mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 725
- 1,282
apo #3 ondoa kwanza hlf tukutajie wengneGreat thinkers.
África Kwa uchawi tunatisha. Inasemekana 90% ya waafrica wanaaami katika uchawi na huwa wanaenda Kwa waganga mambo yakienda kombo.
Mikoa ifuatayo nahisi Hakuna wachawi wengi hapa Tanzania.
1. Dar
2. Mara
3. Dodoma
4.Kagera
5. Manyara
6.Arusha
7. Singida.
Kwa uelewa Wangu hii ni mikoa salama dhidi ya uchawi.
Je wewe unaonaje?