Planet Data bundles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,403
- 4,362
Mkuu unalosema linaweza kuwa kweli na hapo inaonyesha yote ni mikoa ya nyanda za juu kusini,unafikiri sababu inaweza kuwa nini? Na afadhari Iringa maisha yapo juu kidogo ila mbeya ndio dah! Nyumba na vyakula bei ipo chini sana1.mbeya
najuta sana huu mkoa …biashara ya nyumba kupangisha au kuuza hapa hamna kabisa .Usije wekeza huku labda ujenge frame mwanjelwa na kabwe nje na hapo tusilaumiane
2.Iringa
huku nako biashara hii siyo ishu ukishindwa kupangiasha wanachuo utakesha
3.Katavi
4.Njombe
5……
Njoo Dodoma Hutajuta Mkuu, Huko Mbeya ni nyumbani!Sera ya kupanga nyumba huko haiko hata unga wa kununua ugali wenyeji wanakuona hujui matumizi ya fedha.Mtu akija mjini wazo lake kubwa ni kujenga hata kibanda hapo Mbeya ili asilipe Kodi ya kupanga!Ila Safi sana1.mbeya
najuta sana huu mkoa …biashara ya nyumba kupangisha au kuuza hapa hamna kabisa .Usije wekeza huku labda ujenge frame mwanjelwa na kabwe nje na hapo tusilaumiane
2.Iringa
huku nako biashara hii siyo ishu ukishindwa kupangiasha wanachuo utakesha
3.Katavi
4.Njombe
5……
Hata ujenzi upo chini Sana!Mkuu unalosema linaweza kuwa kweli na hapo inaonyesha yote ni mikoa ya nyanda za juu kusini,unafikiri sababu inaweza kuwa nini? Na afadhari Iringa maisha yapo juu kidogo ila mbeya ndio dah! Nyumba na vyakula bei ipo chini sana
Mbeya,mtu anatoka,Kyela,Rungwe, Busokelo,Ileje nk , kutafuta maisha,wazo lake kichwani kwa Kazi yoyote,ajitoe kwenye kupanga nyumba!Atajenga hata room1.Kwa kuwekeza ujenzi wa nyumba za kupangisha kwa Sasa zaidi .Kila mtu ana nyumba yake.Sasa wapange ili iweje?
Ndo hapo sasa. 😂😂😂😂Kila mtu ana nyumba yake.Sasa wapange ili iweje?
Ngosha machine upo sahihi kabisa!Tena unaweza usilipwe hiyo Kodi!Kuna mshikaji yangu mmoja tulikuwa nae Dar kibindi fulani alikuwa na hela mingi tu kwenye biashara zake, kwao ni huko huko Mbeya katika moja na mbili akaamua kwenda kujenga kwao na siku anahamia tulialikwa kwa kuwa sikuwa nmewahi kufika mbeya nikasema wacha nihudhurie nikaione Green City
🤣🤣🤣🤣 jamani jamani Mbeya ni kamji fulani hiviii kadogo sana, bajaji kama zote yaani ni fujo, jamaa kajenga sehemu moja Soweto mtaa unaitwa mabuchani kama sijakosea, vibaka kama wote usiku, kama huna usafiri hutembei ikishakuwa saa 4 usiku
Bahati mbaya jamaa biashara zake ziliyumba akauza baadhi ya mali alizokuwanazo ikiwemo na magari yake (alikuwanayo mawili) kabaki na nyumba
Nyumba ya vyumba vitatu, viwili vina vyoo ndani kimoja hakina, sitting kubwa dinning na jiko anapewa laki na nusu kwa mwezi
Bei ya chumba kimoja self hiyo Dodoma, kwakweli Mbeya hapana
Hata dododma hakuna kitu. Biashara ipo dar ,arusha, kilimanjaro, mwanza. Kwingine unakuwa baba mwenye nyumba tu. Dodoma ukiwa center nje maumivuNjoo Dodoma Hutajuta Mkuu, Huko Mbeya ni nyumbani!Sera ya kupanga nyumba huko haiko hata unga wa kununua ugali wenyeji wanakuona hujui matumizi ya fedha.Mtu akija mjini wazo lake kubwa ni kujenga hata kibanda hapo Mbeya ili asilipe Kodi ya kupanga!Ila Safi sana
Nyumba zinalipa popote ulipo1.mbeya
najuta sana huu mkoa …biashara ya nyumba kupangisha au kuuza hapa hamna kabisa .Usije wekeza huku labda ujenge frame mwanjelwa na kabwe nje na hapo tusilaumiane
2.Iringa
huku nako biashara hii siyo ishu ukishindwa kupangiasha wanachuo utakesha
3.Katavi
4.Njombe
5……
Nje ya wapi, Dodoma ambayo ni maumivu,?!Nyumba yenye chumba, Sebule,na jiko laki na Hamsini useme ni maumivu!Wakati Mbeya hiyo hela ni nyumba nzima?Hata dododma hakuna kitu. Biashara ipo dar ,arusha, kilimanjaro, mwanza. Kwingine unakuwa baba mwenye nyumba tu. Dodoma ukiwa center nje maumivu
Mpe maujanja.Nyumba zinalipa popote ulipo