo mambo bayana?
Katika Qur’an Surah Al-Ghaashiyah 88: 17 Allah anasema:
"Je! Hawatazami ngamia jinsi alivyoumbwa?"
hiyo ni technology ya zamani je Mungu kwa sasa unafikiri atakuwa na technology ipi
Hapo mama John tu Kuna mitume na manabii wasio pungua 15 ukitaka nakuelekeza hadi makanisa yaoSio kweli. Naishi Mbeya mkuu. Hizo ni hadithi tu bro.
Huu ndio ukweli mchungu. Mimi kwenye familia yangu nusu ni walokole, nusu RC. Sisi RC tukiandaa kitu chochote iwe ni sherehe, kikao nk wale walokole wanasusia wanadai hawawezi kuja maana kuna pombe, tukichinja hata mbuzi hawali. Matokeo yake kama familia hatuwezi kukaa tukapanga jambo lolote la pamoja.Dini zinagawanya watu zaidi kuliko kuunganisha, Mila zinawaleta watu pamoja zaidi. Mfano Msiba, harusi/ndoa, malezi & utafutaji zamani haya mambo yalienda kimila zaidi na watu walishikamana lakini saiv kuna baadhi ya mambo unaweza usipate access ya moja kwa moja kwa ndugu yako wa kuzaliwa nae tumbo moja kwa sababu tu mmetofautiana dini.
Dsm, Arusha na Kilimanjaro umezionea. Nafasi zao zichukuliwe Mikoa iliyoathirika pakubwa na dini kama Mkoa wa Tanga, Lindi na Mtwara.Hii ni mikoa sita ambayo watu wake wengi zaidi wamelewa ulevi wa dini hadi kufikia kiwango cha kuwa kama watu wenye matatizo ya akili/waliochanganyikiwa.
1. Dar es Salaam
2. Mbeya
3. Arusha
4. Kilimanjaro
5. Mikoa yote Zanzibar
6. Pwani
Na wanakula mdudu na mbege kama kawa, machaga hata awe freemason, december atarudi tu 😂😂Sana sana Machame hiyo!
Uzuri mchaga hata ashike dini hadi mwisho haachi asili yake december tunalipuka naye fresh, iwe sherehe au msiba tunakunywa naye fresh.
Hata awe itikadi kali akifika tu Mombo anaanza na mduduNa wanakula mdudu na mbege kama kawa, machaga hata awe freemason, december atarudi tu 😂😂
Ukipewa ya mfalme Zumaridi unakula?Na anapendeza yule ukimpiga 🐕 style
Hahaha😆😆 wachaga wakishapata UKIMWI hasa wamama ndio wanakuwa walokole