Wala siweki mateUkipewa ya mfalme Zumaridi unakula?
Ulitaka quran iseme nini zaidi ya kujipendelea yenyewe?Ushahidi wa dini katika Qur'an
Surah Aal-Imran (3:19)
"Hakika Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu..."
Surah Al-Baqarah (2:256)
"Hakuna kulazimishwa katika Dini. Kwani uwongofu umekwisha bainika na upotofu..."
Surah Al-Kafirun (109:6)
"Nyinyi mna Dini yenu, nami nina Dini yangu."
Kuna kama kaukweli flan hapa!Hii ni mikoa sita ambayo watu wake wengi zaidi wamelewa ulevi wa dini hadi kufikia kiwango cha kuwa kama watu wenye matatizo ya akili/waliochanganyikiwa.
1. Dar es Salaam
2. Mbeya
3. Arusha
4. Kilimanjaro
5. Mikoa yote Zanzibar
6. Pwani
7. Lindi
8. Mtwara
Kilimanjaro na Arusha iwe Ukatoliki, Uislamu, Ulutherani au Ulokole watu wake wanaenda kwenye extreme(msimamo mkali) zaidi, ni vigumu sana kwao kubalance au kuwa moderate.Hahaha wachaga kuna mpaka waislam, tena wana misimamo mikali kuliko kawaida 😆
Kitu ambacho wakoloni walifaniwa sana Afrika ni kutufanya sisi tujichukie wenyewe. Nakubali ni ni kweli kuna baadhi ta imani au mila na desturi zetu zilikuwa mbaya sana (kwa mfano kuna sehemu walikuwa wanatoa kafara binadamu wengine) lakini bado zipo mila zilizokuwa nzuri na zinatuunganisha na kutambulisha utu wetu. Mkuu Zanzibar-ASP mila na desturi hazimaanishi watu hawafuati dini. Je, unajua hata uislam ni kama kufuata mila na desturi za waarabu? Ukristo hivyo hivyo...Zamani niliamini wachaga karibu wote ni waumini wa dini ya kikristo, lakini nillipo tembelea huko uchagani mwezi December nikagundua huenda zaidi ya 80% ya wachaga ni wapagani na waumini nguli wa dini za kijadi (mizimu, matambiko na ushirikina)
Mbeya wameigeuza fursa wengne wote hao ni makondooHii ni mikoa sita ambayo watu wake wengi zaidi wamelewa ulevi wa dini hadi kufikia kiwango cha kuwa kama watu wenye matatizo ya akili/waliochanganyikiwa.
1. Dar es Salaam
2. Mbeya
3. Arusha
4. Kilimanjaro
5. Mikoa yote Zanzibar
6. Pwani
7. Lindi
8. Mtwara
Msikilze huyu Shekh Kesede kutoka katika BibliaUlitaka quran iseme nini zaidi ya kujipendelea yenyewe?
Nje ya quran na hadeeth ni wapi allah anasema dini pekee ni uislam?
Source nyingine kuthibitisha hilo?
Sisi Arusha 70% ni wapagani halafu useme tumeharibiwa na dini?Hii ni mikoa sita ambayo watu wake wengi zaidi wamelewa ulevi wa dini hadi kufikia kiwango cha kuwa kama watu wenye matatizo ya akili/waliochanganyikiwa.
1. Dar es Salaam
2. Mbeya
3. Arusha
4. Kilimanjaro
5. Mikoa yote Zanzibar
6. Pwani
7. Lindi
8. Mtwara
Ndio bangi zenyewe hizo, unakuwa mtumwa wa kitu, no right to question.Dini kwa mujibu wa Uislamu ni mfumo wa maisha unaomuelekeza mwanadamu kumtambua kumuabudu na kumtii Mwenyezi Mungu katika kila kipengele cha maisha kwa kufuata mwongozo alioleta kupitia Mitume Wake.
Uko serious kweli?
Yaani mwenyewe umekaa ukaenda chimbo ukamleta huyo mpiga porojo ka sourc kuthibitisha hoja yako?
Nje ya quran na hadeeth na ngano zingine za aina hiyo naomba ulete ushahidi wa kihistoria,alkiolojia na shahidi zingine kuthibitisha uislam ulikuweko tangia enzi na enzi!
Kilakitu kina mipaka yake leta hilo swali ili tujueNdio bangi zenyewe hizo, unakuwa mtumwa wa kitu, no right to question.
Na ukiwa mlevi wa dini lazima uwe maskini.Hii ni mikoa nane ambayo watu wake wengi zaidi wamelewa ulevi wa dini hadi kufikia kiwango cha kuwa kama watu wenye matatizo ya akili/waliochanganyikiwa.
1. Dar es Salaam
2. Mbeya
3. Arusha
4. Kilimanjaro
5. Mikoa yote Zanzibar
6. Pwani
7. Lindi
8. Mtwara
Hawa wapo mbele kimaendeleo nyumbani na ugenini kuliko wengine wasio na dini, unasemaje sheikhe?3. Arusha
4. Kilimanjaro
Kwenye u catholic is different, catholic si religious extrimist , na wana himiza sana watu wasome wafanye kazi zingineKilimanjaro na Arusha iwe Ukatoliki, Uislamu, Ulutherani au Ulokole watu wake wanaenda kwenye extreme(msimamo mkali) zaidi, ni vigumu sana kwao kubalance au kuwa moderate.