Mikoa inayoongoza kwa watu kujisaidia vichakani, maporini na baharini

Mikoa inayoongoza kwa watu kujisaidia vichakani, maporini na baharini

nikisema tz ni ukimani watu wanakua wakali tazama sasa mambo gani haya 😂😂 si tabia za kima hizi
Bora ninye porini huko nikiwa nachunga mifugo kuliko kujifungia bafuni nikipiga Masterbation🤬🤬🤬
Screenshot_20240716-231127.jpg
 
Yakiandikwa makabila mimi nitaandika WAKEREWE. Aisee hawa jamaa hujenga nyumba ila wabishi sana kujenga choo.
 
Hivi kujisaidia vichakani si ndio mbolea zaidi kwa mimea au mazao
 
pemba ardhi yao Ina rutuba sana
Kuna uwezekano na gesi asilia ipo chini
 
Back
Top Bottom