Mikoa inayoongoza kwa watu kujisaidia vichakani, maporini na baharini

Mikoa yenye wafugaji wengi hii kitu si cha ajabu. Ila kwa pemba wana level fulani ya poverty and somehow primitive
Nanukuu: "Mikoa yenye wafugaji wengi hii kitu si cha ajabu".
Uko sahihi kabisa mkuu.
Sababu yake ni ukweli usiopingika kwamba wafugaji hupeleka mifugo yao maporini kulisha. Huko maporini hakuna vyoo na haiwezekani mchungaji aliache kundi lake kurudi nyumbani eti anaenda kujisaidia. Hiyo haipo - anamalizana papo hapo porini na anaendelea taaratibu kuchunga mifugo yake isiingie mashambani.
 
Nadhani Mara hasa wilaya ya Rorya inaongoza wale jamaa wao ni kunywa vichakani tu. Familia nzima
 
Nimesikitika kuona Mkoa wetu licha ya kutoa Rais wa Kwanza wa Nchi hii still na kwenye kujisaidia Vichakani napo tupo🙆

Ni aibu Karne hii ya 21 kutita Maporini ndugu zangu
 
Nanukuu: "Mikoa yenye wafugaji wengi hii kitu si cha ajabu".
Uko sahihi kabisa mkuu.
Sababu yake ni ukweli usiopingika kwamba wafugaji hupeleka mifugo yao maporini kulisha. Huko maporini hakuna vyoo na haiwezekani mchungaji aliache kundi lake kurudi nyumbani eti anaenda kujisaidia. Hiyo haipo - anamalizana papo hapo porini na anaendelea taaratibu kuchunga mifugo yake isiingie mashambani.
Huko nyikani wanatembea na bunda la tissue paper, kidumu cha maji au ndo mwendo wa mseleleko kwenye mawe na nyasi?🤣🤣
 
Mun'zeeh! Eti tissue na kidumu maji? We bhana wee! Under field conditions ni mwendo wa majani mapana (kama yapo) vinginevyo ni sun/wind dried sanitation - kwisha. Wale wadogo hakuna kinachofanyika.
 
Back
Top Bottom