Pre GE2025 Mikoa ambayo Rais Samia na Lissu watachukua kura nyingi za Urais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Pemba wala usingeiandika kwa ushindani hakuna ccm wakuishindisha huko.
 
Pemba kura za Uraisi wa JMT watampa Mzanzibar mwenzao, ila kura za Zanzibar hawampi mwinyi
Hawampi hata huyo ccm nakuambia labda wafanye hayo ya hujuma ya kupeleka policcm wa kukodi ili wakafanya hujuma za wizi na kuwaua.
 
It's a day dream. Tatizo mna takwim za mijini. Njooni vijijini muone uhalisia wa CCM ilivyojikita
Mambo ni tofauti, mimi nipo vijijini, Vijana wamehamasika na mabadiliko, au vijiji gani ulipo
 
Singida utaenda na Lissu ila kama kutakuwa na uchaguzi wa huru na haki! Vinginevyo CCM ataendelea kuwika kwa kura za wizi! Katavi imeshakuwa ya Wasukuma hivyo itaenda kwa Lissu!
 

Mnakurupuka sana bila mabadiliko hakuna chaguzi. Usalama na Polisi lini watahesabu kura tuache ujinga wa kujidanganya 😂. No reform no election.Tuanzie hapo acheni mapepe
 
GEITA Kwa kipindi hiki sidhani mkuu na hasa daraja linaenda kugeuza kabisa upepo ila pia mpaka SASA hakuna mtu CHADEMA WA kuisumbua CCM baada ya dada kuhama..... Kuna kajamaaa kakuitwa MANJALE kamejipanga hasa
Upinzani huwa unapigiwa kura za urais ila grassroots ndio CCM ina dominate. Yaani ni rahisi kumpigia Kura Lissu ila ubunge ukampatia CCM!!

In case na Mpina akaja upande huu, aisee CCM watatafutana kama 2015.
 
Hamna lolote, Lema na Golugwa wana ushawishi kaskazini na wote wapo kwa Lissu!! Na hiyo oktoba usishangae Mbowe akampigia kampeni kaskazini nzima.

Pia karatu ni opposition miaka mingi, huyo Lissu atazoa kura za bure huko hawana habari na mambo ya Mbowe. Mind you viongozi wa Karatu waliita press na wakamkataa mbowe hadharani
 
It's a day dream. Tatizo mna takwim za mijini. Njooni vijijini muone uhalisia wa CCM ilivyojikita
Wewe ni BOGA,hakuna Cha maana ulichojibu!!

Kwahiyo takwimu zipi sahihi?? By the way UJINGA BNI MZIGO!!!
Hongera kwa kuchagua UJINGA
 
Tabora itoe huku kwa Lisu ipeleke kwa Samia mkuu tabora hua maccm
 
GEITA Kwa kipindi hiki sidhani mkuu na hasa daraja linaenda kugeuza kabisa upepo ila pia mpaka SASA hakuna mtu CHADEMA WA kuisumbua CCM baada ya dada kuhama..... Kuna kajamaaa kakuitwa MANJALE kamejipanga hasa
Geita haitabiriki,kwenye uchaguz wa serikali za mitaa walichagua upinzan matokeo yakachakachuliwa kila mahali,mazingira ya uchaguz yakiwa huru na haki Sion CCM ikipenya,Kwa ujumla Kaz ipo
 
Mikoa ya juu ya watu waliodumaa kiakili na chini ni watu waliopevuka kifikra
 
Si rahisi usemayo. Huwezi kuitoa CCM kwa takwimu hizo. Mikoa yote Samia anashinda kwa kishindo, hapa hakuna mikoa ya wajinga wala werevu. Kwa tume ipi upinzani ushinde.
 
CCM DAIMA SAMIA MITANO TENA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…