Pre GE2025 Mikoa ambayo Rais Samia na Lissu watachukua kura nyingi za Urais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa lugha rahisi, ni kwamba Kanda ya ziwa Lissu anashinda, na anayeshinda kanda ya ziwa ndo ambaye anashinda Urais!!

Kwa mantiki hiyo Lissu ndo Rais wa 2025 October,

Kanda ya ziwa Ina population ya watu asilimia 20% ya watanzania wote.

Yaani Mwanza,Mara, Geita, Simiyu, Kagera.

Ni kanda yenye watu wengi, wapiga kura wengi, ambao watafanya LISSU awe Rais wa Tz.

Samia anatakiwa kujiandaa kwenda kizimkazi.akalee wajukuu!!!
 
Nyota njema huonekana asubuhi.

Lissu Neema inamfata soon
 
Hapo kwe Pemba na Samia umepotea mazima mzee, fanya tena utafiti wako.
 
Hapo kwe Pemba na Samia umepotea mazima mzee, fanya tena utafiti wako.
Inawezekana , licha ya yote ila kumbuka wazanzibari ni wabaguzi sana sana sana sana, Sisi Watanganyika ndo tunajifanya Neutral
 
Ila Kusema Ukweli hivi Mfano watanganyika ndo wangekuwa ndo wananchi wa Zanzibar halaf Wazanzibar ndo wangekuwa Wananchi wa Tanganyika, Mnafikiri ingewezekana mtangayika kutoka nchi ya zanzibar angeweza kutawala tanganyika ya wazanzibari na wakakubali, sisi ni maboya
 
Mkuu kwa tume ipi? Uchaguzi ukiwa huru na WA haki live, ccm Hali mbaya...
 
Umeulizwa Pemba unaifaham? Hawawez kumchagua Ccm hata kama ni mzanzibr, ww Wapemba huwajui vzr, ccm wanawafaham
Siwezi kubisha labda wewe ndo mpemba mwenyewe, sasa basi hapo pemba naihamisha kwa Tundu Lissu
 
Songwe no Iringa no

Pemba asingepata sema due to fact that naye ni mpemba watampa
 
It's a day dream. Tatizo mna takwim za mijini. Njooni vijijini muone uhalisia wa CCM ilivyojikita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…