Mikoa inayoongoza kwa watu kujisaidia vichakani, maporini na baharini

Mikoa inayoongoza kwa watu kujisaidia vichakani, maporini na baharini

Pemba imezungukwa na bahari, watu wa ufukweni karibia wote hawana sehemu za kuchimba mashimo ya vyoo, ukichimba maji yanajaa dakika hiyo hiyo. Yanini tabu na raha ipo? Bahari ipo karibu na haiweki uchafu.
Hii Kali ....

Ina maana hata hoteli zinazojengwa ufukweni hazina vyoo?
 
Daah aibu mnoo..hizo za bara wengi ni wale jamii ya wafugaji...yani hawanaga ustaarabu kabisa...
 
nikisema tz ni ukimani watu wanakua wakali tazama sasa mambo gani haya 😂😂 si tabia za kima hizi
 
Back
Top Bottom