Pre GE2025 Mikoa ambayo Rais Samia na Lissu watachukua kura nyingi za Urais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Siasa za Tanzania ni Za kutabirika, Kwasasa tukiweka mambo ya maridhiano kwenda vizuri, yaani kuwe na uchaguzi huru na wa Haki basi uchaguzi wa Urais utakuwa Mrais na Kwa kiasi kikubwa tunajua matokeo yatakavyokuwa kimkoa, nina amini kutokana na siasa za kukubalika kwa CCM na Chadema kwa mikoa ya Tanzania , ninawiwa kusema na kutaja mikoa ambayo wataongoza kura za Urais kati ya Samia wa CCM na Lissu wa Chadema. Wagombea wengine kutoka ACT na CUF na vyama vingine sidhani kama wana uwezo wa kushinda hata Mkoa mmoja kwenye kura za urais, sana sana nafahamu Jimbo la kigoma linaenda kwa zito, jimbo la hai, Mbowe, Ubungo Bon Yai, arusha Lema, Dodoma mAVUNDE, MUHEZA ADADI RAJABU, TANGA MJINI UMMY MWALIMU,

Sasa kwa ushawishi hii ndio mikoa ambayo CCM na Samia wataongoza Kura za Urais yaani majumuisho ya kura za urais, na hii nazungumzia kimkoa/Nchi na si ki idadi
1. Dodoma
2. Pwani
3. Singida
4. Morogoro
5. Ruvuma
6. Lindi,
7.Mtwara
8.Rukwa
9. Iringa
10. Songwe
11.Pemba
12.Unguja
13. Tanga
14.Katavi
15. Njombe

Sasa kwa ushawishi hii ndio mikoa ambayo Chadema na Lissu wataongoza Kura za Urais yaani majumuisho ya kura za urais, na hii nazungumzia kimkoa na si ki idadi
1. Dar es salaam
2. Mwanza
3. Arusha
4. Mara
5.Kagera
6 Tabora
7. Kilimanjaro
8.Manyara
9. Simiyu
10 . Shinyanga
11. Mbeya
12. Geita
13. Kigoma

Huo ni utabiri kulingana na ukubalikaji wa mtu fulani katika eneo fulani,
Kwa lugha rahisi, ni kwamba Kanda ya ziwa Lissu anashinda, na anayeshinda kanda ya ziwa ndo ambaye anashinda Urais!!

Kwa mantiki hiyo Lissu ndo Rais wa 2025 October,

Kanda ya ziwa Ina population ya watu asilimia 20% ya watanzania wote.

Yaani Mwanza,Mara, Geita, Simiyu, Kagera.

Ni kanda yenye watu wengi, wapiga kura wengi, ambao watafanya LISSU awe Rais wa Tz.

Samia anatakiwa kujiandaa kwenda kizimkazi.akalee wajukuu!!!
 
Nyota njema huonekana asubuhi.

Lissu Neema inamfata soon
 
Hapo kwe Pemba na Samia umepotea mazima mzee, fanya tena utafiti wako.
 
Inawezekana , licha ya yote ila kumbuka wazanzibari ni wabaguzi sana sana sana sana, Sisi Watanganyika ndo tunajifanya Neutral
 
Ila Kusema Ukweli hivi Mfano watanganyika ndo wangekuwa ndo wananchi wa Zanzibar halaf Wazanzibar ndo wangekuwa Wananchi wa Tanganyika, Mnafikiri ingewezekana mtangayika kutoka nchi ya zanzibar angeweza kutawala tanganyika ya wazanzibari na wakakubali, sisi ni maboya
 
Siasa za Tanzania ni Za kutabirika, Kwasasa tukiweka mambo ya maridhiano kwenda vizuri, yaani kuwe na uchaguzi huru na wa Haki basi uchaguzi wa Urais utakuwa Mrais na Kwa kiasi kikubwa tunajua matokeo yatakavyokuwa kimkoa, nina amini kutokana na siasa za kukubalika kwa CCM na Chadema kwa mikoa ya Tanzania , ninawiwa kusema na kutaja mikoa ambayo wataongoza kura za Urais kati ya Samia wa CCM na Lissu wa Chadema. Wagombea wengine kutoka ACT na CUF na vyama vingine sidhani kama wana uwezo wa kushinda hata Mkoa mmoja kwenye kura za urais, sana sana nafahamu Jimbo la kigoma linaenda kwa zito, jimbo la hai, Mbowe, Ubungo Bon Yai, arusha Lema, Dodoma mAVUNDE, MUHEZA ADADI RAJABU, TANGA MJINI UMMY MWALIMU,

