Mikoa inayoongoza kwa watu kujisaidia vichakani, maporini na baharini

Mikoa inayoongoza kwa watu kujisaidia vichakani, maporini na baharini

Mkuu; Kipindupindu kinatamalaki pale penye mkusanyiko wa watu na katika wingi wao, wapo wengi hawajali habari ya usafi binafsi na mazingira. Kama watu wanaishi kwa mtawanyiko mzuri; kuenea au mlipuko wa magonjwa wa kipindupindu na kuharisha ni nadra sana. Hakuna mtu anayepeleka viini vya uambukizo bacteria etc kwa wengine.Hakuna usambazaji.
Duh! Unauliza habari ya maji tiririka? Huku kwetu kipaumbele ni maji ya kunywa na kupikia. Hata ile covid iliyokuja na habari za majitiririka na sanitizers, kuvaa barakoa e.tc. tuliisikia tu lakini haikujitokeza kwetu.
Sijakushawishi mkuu uende porini kwani kupanga ni kuchagua.
Huko ni neema ya Mungu ndiyo iliyotuvusha Mkuu...

Wanasema kinga ni bora kuliko tiba, muhimu kuchukua tahadhali Mkuu, ndiyo maana pamoja na kushindwa kununua vidonge vya kutibu Maji miaka ile, maarufu kama Waterguards bado Wananchi tulipewa Elimu kuhusu kuchemsha Maji ya kunywa na kuyachuja.
 
sasa wewe,,nmetoka shambani,,nibane hadi nkakute nyumba ni choo🤣
Labda useme shambani
Hiyo ripoti inahusu majumbani vyoo hakuna na Sio mashambani hujaelewa tu,
Huko pemba wanatoka home na kwenda kata gogo kwenye mikoko au beach without any imergence elewa concept sauwaaaa?
😁😁
 
Labda useme shambani
Hiyo ripoti inahusu majumbani vyoo hakuna na Sio mashambani hujaelewa tu,
Huko pemba wanatoka home na kwenda kata gogo kwenye mikoko au beach without any imergence elewa concept sauwaaaa?
😁😁
😂😂😂 M'bena wawapi wewe unatetea sana,, kamwene veya
 
Nimefirahia Kagera hatuna hizo tabia chafu
Kagera wanasemaga hakuna vyoo bora sio kwamba hawana vyoo.

Vyoo vya kijijini kwa mkoa wa kagera ni vile traditional vinavyojengwa migombani wakitumia mabanzi na shimo bila kujengewa na kinyesi kilifyonzwa na ardhi na kuongeza Rutuba. Japo kisayansi ni mbolea kwa ajili ya Migomba na mazao.
Lakin wanasayansi wa siku hiz wanashauri Toilet zisakafiwe na kujengewa. Yaan tutunze kinyesi. So wanasema kagera hakuna vyoo bora kosa hawafanyi hivyo. Japo siku hiz wajenzi wanawasikiliza wanasayansi ya kisasa.
 
Seeds can germinate where there is fertile, so mm nkipita karbia na chaka au kichaka lazima nkagonge cheers 😂😂😂
 
Kumbe chura asiyesikia nae ni member wa kunya maporini?
 
Dah pisi za kipemba na ile rangi ya mtume kumbe wana nnya vichakani FaizaFoxy tupe muongozo maana huko karibia 100% ni wale ndugu zetu waliotuletea ustaarabu wabara, ila kumbe wana nnya vichakani,, ndo maana unamaind nyumba za self kontena kumbe mnapenda vichaka
Kichaka cha nani, Pemba mambo baharini, kwa raha zao.
 
Back
Top Bottom