October 2pm
Senior Member
- May 2, 2023
- 106
- 282
- Thread starter
-
- #21
Vijana hawana nauli wewe, kusema Majiji yatakuwa na ushindani wa Kawaida ni uongo wa Mchana. Hapo cha muhimu Vijana wajipange tena haswa
Ujanja ni kuomba kupitia mikoa inayopuuzwa, upate check number kisha pambania uhamisho..... SIMPLE!
Ndio maana nikasema watachagua mikoa ya Karibu na hayo Majiji.
Kila mtu ashinde mechi zake,kwani wakati Sekretarieti Iko Dar wale wa Kagera,Rukwa,Mara walikuwa hawasafiri? Si Bora Sasa hivi stage ya mwisho ya oral ndio mtu anasafiri tofauti na awali.Tatizo la Vijana NI nauli.
MTU atoke Dsm mpaka Rukwa lazima awe na Laki Mbili mfukoni.
Au Mwanza Rukwa
Au Arusha Kigoma au Kagera
Alafu siô Kazi Bali kwenda kushindana, unafikiri kuna mwenye huo ujasiri WA kubet pesa yôte hiyo?
Kwa upande wa walimu ni sahihi kabisa, maana huko ndo wanaenda kufundisha watoto. ( maswali yatatolewa kuazia form one - chuo kikuu)Unaweza ukashangaa Watu wakapewa paper la form four wapige.
Waalimu walivyo wengi kijana lazima ajihakikishie hashuki chini ya 90% kwèñye Written
Kwa upande wa walimu ni sahihi kabisa, maana huko ndo wanaenda kufundisha watoto. ( maswali yatatolewa kuazia form one - chuo kikuu)
Kila mtu ashinde mechi zake,kwani wakati Sekretarieti Iko Dar wale wa Kagera,Rukwa,Mara walikuwa hawasafiri? Si Bora Sasa hivi stage ya mwisho ya oral ndio mtu anasafiri tofauti na awali.
Kwa Nini wafeli 🤔🤔.Hii wengi watafeli
Kwaiyo huko hakuna watu ?Kwa Sasa weñye nauli ndîo Wana advantage ya kutoboa.
Mikoa ya Kigoma, Kagera, Rukwa Katavi, Mtwara na Ruvuma nauli Zake zîpo juu. Watakaoenda Huko watakuwa wachache
Watakimbia wengi na bado watabaki wengi. Sitarajii mkoa wowote ukaribie idadi ya watakaofanyia Dar.Utakuja kuona.
Nauli ya Morogoro elfu 10, Guest elfu 10, chàkula elfu 10. Nauli ya kurudi elfu 10. Jumla elfu hamsini. Mtu hawezi kukosa hiyo, anaweza hata kukopa.
Nauli ya Kibaha elfu 2. Guest elfu 10. Kula elfu Kumi kurudi elfu 2. MTU hawezi Kosa elfu 30.
Dsm wengi waliowajanja hawawezi kuthubutu kuchagua.
Kimbinu Eneo Hilo linahitaji connection isiyotia Shaka, uwezo wa kupata marks za juu yàani úwe top 10 katika Somo Lako. Hakuna wakujaribu
Mtwara na Lindi bora njia nyeupe kwa mtu aliye karibu. Ila watakaoenda mikoani wengi wataenda kwao au ambapo walisomea A level au chuo. Sasa mtu kazaliwa Manyara, kasoma UDOM kisha kaja Dar kutafuta maisha. Eti kituo cha interview aende Tabora lazima iwe vigumu sana kwake.Kwaiyo huko hakuna watu ?
Kidogo mtwara wasomi ni wachache na watu wa mtwara hawaupendi mkoa wao
Kwa kigoma ushindani ni mkali waha wanaukubali saana mkoa wao pia kigoma kuna vyuo vya ualimu zaidi ya vinne
Watakimbia wengi na bado watabaki wengi. Sitarajii mkoa wowote ukaribie idadi ya watakaofanyia Dar.
Dar ina watu zaidi ya milioni sita, 10% ya idadi ya Watanzania wote kwenye kaeneo unakotumia daladala na nauli isiyozidi 1500 kwenda route ndefu zaidi.
Hawa wengine wao hela ya stationary hawakuwa nayo walikuja kuniomba laptop, wengine hata kuitumia hawajui nilikuwa nawafanyia ndio unasema waingie gharama waende Morogoro? We ngoja utaona.
Hivi unajua kupigika kimaisha kwa graduate asiye na kitu cha kujishikiza, hata vocha ya buku mtu anakosa wewe unasema kwenda Morogoro.
Afu ni tamko la mjinga mmoja,yaan alitamka kama utani hv nae aonekane anafanya kazi na ndo likapita hvyoAliyebuni hili nae hana ilimu...
Huu uzi unanitoa kwenye reli mimi niliochagua Dar