Mikoa ambayo itakuwa na competition kûbwa Kutokana na wasailiwa kuwa wengi Vs mikoa yenye competition ndogo

Mikoa ambayo itakuwa na competition kûbwa Kutokana na wasailiwa kuwa wengi Vs mikoa yenye competition ndogo

Ujanja ni kuomba kupitia mikoa inayopuuzwa, upate check number kisha pambania uhamisho..... SIMPLE!

Kwa Sasa weñye nauli ndîo Wana advantage ya kutoboa.
Mikoa ya Kigoma, Kagera, Rukwa Katavi, Mtwara na Ruvuma nauli Zake zîpo juu. Watakaoenda Huko watakuwa wachache
 
Tatizo la Vijana NI nauli.
MTU atoke Dsm mpaka Rukwa lazima awe na Laki Mbili mfukoni.
Au Mwanza Rukwa
Au Arusha Kigoma au Kagera

Alafu siô Kazi Bali kwenda kushindana, unafikiri kuna mwenye huo ujasiri WA kubet pesa yôte hiyo?
Kila mtu ashinde mechi zake,kwani wakati Sekretarieti Iko Dar wale wa Kagera,Rukwa,Mara walikuwa hawasafiri? Si Bora Sasa hivi stage ya mwisho ya oral ndio mtu anasafiri tofauti na awali.
 
Unaweza ukashangaa Watu wakapewa paper la form four wapige.

Waalimu walivyo wengi kijana lazima ajihakikishie hashuki chini ya 90% kwèñye Written
Kwa upande wa walimu ni sahihi kabisa, maana huko ndo wanaenda kufundisha watoto. ( maswali yatatolewa kuazia form one - chuo kikuu)
 
Kila mtu ashinde mechi zake,kwani wakati Sekretarieti Iko Dar wale wa Kagera,Rukwa,Mara walikuwa hawasafiri? Si Bora Sasa hivi stage ya mwisho ya oral ndio mtu anasafiri tofauti na awali.

Lazima wajiandae.
Kama ningekuwa Mimi ningechagua mikoa korofi na yambali
 
KWA KIGOMA SIMSHAURI MTU KUOMBA KWA SABABU

1.Watu wengi saana wameomba huko
2. Plan iliyopo ni kuwapanga walimu shule za njia za maji huko hakuna umeme wa maji safi ni mwendo wa kutembea pembezoni mwa ziwa
3.Mzunguko wa hela ni finyu saana
4.Watu wake wanaukubali saana mkoa wao

Mikoa ya kuomba ambayo haina ushindani saana ni
Katavi
Tanga
Rukwa
Ruvuma
Njombe
Singida
Tabora
 
Kwa Sasa weñye nauli ndîo Wana advantage ya kutoboa.
Mikoa ya Kigoma, Kagera, Rukwa Katavi, Mtwara na Ruvuma nauli Zake zîpo juu. Watakaoenda Huko watakuwa wachache
Kwaiyo huko hakuna watu ?
Kidogo mtwara wasomi ni wachache na watu wa mtwara hawaupendi mkoa wao

Kwa kigoma ushindani ni mkali waha wanaukubali saana mkoa wao pia kigoma kuna vyuo vya ualimu zaidi ya vinne
 
Utakuja kuona.
Nauli ya Morogoro elfu 10, Guest elfu 10, chàkula elfu 10. Nauli ya kurudi elfu 10. Jumla elfu hamsini. Mtu hawezi kukosa hiyo, anaweza hata kukopa.

Nauli ya Kibaha elfu 2. Guest elfu 10. Kula elfu Kumi kurudi elfu 2. MTU hawezi Kosa elfu 30.

Dsm wengi waliowajanja hawawezi kuthubutu kuchagua.
Kimbinu Eneo Hilo linahitaji connection isiyotia Shaka, uwezo wa kupata marks za juu yàani úwe top 10 katika Somo Lako. Hakuna wakujaribu
Watakimbia wengi na bado watabaki wengi. Sitarajii mkoa wowote ukaribie idadi ya watakaofanyia Dar.

Dar ina watu zaidi ya milioni sita, 10% ya idadi ya Watanzania wote kwenye kaeneo unakotumia daladala na nauli isiyozidi 1500 kwenda route ndefu zaidi.

Hawa wengine wao hela ya stationary hawakuwa nayo walikuja kuniomba laptop, wengine hata kuitumia hawajui nilikuwa nawafanyia ndio unasema waingie gharama waende Morogoro? We ngoja utaona.

Hivi unajua kupigika kimaisha kwa graduate asiye na kitu cha kujishikiza, hata vocha ya buku mtu anakosa wewe unasema kwenda Morogoro.
 
Kwaiyo huko hakuna watu ?
Kidogo mtwara wasomi ni wachache na watu wa mtwara hawaupendi mkoa wao

Kwa kigoma ushindani ni mkali waha wanaukubali saana mkoa wao pia kigoma kuna vyuo vya ualimu zaidi ya vinne
Mtwara na Lindi bora njia nyeupe kwa mtu aliye karibu. Ila watakaoenda mikoani wengi wataenda kwao au ambapo walisomea A level au chuo. Sasa mtu kazaliwa Manyara, kasoma UDOM kisha kaja Dar kutafuta maisha. Eti kituo cha interview aende Tabora lazima iwe vigumu sana kwake.
 
Watakimbia wengi na bado watabaki wengi. Sitarajii mkoa wowote ukaribie idadi ya watakaofanyia Dar.

Dar ina watu zaidi ya milioni sita, 10% ya idadi ya Watanzania wote kwenye kaeneo unakotumia daladala na nauli isiyozidi 1500 kwenda route ndefu zaidi.

Hawa wengine wao hela ya stationary hawakuwa nayo walikuja kuniomba laptop, wengine hata kuitumia hawajui nilikuwa nawafanyia ndio unasema waingie gharama waende Morogoro? We ngoja utaona.

Hivi unajua kupigika kimaisha kwa graduate asiye na kitu cha kujishikiza, hata vocha ya buku mtu anakosa wewe unasema kwenda Morogoro.

Mchawi nauli
 
Halafu muwarudishie basi gharama zao zote hao watoto wa watu mnao wasumbua kusafiri kutoka sehemu moja kwenda nyingine na kuwafanyia hicho kiini macho chenu! na huku tayari mkiwa na majina ya wale mtakao waajiri; mifukoni mwenu.
 
Huu uzi unanitoa kwenye reli mimi niliochagua Dar
 
Back
Top Bottom