TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Mimi nawekeza sana vijijini kujenga nyumba za kupangisha zilizojengwa kwa gharama nafuu ila returns kubwa.Mpe maujanja.
Naenda wilaya mpya najenga vi apartments vya chumba choo jiko, sebule, kikali Bei yake laki tu kwa mwezi.
Pia najenga nyumba za kulala wageni materials natumia zilezile za eneo husika ila finishing nahakikisha inakuwa Kali sana.
Short time 10,000/ saa Moja na nusu. Kulala 15,000 na 20,000/