Sasa kwa ushawishi hii ndio mikoa ambayo CCM na Samia wataongoza Kura za Urais yaani majumuisho ya kura za urais, na hii nazungumzia kimkoa/Nchi na si ki idadi
1. Dodoma
2. Pwani
3. Singida
4. Morogoro
5. Ruvuma
6. Lindi,
7.Mtwara
8.Rukwa
9. Iringa
10. Songwe
11.Pemba
12.Unguja
13. Tanga
14.Katavi
15. Njombe

Sasa kwa ushawishi hii ndio mikoa ambayo Chadema na Lissu wataongoza Kura za Urais yaani majumuisho ya kura za urais, na hii nazungumzia kimkoa na si ki idadi
1. Dar es salaam
2. Mwanza
3. Arusha
4. Mara
5.Kagera
6 Tabora
7. Kilimanjaro
8.Manyara
9. Simiyu
10 . Shinyanga
11. Mbeya
12. Geita
13. Kigoma

Huo ni utabiri kulingana na ukubalikaji wa mtu fulani katika eneo fulani,
Mkuu kwa tume ipi? Uchaguzi ukiwa huru na WA haki live, ccm Hali mbaya...
 
Umeulizwa Pemba unaifaham? Hawawez kumchagua Ccm hata kama ni mzanzibr, ww Wapemba huwajui vzr, ccm wanawafaham
Siwezi kubisha labda wewe ndo mpemba mwenyewe, sasa basi hapo pemba naihamisha kwa Tundu Lissu
 
Songwe no Iringa no

Pemba asingepata sema due to fact that naye ni mpemba watampa
Siasa za Tanzania ni Za kutabirika, Kwasasa tukiweka mambo ya maridhiano kwenda vizuri, yaani kuwe na uchaguzi huru na wa Haki basi uchaguzi wa Urais utakuwa Mrais na Kwa kiasi kikubwa tunajua matokeo yatakavyokuwa kimkoa, nina amini kutokana na siasa za kukubalika kwa CCM na Chadema kwa mikoa ya Tanzania , ninawiwa kusema na kutaja mikoa ambayo wataongoza kura za Urais kati ya Samia wa CCM na Lissu wa Chadema. Wagombea wengine kutoka ACT na CUF na vyama vingine sidhani kama wana uwezo wa kushinda hata Mkoa mmoja kwenye kura za urais, sana sana nafahamu Jimbo la kigoma linaenda kwa zito, jimbo la hai, Mbowe, Ubungo Bon Yai, arusha Lema, Dodoma mAVUNDE, MUHEZA ADADI RAJABU, TANGA MJINI UMMY MWALIMU,

Sasa kwa ushawishi hii ndio mikoa ambayo CCM na Samia wataongoza Kura za Urais yaani majumuisho ya kura za urais, na hii nazungumzia kimkoa/Nchi na si ki idadi
1. Dodoma
2. Pwani
3. Singida
4. Morogoro
5. Ruvuma
6. Lindi,
7.Mtwara
8.Rukwa
9. Iringa
10. Songwe
11.Pemba
12.Unguja
13. Tanga
14.Katavi
15. Njombe

Sasa kwa ushawishi hii ndio mikoa ambayo Chadema na Lissu wataongoza Kura za Urais yaani majumuisho ya kura za urais, na hii nazungumzia kimkoa na si ki idadi
1. Dar es salaam
2. Mwanza
3. Arusha
4. Mara
5.Kagera
6 Tabora
7. Kilimanjaro
8.Manyara
9. Simiyu
10 . Shinyanga
11. Mbeya
12. Geita
13. Kigoma

Huo ni utabiri kulingana na ukubalikaji wa mtu fulani katika eneo fulani,
 
Kwa lugha rahisi, ni kwamba Kanda ya ziwa Lissu anashinda, na anayeshinda kanda ya ziwa ndo ambaye anashinda Urais!!

Kwa mantiki hiyo Lissu ndo Rais wa 2025 October,

Kanda ya ziwa Ina population ya watu asilimia 20% ya watanzania wote.

Yaani Mwanza,Mara, Geita, Simiyu, Kagera.

Ni kanda yenye watu wengi, wapiga kura wengi, ambao watafanya LISSU awe Rais wa Tz.

Samia anatakiwa kujiandaa kwenda kizimkazi.akalee wajukuu!!!
It's a day dream. Tatizo mna takwim za mijini. Njooni vijijini muone uhalisia wa CCM ilivyojikita
 
Back
Top Bottom