permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,484
- 15,297
Tempe mama mitano haya yanawezekana kabisa.MUHIMU: Ni Kwa level ya vyuo vinavyotoa degree, Open University kipo kila mkoa na wanatoa degree lakini ni maalum zaidi kwajili ya waajiriwa, hawaingii madarasani wanajisomea kivyao, huwa wanaenda kufanya mitihani tu.
Kuna mikoa ni kama imesahaulika kabisa kwenye miradi ya kielimu, Mikoa mipya tunaweza kuelewa lakini kuna mikoa kongwe mpaka leo haina vyuo, NI AIBU !!!
Mikoa hii haina vyuo ila vinajengwa
- MARA (Kuna chuo kilianzishwa 2010 kumuenzi Nyerere kijijini Butiama lakini hadi leo hakijakamilika)
- RUVUMA
- PWANI (Kuna shule ya uongozi wa siasa, kile sio chuo )
- MANYARA (Kuna IAA lakini hawajafika level za kutoa degree)
- SONGWE
Panapo majaliwa vinaweza malizika visiishie kuwa story
mikoa hii mnaweza kudhani hakuna vyuo ngazi ya degree ila vipo
- KAGERA - Kuna tawi la UDSM linajengwa
- LINDI - Matawi mawili ya UDSM yanajengwa
- NJOMBE - Kuna Tawi la UDOM linajengwa
USHAURI:
- KATAVI - Kuna tawi la SUA
- RUKWA - Kuna tawi la MUST
- KIGOMA - Kuna tawi la TIA
- SINGIDA - Kuna tawi la TIA
- SIMIYU - Kuna tawi la IFM
Ni aibu makao makuu ya baadhi ya mikoa kukosa hata chuo kimoja, hali inayowalazimu watu kusafiri kwenda mikoa mingine kutafuta elimu ya juu. Vyuo vilivyopo vinapaswa kuondoa hali hii kwa kufungua matawi kwenye mikoa isiyo na vyuo. Mfano TIA wameonesha mfano mzuri kwa kufungua matawi mikoa ambayo haikuwahi kuwa na vyuo, ni zamu ya vyuo vingine sasa. napendekeza kuona matawi kama DIT Manyara, Mzumbe Mara, UDOM Geita, IFM Songwe, na UDSM Pwani. Serikali isimamishe kwanza mipango ya kujenga vyuo mikoa ambayo tayari imejitosheleza, waweke kipaumbele mikoa isiyo na vyuo ama kuna vyuo vichache, Lengo ni kujaribu kupata usawa kielimu kitaifa, mikoa yote Tanzania inayolipa kodi ina haki ya huduma hii muhimu ya kijamii.
Kujaza vyuo baadhi ya mikoa inaweza pia kuwa ni mbegu ya kustawisha ukabila na ukanda, vyuo vinatoa output ya wahitimu wenye sifa za kuajiriwa kwenye system, balance isipokuwepo kunakuwa na hatari ya kuruhusu makundi flani yajae kwa kiasi kikubwa kwenye system.
PDF - ORODHA YA VYUO VINAVYOTOA DEGREE
Hicho ni chuo cha kanisa katoliki tawi la SAUT, vyuo vya kanisa katoliki vinajitahidi huwezi linganisha na St Joseph, Teku, Kampala, n.k.Stella Maris Mtwara university, unataka kusema hiki ni cha kiswahili??? Cha upigaji?
Ndio hicho nilichokitajaHicho ni chuo cha kanisa katoliki tawi la SAUT, vyuo vya kanisa katoliki vinajitahidi huwezi linganisha na St Joseph, Teku, Kampala, n.k.
Naomba sasa turudi kwenye swali
NI CHUO GANI HICHO CHA MTWARA CHA DEGREE UNACHOSEMA WALILALAMIKA KUKOSA WANAFUNZI ?
