Wanasema imani ni kuwa na uhakika na mambo yasiyo bayana. Mambo yasiyothibitishika.
Sasa unajiuliza, unakuaje na uhakika na mambo yasiyothibitishika? Ukichaa ndiyo unaanzia hapo.
Waislamu wanaamini jiwe lilikimbia na nguo za Musa. Upuuzi mtupu.
Kwamba Mohammad alipaa kwenye mgongo wa mnyama, akaenda kuswali Al-Aqsa na akarudi usiku huo huo. Upuuzi sana.
Wakristu wanaamini Yesu alifufuka na akapaa mbinguni. Upuuzi mkubwa. Binadamu hafufuki wala hapai.
Hii ni mifano michache ya mambo yasiyo make sense ambayo watu wazima na akili zao wameamua kuyaamini, kuyalinda na hata kuyafia.
Kama si ujinga ni nini?
Dini ni upuuzi. Kupuuzia logic.