Mikoa ambayo watu wake hawarogani sana

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Great thinkers.

África Kwa uchawi tunatisha. Inasemekana 90% ya waafrica wanaaami katika uchawi na huwa wanaenda Kwa waganga mambo yakienda kombo.

Mikoa ifuatayo nahisi Hakuna wachawi wengi hapa Tanzania.

1. Dar
2. Mara
3. Dodoma
4.Kagera
5. Manyara
6.Arusha
7. Singida.
Kwa uelewa Wangu hii ni mikoa salama dhidi ya uchawi.
Je wewe unaonaje?
 
Jipge kifuan na useme Mm bado mgeni mjn hapa... Maeneo yenye uchaw wa hatar n pamoja na singda arusha manyara uko awakurog ue mwehu ila kama n kijana unaejielewa unalogewa pombe utakunywa pombe mpaka upotee kwenye raman za utafutaji, upande wa mabint ni kupgwa mkosi mmoja hata ue mzur vp uolew unakua mama huruma tu utabless masela uku unazeekea nyumban na kuzalia nyumban.. rud mezan uandae data zako upya
 
Dodoma Amani na salama
 
Ni makosa sana hakuna mkoa uliosafi kama Kilimanjaro katika mambo hayo ikifuatiwa na Arusha labda na Manyara. Haimaanishi hakuna uchawi kabisa maeneo haya bali unafuu ni mkubwa.
 
Kama ni GT, huwezi amini, shabikia, kupenda wala kuzungumzia uchawi!
Hizo Imani ni za mazuzu, wajinga, wapumbavu, wavivu, matapeli, wenye husuda, makatili, roho mbaya!
 
Endelea kuhisi,ila kuloga ni tabia ya mtu sio kabila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…