Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,069
- 15,029
Kaka, unaweweseka sana. Tulia na jibu kwa usahii.Naomba unijibu swali nililokuuliza hapo awali
Ni chuo gani cha degree huko mtwara walilalamika kukosa wanafunzi kama ulivyosema ?
Hio vyuo vya serikali nimeweka kama extra na ni reality, wanafunzi wengi hupenda kuchagua vyuo vya serikali, wakikosa ndio wanaanza kucheki vyuo private kama Saint Joseph, Abdulrahman, Teku, Tumaini, Kampala, n.k.
Ni chuo gani cha degree huko mtwara walilalamika kukosa wanafunzi kama ulivyosema ?
Mimi nijibu maswali yangu.