Mikoa hii haina vyuo vikuu kabisa wala mpango wa kuvijenga. Serikali iwajibike kuisaidia haraka

Kaka, unaweweseka sana. Tulia na jibu kwa usahii.


Mimi nijibu maswali yangu.
 
Siyo huyu aliyejibu ila ni Mimi nenda kwenye post husika nimejibu, alafu uwe makini unachanganya sana.
Jamaa anaweweseka mno ana papara. Anadhani elimu ya chuo ni kutoa tu bila ubora.

Kanichanganya na wewe tena.
 
Hiyo haipo kwenye ilani ya chama, kwahiyo tuliza pmb zako
 
Hicho chuo hakina wanafunzi miaka 13, kilijengwa kisiasa sana kupelekwa Butiama kijijini kwa Nyerere.

Ni bora zaidi wangejenga tawi la Mzumbe, TIA, DIT, n.k. pale Musoma mjini makao makuu ya mkoa wa Mara.
Jitahidi uwe unajieleimiisha mkuu hicho Chuo udahili ushaanza waliopo wako Second Year sasa kwa Kozi za degree na Diploma
 
Hivi vyuo vya kati hakuna mkoa kwa Nchi hii haina kwasasa
 
Natafuta chuo kitakachonipa uwezo wa kumkumbatia nyuki au kulala na koboko aka black mamba
 
Huna unalolijua kwenye mambo ya elimu.
Mara kuna chuo kikuu cha kilimo cha mwalimu nyerere.
Huko SIMIYU ni tawi la ifm sio TIA.
Ficha ujinga wako
Teh teh kuna miko ikitajwa unajua kwanini wanawacheleweshea mfano Kagera na Mara halafu utie nguvu katika kozi za law, political science and engineers.

Tunajua kinachofanyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…