mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
Siasa za Tanzania ni Za kutabirika, Kwasasa tukiweka mambo ya maridhiano kwenda vizuri, yaani kuwe na uchaguzi huru na wa Haki basi uchaguzi wa Urais utakuwa Mrais na Kwa kiasi kikubwa tunajua matokeo yatakavyokuwa kimkoa, nina amini kutokana na siasa za kukubalika kwa CCM na Chadema kwa mikoa ya Tanzania , ninawiwa kusema na kutaja mikoa ambayo wataongoza kura za Urais kati ya Samia wa CCM na Lissu wa Chadema.
Wagombea wengine kutoka ACT na CUF na vyama vingine sidhani kama wana uwezo wa kushinda hata Mkoa mmoja kwenye kura za urais, sana sana nafahamu Jimbo la kigoma linaenda kwa zito, jimbo la hai, Mbowe, Ubungo Bon Yai, arusha Lema, Dodoma mAVUNDE, MUHEZA ADADI RAJABU, TANGA MJINI UMMY MWALIMU,
Sasa kwa ushawishi hii ndio mikoa ambayo CCM na Samia wataongoza Kura za Urais yaani majumuisho ya kura za urais, na hii nazungumzia kimkoa/Nchi na si ki idadi
1. Dodoma
2. Pwani
3. Singida
4. Morogoro
5. Ruvuma
6. Lindi,
7.Mtwara
8.Rukwa
9. Iringa
10. Songwe
11.Pemba
12.Unguja
13. Tanga
14.Katavi
15. Njombe
Sasa kwa ushawishi hii ndio mikoa ambayo Chadema na Lissu wataongoza Kura za Urais yaani majumuisho ya kura za urais, na hii nazungumzia kimkoa na si ki idadi
1. Dar es salaam
2. Mwanza
3. Arusha
4. Mara
5.Kagera
6 Tabora
7. Kilimanjaro
8.Manyara
9. Simiyu
10 . Shinyanga
11. Mbeya
12. Geita
13. Kigoma
Huo ni utabiri kulingana na ukubalikaji wa mtu fulani katika eneo fulani,