Mikoa inayoongoza kwa watu kujisaidia vichakani, maporini na baharini

Na wewe ni miongoni mwa wanya baharini?
OOh, kabisa tena. Mikokoni, njoo kwetu Shungubweni ujionee. Kwa raha zetu. Tunawapa samaki mbolea kwenye mazalio yao, likitoka changu linakuwa changu la kweli, na changu wanavyopenda mikoko, usisikie.
 
Ila Samia una vituko?ebu soma mafaili huko
 
Mikoa yenye wafugaji wengi hii kitu si cha ajabu. Ila kwa pemba wana level fulani ya poverty and somehow primitive
"poverty" Pemba? Huijuwi Pemba wewe.

Pemba wana utajiri kuliko mikoa mingi ya Tanzania. Karafuu, Samaki na ni wafanyaboiashara waliotapakaa takriban dunia nzima.

Sema Wapemba wapo "down to earth" hawana israfu, ukiwaona utadhani wapo duni au mafukara, kumbe ni kinyume chake. Ukiwaona watu wapo duni kiuchumi Pemba ujuwe hao ni wahamiaji kutoka bara, mpaka leo hiyo, watwana wanapelekwa huko wakalime.

Pemba imezungukwa na bahari, watu wa ufukweni karibia wote hawana sehemu za kuchimba mashimo ya vyoo, ukichimba maji yanajaa dakika hiyo hiyo. Yanini tabu na raha ipo? Bahari ipo karibu na haiweki uchafu.
 
Utajiri wa kufuga majini
 
Mbona siioni Mtwara?? Mikindani hakunaga vyoo pale!!
 
Sababu mojawapo ya ardhi ya Tanzania kutokuwa na ruruba sana ni kwa sababu watanzania wengi hawajisaidii vichakani
 
Sitasahau siku niliyomulikwa na camera ya kipindi cha mazingira nikielekea baharini kukata gogo wakati nayafanya hayo sikummuona yeyote eneo hilo ila cha kushangaza siku nacheki TV kipindi cha mazingira nikionekana naelekea majini kurekebisha niliona pia vipande vya video vya wengine wanaokunya baharini
 
Back
Top Bottom