Mikoa inayoongoza kwa watu kujisaidia vichakani, maporini na baharini

Mikoa inayoongoza kwa watu kujisaidia vichakani, maporini na baharini

Nilidhani tabia hiyo ipo usukumani pekee, kumbe kuna magwiji zaidi na wapo kibao

Kuna kijiji kule chato kimepakana na hifadhi ya Burigi-Chato kwa barabara, ukipita barabarani unasikia harufu ya kimba tupu! Wale wadau katika vitu wanachukia ni kumiliki choo, viongozi wao wakiwakomalia wapo radhi wahame kijiji ili mradi tu burudani yao ya kuukweka vichakani isiwe denied
 
Wilaya ya Kibondo watu wanakata kimba popote palipo na kichaka, Mkoa wa Kigoma unakosaje kwenye orodha hiyo kwa mfano?😳
 
Nilidhani tabia hiyo ipo usukumani pekee, kumbe kuna magwiji zaidi na wapo kibao

Kuna kijiji kule chato kimepakana na hifadhi ya Burigi-Chato kwa barabara, ukipita barabarani unasikia harufu ya kimba tupu! Wale wadau katika vitu wanachukia ni kumiliki choo, viongozi wao wakiwakomalia wapo radhi wahame kijiji ili mradi tu burudani yao ya kuukweka vichakani isiwe denied
Hiyo ni Geita.
 
Mkuu pamoja na points nyingi ulizoandika kusindikiza jibu lako, lakini haunishawishi kurudia zama za Mwaka 47 kutita Maporini.

Hivi unapata wapi Maji tiririka kwaajili ya kujisafisha baada ya kutita?

Angalia takwimu miaka ya nyuma ambapo hatukuwa na vyoo bora jinsi hali ya Kipindupindu ilivyokuwa kubwa.
(mamaa taka tita),,😂😂😂😂wacha kabisa na watoto wetu huku,,eti wengine wanasema mama taka poo
 
Hakika Moshi na Kilimanjaro kwa ujumla inathibitisha sifa ya Usafi na ustaarabu.
 
Hawa wapemba imekuaje tena

Na wanatumia restaurants

Sad
 
Mkuu pamoja na points nyingi ulizoandika kusindikiza jibu lako, lakini haunishawishi kurudia zama za Mwaka 47 kutita Maporini.

Hivi unapata wapi Maji tiririka kwaajili ya kujisafisha baada ya kutita?

Angalia takwimu miaka ya nyuma ambapo hatukuwa na vyoo bora jinsi hali ya Kipindupindu ilivyokuwa kubwa.
Mkuu; Kipindupindu kinatamalaki pale penye mkusanyiko wa watu na katika wingi wao, wapo wengi hawajali habari ya usafi binafsi na mazingira. Kama watu wanaishi kwa mtawanyiko mzuri; kuenea au mlipuko wa magonjwa wa kipindupindu na kuharisha ni nadra sana. Hakuna mtu anayepeleka viini vya uambukizo bacteria etc kwa wengine.Hakuna usambazaji.
Duh! Unauliza habari ya maji tiririka? Huku kwetu kipaumbele ni maji ya kunywa na kupikia. Hata ile covid iliyokuja na habari za majitiririka na sanitizers, kuvaa barakoa e.tc. tuliisikia tu lakini haikujitokeza kwetu.
Sijakushawishi mkuu uende porini kwani kupanga ni kuchagua.
 
Back
Top Bottom