kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Na wewe ni miongoni mwa wanya baharini?Kichaka cha nani, Pemba mambo baharini, kwa raha zao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe ni miongoni mwa wanya baharini?Kichaka cha nani, Pemba mambo baharini, kwa raha zao.
OOh, kabisa tena. Mikokoni, njoo kwetu Shungubweni ujionee. Kwa raha zetu. Tunawapa samaki mbolea kwenye mazalio yao, likitoka changu linakuwa changu la kweli, na changu wanavyopenda mikoko, usisikie.Na wewe ni miongoni mwa wanya baharini?
Ila Samia una vituko?ebu soma mafaili hukoOOh, kabisa tena. Mikokoni, njoo kwetu Shungubweni ujionee. Kwa raha zetu. Tunawapa samaki mbolea kwenye mazalio yao, likitoka changu linakuwa changu la kweli, na changu wanavyopenda mikoko, usisikie.
Unamuota?Ila Samia una vituko?ebu soma mafaili huko
Jumlisha kuoga baharini so wana utamaduni wa kumaliza vyote hukoMikoa yenye wafugaji wengi hii kitu si cha ajabu. Ila kwa pemba wana level fulani ya poverty and somehow primitive
Wavuvi na wafugaji mmetishaaa! Ila kukosekana Kigoma kwenye list ni uonevu
"poverty" Pemba? Huijuwi Pemba wewe.Mikoa yenye wafugaji wengi hii kitu si cha ajabu. Ila kwa pemba wana level fulani ya poverty and somehow primitive
Wanajua...Unamuota?
Utajiri wa kufuga majini"poverty" Pemba? Huijuwi Pemba wewe.
Pemba wana utajiri kuliko mikoa mingi ya Tanzania. Karafuu, Samaki na ni wafanyaboiashara waliotapakaa takriban dunia nzima.
Sema Wapemba wapo "down to earth" hawana israfu, ukiwaona utadhani wapo duni au mafukara, kumbe ni kinyume chake. Ukiwaona watu wapo duni kiuchumi Pemba ujuwe hao ni wahamiaji kutoka bara, mpaka leo hiyo, watwana wanapelekwa huko wakalime.
Pemba imezungukwa na bahari, watu wa ufukweni karibia wote hawana sehemu za kuchimba mashimo ya vyoo, ukichimba maji yanajaa dakika hiyo hiyo. Yanini tabu na raha ipo? Bahari ipo karibu na haiweki uchafu.
HahaaaaaaWavuvi na wafugaji mmetishaaa! Ila kukosekana Kigoma kwenye list ni uonevu
Huyo no 14 umempola nafasi yake no 1
Ukiona Mwanza na Kagera hawapo kwenye hii list ujue list hii haijakamilika.Nimefirahia Kagera hatuna hizo tabia chafu
Hakuna hakuna hakuna🥴Aaah mkuu unataka kusemaje?😅
Hahahaha 😂😂😂,,tanwat imepunguzwa saivi si unajua mkataba uko mbioni kuishaAisee basi sawa na hili baridi itapendeza tukutane wangama kwa mbele kidogo pale unapoanzia TANWAT!