Mikoa inayoongoza kwa watu kujisaidia vichakani, maporini na baharini

Mikoa inayoongoza kwa watu kujisaidia vichakani, maporini na baharini

Mwanza Mbona wanakunywa Milimani sijaona hapo kwenye Chat
 
Nimesikitika kuona Mkoa wetu licha ya kutoa Rais wa Kwanza wa Nchi hii still na kwenye kujisaidia Vichani napo tupo🙆

Ni aibu Karne hii ya 21 kutita Maporini ndugu zangu
Sio. Zipo faida zake.
 
hivi hawaoni aibu? kuna eneo moja Morogoro Kilombero huko niliwahi kuishi, ukiuliza mtoto baba yuko wapi akikuambia kaenda mtoni, jua tu kaenda kuyamwaga kwenye mto, ninyi mnaokunywa maji huko bongolala bila kuchemsha, yana vinyesi hayo.
 
Back
Top Bottom