daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Dar utajisaidia wapi tofauti na chooniDAR haipo kumbe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dar utajisaidia wapi tofauti na chooniDAR haipo kumbe
Hii sasa hatari nitumie cha 3MDar hakuna kichaka.
Tunauza viwanja na mikoani tunatuma.
Alisikika dalali mtufudenge.
Majani hayawachomi? 😹😹😹Kwamba Kuna Faida za kutita Maporini?🙌
Ndiyo kwanza inaweza kuleta magonjwa ya kuhara na kipindupindu
Fanya malipo mkuu, delivery fee ni 15KHii sasa hatari nitumie cha 3M
Sawa sawa mkuu.Fanya malipo mkuu, delivery fee ni 15K
Inakubidi kuwa makini kwenye kuchagua majani ya kujisafishia, ukibugi utajikuta unachuma majani ya Upupu 😜🙌Majani hayawachomi? 😹😹😹
Ni kweli, Watu wa kagera tunakunya ziwani wakija watu wa afya hawakuti vinyesi vyetuNimefirahia Kagera hatuna hizo tabia chafu
😂😂😂🙌 Aiseee!!Inakubidi kuwa makini kwenye kuchagua majani ya kujisafishia, ukibugi utajikuta unachuma majani ya Upupu 😜🙌
Wazaramo ni kitovu cha ustaarabu. Ndio maana Pwani na Dar hazimoDAR haipo kumbe
Basi wanaweza kudanganywaHakuna anayepiga chabo. Ukipewa dodoso na ukajibu kiukweli kwamba nyumbani huna choo na wala hutumii ndoo, ni moja kwa moja ww unajisaidia vichakani japokuwa hukusema hivyo.
Na wachafu pia.Mikoa yenye wafugaji wengi hii kitu si cha ajabu. Ila kwa pemba wana level fulani ya poverty and somehow primitive
Elimu ni kitu muhimu sana kwa wanadamu na ndiyo maana Nyerere alikuwa anapigania wananchi wake wasome wapate kuelimika. Yaani mnataka kuniambia mpaka leo hii 2024 kuna jamii zinaogopa kutumia choo kama hicho juu kisa eti watamezwa na kwenda baharını?
Shimba, what did I do to you? Mbona kunifanyia hivi? What did I do to deserve this?Umefanya nini? 😳😳😳
Mkuu; ili upate magonjwa ya kuhara na kipindupindu ni sharti/lazima kwanza ule (eat) kinyesi i.e. mavi ya mwenye ugonjwa huo. Usipokula hutapata uambukizo wa magonjwa hayo. Utakulaje ? hiyo ni somo refu.Kwamba Kuna Faida za kutita Maporini?🙌
Ndiyo kwanza inaweza kuleta magonjwa ya kuhara na kipindupindu
Bora miaka yenu Siku hizi Kaya nyingi Zina vyoo bora😂😂😂🙌 Aiseee!!
Babu na kuna wale wanaotumia vigunzi haviwachuni??
Nilienda Malawi nilishangaa toilet kuna majani ya mgomba, nikawaambia msinitanie nileteeni maji 😹😹😹
Kigoma ipo wapi
Mkuu pamoja na points nyingi ulizoandika kusindikiza jibu lako, lakini haunishawishi kurudia zama za Mwaka 47 kutita Maporini.Mkuu; ili upate magonjwa ya kuhara na kipindupindu ni sharti/lazima kwanza ule (eat) kinyesi i.e. mavi ya mwenye ugonjwa huo. Usipokula hutapata uambukizo wa magonjwa hayo. Utakulaje ? hiyo ni somo refu.
Faida za kutita maporini:-
1. Kukamilisha au kuendeleza mzunguko (circle) wa virutubisho(Nutrients) katika ardhi. e.g. Mimea hufyonza nutrients kutoka ardhini na tunapokula mazao ya mimea ugali,mihogo, viazi, maharage n.k. halafu tukaenda kupoo chooni (choo cha shimo) inakuwa hatuitendei haki ardhi kwani hatuirudishii ardhi virutubisho vilivyo tumika kuistawisha mimea tuliyokula mazao yake. Hiyo ni dhulma dhidi ya ardhi.
2. UnapoTita porini unakuwa huru zaidi kwani unaweza kuona ni kitu gani kinaendelea e.g. ww ni mlinzi halafu unaenda kupoo chooni na unajifungia kwa mlango.- Hulioni lindo lako.
3. Mzunguko wa "hewa" porini ni mzuri zaidi kuliko kujifungia ndani na unanusa hewa yako mwenyewe na ya wenzako waliotangulia humo chooni.
4.Baadhi ya vyoo ni hatarishi sana esp. vile vya mashimo na unakaa juu yake Perpendicular ili kulengesha kwenye tobo. Hapo inaweza kudidimia ghafla. Lakini porini hiyo kitu kamwe haipo -unajisevia kwa Amani kabisa bila hofu.
5. Porini ni mahali popote na wakati wowote. Hakuna gharama ila tu ni wewe kufanya uchaguzi i.e. Nitumie pori lipi. La msingi hapo ni ww kuona kama kuna mtu anakuja pale ulipo au anaweza kukuona (mpiga chabo) unakohoa au unajiziba uso kwani mtu ni Usoni tuu. Huwezi kujulikana.
6. Ni rahisi kuona umetoa kitu cha namna gani jambo amblo ni muhimu kwa kufuatilia mustakabali wa afya yako. e.g. Ukiangalia ukaona mzigo umechanganyia na damu unachukua hatua za haraka kwenda kituo cha Afya na kumweleza daktari.
7. Ni rahisi sana kugundua kama watoto wako wamepata uambukizo wa minyoo kwani ww kama mzazi utaiona minyoo live kwenye kinyesi chao walichotoa hapo.