Stella Maris hii hapaNdio hicho nilichokitaja
Stella Maris hii hapa
Nafasi 1000 za ualimu wa masomo ya arts
View attachment 3330288
Graduation
View: https://www.youtube.com/watch?v=aUmyjfnz48I
wewe Mhandisi Mzalendo naona umekimbia
nasubira SOURCE / CHANZO cha uwezo wa vyuo kudahili wanafunzi 180,000 😂
Nimekupa chanzo kikionesha upungufu wa wanafunzi, njoo na hoja nyingine alafu hiyo ni guidebook ya direct entrants tu, kwahiyo hiyo si jumla ya nafasi zote.Stella Maris hii hapa
Nafasi 1000 za ualimu wa masomo ya arts
View attachment 3330288
Graduation
View: https://www.youtube.com/watch?v=aUmyjfnz48I
Mkoa una watu wengi wenye sifa za kujiunga na vyuo wanaenda kwengine kwanini ?
Nikikuita yale majina unasema matusi, umeshindwa kusoma hata guidebook kabla ya kuja hapa.Mkoa una watu wengi wenye sifa za kujiunga na vyuo wanaenda kwengine kwanini ?
Chuo kinatoa nafasi nyingi kwenye kozi moja tu ya Ualimu tena ni wa masomo ya arts tu nadhani unajua watu wanavyoikimbia, Waalimu wa Arts toka 2016, 2017, 2018, 2019, 2020, 2021, 2022, 2023 zaidi ya 95% wapo kitaa, kozi nyingine arts in Socialogy na Philosophy zina demand ya chini zaidi ni ngumu sana kupata ajira.
Solution waanzishe kozi zenye demand kama ualimu masomo ya hisabati, sayansi, biashara, n.k. watu hawapo tayari kurundika kozi ambayo tangu 2016 imejaza nyomi ya wahitimu wapo kitaa.
Lakini pia imani za watu wa huko zitakuwa zinakinzana na imani ya chuo, watu wengi wa huko ni waislam yafaa zaidi kuwekwa chuo cha kawaida cha serikali
Nikikuita yale majina unasema matusi, umeshindwa kusoma hata guidebook kabla ya kuja hapa.
Huna hoja kilaza kalale tu, hizo kada ulizotaja wanatoa.
Akili huna Stella Maris wanatoa Science, law, business, economics na bado wamekosa watu.Sharbel upo tayari kumpeleka mtoto wako asome Degree ya ualimu wa masomo ya arts ? 😂
Yani tangu 2016 kuna nyomi linajikusanya tu,
Hao Stela Marias wabadilike hatupo tena enzi za Kikwete
Kozi si zipo nyingi tuTatizo lipo kwenye kozi,
Hivi kuna mtu ataaply kusomea Ualimu wa Arts?
Hongereni sana kwa kufaulu. Hapangiwi mtu kusoma kozi Fulani au chuo Fulani. Ushauri kwa vijana wetu ni muhimu. Wapo watu wana mitaji ya kuanzisha shule zao hao wakisomea ualimu wa sanaa vyema sana. Wapo watu wana konnection na Shule binafsi n.k. Mwenzangu namie mtoto wa mkulima hebu...www.jamiiforums.com
Bachelor or Arts in Music
Umeanzaaa!!!! yani unageuka geuka tu hoja huna, ulianza vyuo havitoshi umekimbia unakuja mara vya Serikali umekimbia sasa ohhh wanatoa arts umekimbia ohhh wengi ni education, nenda kalale tu.Bachelor or Arts in Music
Bachelor of Philosiohy
Bachelor of Insurance
Bachelor of arts in socialogy
Bachelor of arts in Education
Ndizo kozi zinazojaza hapo nani aende huko sasa
Kozi muhimu kama Law, Doctor, Computer Engineering, huwezi kuta nafasi zaidi ya 3000 kwa kila kozi vyuo vyote nchi nzima
Nenda pale Stella Marius watu wamejazana kozi za maana kidogo kama law na ualimu wa sayansi tatizo nafasi chache, nafasi nyingi kwenye kozi hizo za arts watu hawataki kumwagwa kwenye hayo madampo