Mikoa ambayo itakuwa na competition kûbwa Kutokana na wasailiwa kuwa wengi Vs mikoa yenye competition ndogo

Mikoa ambayo itakuwa na competition kûbwa Kutokana na wasailiwa kuwa wengi Vs mikoa yenye competition ndogo

Kwa Sasa weñye nauli ndîo Wana advantage ya kutoboa.
Mikoa ya Kigoma, Kagera, Rukwa Katavi, Mtwara na Ruvuma nauli Zake zîpo juu. Watakaoenda Huko watakuwa wachache
Achana na hiyo mentality bwashee, kwa sasa walimu wasio na ajira wapo kila kona ya Tanzania , hivyo tutegemee mikoa yote ushindani ni sawa tu.
 
KWA KIGOMA SIMSHAURI MTU KUOMBA KWA SABABU

1.Watu wengi saana wameomba huko
2. Plan iliyopo ni kuwapanga walimu shule za njia za maji huko hakuna umeme wa maji safi ni mwendo wa kutembea pembezoni mwa ziwa
3.Mzunguko wa hela ni finyu saana
4.Watu wake wanaukubali saana mkoa wao

Mikoa ya kuomba ambayo haina ushindani saana ni
Katavi
Tanga
Rukwa
Ruvuma
Njombe
Singida
Tabora
Umeisahau simiyu
 
. Kwa upande wa Afya sijaona ugumu wa oral na written, hata kwa cadre ya walimu itakuwa hivyo hivyo.( hapa nazungumzia ambao kichwani zimo).

. Ikiwezekana ajira portal waendelee hivi hivi.. Ili kuchuja mambumbumbu wasiingie kwenye mfumo.
Kwenye account ya Tamisemi Instagram nimeona walimu wanalalamika vibaya mno kuhusu huu utaratibu wa usahili hasa wale waliomaliza miaka ya nyuma kidgo ila Mimi nataka niwaulize wewe umemaliza chuo toka 2015 hujaajiriwa Leo umeletewa mfumo wa usahili ujipambanie unaanza kulalamika sasa unataka uendelee Kukaa mtaani ?
 
Walimu wanaogopa mitihani... Hapa ndo tujue kabisa elimu ya AFRICA ni kukariri..

Ndo maana mtu na elimu yake akikaa mda mfrefu mtaani bila ajira/kazi husika, materials yote yanapukutika kichwani.
 
Unaweza ukashangaa Watu wakapewa paper la form four wapige.

Waalimu walivyo wengi kijana lazima ajihakikishie hashuki chini ya 90% kwèñye Written
Uanze kuulizwa maswali ya mfecane war, modes of production (ujitukabeja), ngoni migration, othuman Dan fodio, Shaka Zulu, zwangendaba, mputa maseko, mtu alisoma miaka 12 iliyo pita baadae akawa bodaboda au mkulima sijui Kama atakua na hizo kumbukumbu za kujibu objectives questions
 
Walimu wanaogopa mitihani... Hapa ndo tujue kabisa elimu ya AFRICA ni kukariri..

Ndo maana mtu na elimu yake akikaa mda mfrefu mtaani bila ajira/kazi husika, materials yote yanapukutika kichwani.
ELIMU NI KILE KITU KINACHO BAKIA KICHWANI BAADA YA KU 🎓

Ukiona umekariri material na kujibu mitiani na kufaulu vizuri na ukapita muda ukawa umesahau uliyo jifunza Basi itoshe kusema ELIMU NI KILE KINACHO BAKIA KICHWANI BAADA YA KUMALIZA KUJIFUNZA.
 
. Nahisi haya maneno ni ya wachache sana kati ya wale wanao graduate 🎓.

. Walio wengi ni kariri - piga pepa - Graduate - materials yanapukutika.

. Interview zikitoka tunaaza tena upya kusoma 😪😪.
 
. Nahisi haya maneno ni ya wachache sana kati ya wale wanao graduate 🎓.

. Walio wengi ni kariri - piga pepa - Graduate - materials yanapukutika.

. Interview zikitoka tunaaza tena upya kusoma 😪😪.
Unaweza ukanichukua hapa nifanye mitiani ya form four gafla gafla utashangaa nisipate hata division 3 ya 25
Yaan CCC (3) zikakutoa jasho wakati ulikuaga na division 1 or 2 previously

🤣🤣🤣
 
Unaweza ukanichukua hapa nifanye mitiani ya form four gafla gafla utashangaa nisipate hata division 3 ya 25
Yaan CCC (3) zikakutoa jasho wakati ulikuaga na division 1 or 2 previously

🤣🤣🤣
🤣🤣🤣, sasa hivi walimu wapo busy wamejifungia magetoni wanakula msuli kwa ajili ya usail ujao. Tabu tupu 😏😏
 
KWA KIGOMA SIMSHAURI MTU KUOMBA KWA SABABU

1.Watu wengi saana wameomba huko
2. Plan iliyopo ni kuwapanga walimu shule za njia za maji huko hakuna umeme wa maji safi ni mwendo wa kutembea pembezoni mwa ziwa
3.Mzunguko wa hela ni finyu saana
4.Watu wake wanaukubali saana mkoa wao

Mikoa ya kuomba ambayo haina ushindani saana ni
Katavi
Tanga
Rukwa
Ruvuma
Njombe
Singida
Tabora

KWA KIGOMA SIMSHAURI MTU KUOMBA KWA SABABU

1.Watu wengi saana wameomba huko
2. Plan iliyopo ni kuwapanga walimu shule za njia za maji huko hakuna umeme wa maji safi ni mwendo wa kutembea pembezoni mwa ziwa
3.Mzunguko wa hela ni finyu saana
4.Watu wake wanaukubali saana mkoa wao

Mikoa ya kuomba ambayo haina ushindani saana ni
Katavi
Tanga
Rukwa
Ruvuma
Njombe
Singida
Tabora
Geita vp mkuu kuna utitiri?
 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

Waalimu mmepewa Siku tatu za kufanya mabadiliko katika akaunti zenu kuchagua mikoa àmbayo ntakuwa comfortable kufanya usaili WA mahojiano endapo mtafauku Written.

Choose wisely.
Unaweza ukajikuta umechagua Mkoa weñye wasailiwa wengi zaidi na hiyo kuzidisha chance ya kutoboa.

Kwa Hali ilivyo Mikoa hii inatarajiwa kuwa kimbilio la Wasailiwa wengi na kufanya competition íwe Kûbwa.

1. Mikoa yôte iliyokaribu na Majiji Makubwa kama Morogoro, Kilimanjaro, Manyara,Pwani. Mara, Singida, Simiyu, Iringa.
Mikoa hiyo ukichagua úwe umejipanga haswa. Úwe na Shule.

Mikoa àmbayo haitakuwa na competition kûbwa;
1. Kigoma,
2. Katavi
3. Tanga
4. Ruvuma
5. mtwara.

Mikoa àmbayo itakuwa na ushindani wa Kawaida
1. Dar es salaam
Wasailiwa wengi wataogopa kuchagua Mkoa huu Kwa kudhani kuwa competition NI kûbwa na hivyo wengi watachagua Mikoa ya Karibu kama Pwani na Morogoro.

2. Mwanza.
Huu Mkoa ni Kama Dsm, wengi hawatauchagua Kwa kuogopa ushindani. Jambo ambalo litafanya wasailiwa wawe wakawaida. Wengi watachagua Kahama(shinyanga), Geita,

3. Arusha
4. Dodoma.

Mikoa ya Mbali itakosa ushindani kutokana na hofu ya wasailiwa kuogopa kuchoma nauli yàani kubeti Kwa Jambo ambalo Hawana uhakika nalo. Mikoa ya Kigoma, Kagera , mtwara na Ruvuma Kwa watakaochagua itakuwa kitonga kwani watakuwa wachache.

Wahitimu wengi wàpo mijini na wengi vipato vyao haviwaruhusu kufanya masafa marefu kwani NI gharama. Mjiandae vyema.

Usaili ni Mbinu, uwezo, umahiri na Bahati.
Usichokijua ni kuwa na uwiano ni huo huo.
 
Back
Top Bottom