Mikoa mibaya zaidi kufanya biashara ya Real estate au Nyumba

Mikoa mibaya zaidi kufanya biashara ya Real estate au Nyumba

Pana nyumba zipo Iwambi hapo mwanzo nilikua nafanya na BnB ya USA walikua na makato makubwa sana sasa hivi dogo ananiambia kaachana nao anatangaza mtandaoni sijajua ni platform gani naona zinajaa muda wote na jamaangu yeye kajengea Uyole nae anasema anapata wateja wewe umejenga ili mpangaji huyu anaelalamika mshahara bado haujaingia unaacha kuweka wateja wa dollar..
Nyumba Mbeya ni biashara nzuri tu , sijui jamaa katoa wapi hizi details zake. Hapo bloct kwa machemba kuna apartments zaidi ya 30 ndani ya eneo moja ni chumba sebule na jiko na 250k per month na zipo full muda wote.
 
Kuna mshikaji yangu mmoja tulikuwa nae Dar kibindi fulani alikuwa na hela mingi tu kwenye biashara zake, kwao ni huko huko Mbeya katika moja na mbili akaamua kwenda kujenga kwao na siku anahamia tulialikwa kwa kuwa sikuwa nmewahi kufika mbeya nikasema wacha nihudhurie nikaione Green City

🤣🤣🤣🤣 jamani jamani Mbeya ni kamji fulani hiviii kadogo sana, bajaji kama zo
Screenshot_20250512_175248_Instagram.jpg
te yaani ni fujo, jamaa kajenga sehemu moja Soweto mtaa unaitwa mabuchani kama sijakosea, vibaka kama wote usiku, kama huna usafiri hutembei ikishakuwa saa 4 usiku

Bahati mbaya jamaa biashara zake ziliyumba akauza baadhi ya mali alizokuwanazo ikiwemo na magari yake (alikuwanayo mawili) kabaki na nyumba

Nyumba ya vyumba vitatu, viwili vina vyoo ndani kimoja hakina, sitting kubwa dinning na jiko anapewa laki na nusu kwa mwezi

Bei ya chumba kimoja self hiyo Dodoma, kwakweli Mbeya hapana
 
Uwekezaji wa real estate unahitaji umakini mkubwa na upembuzi yakinifu. Mfano uwekezaji ulifanyika Dar, kigamboni wa AVIC town.

Mradi wa AVIC ni mradi mzuri na mkubwa ingawa kimkakati ulikosewa sababu ulifanyika mbali sana nje ya mji, kutoka AVIC hadi katikati mji ni takribani 30km na zaidi na ukitaka ufike airport umbali unaongezeka zaidi. Kwa hiyo kuwapata wageni wanaokuja na kuondoka wanaokaa muda mfupi imekua ngumu sana na kupelekea mradi kuwa white elephant.
Yes point makini miradi ifate watu na sio watu waifate miradi
 
Mbona hukumalizia na majibu yenye utafiti ? UNAHISI SABABU NI NINI ?
 
Kwa upande wa Mpanda mkoa wa Katavi nyumba ni za shida sana, na kila nyumba mpya inayojengwa inachangamkiwa haraka. Hivyo sio kweli kuwa Katavi biashara ya nyumba hailipi
 
Nyumba Mbeya ni biashara nzuri tu , sijui jamaa katoa wapi hizi details zake. Hapo bloct kwa machemba kuna apartments zaidi ya 30 ndani ya eneo moja ni chumba sebule na jiko na 250k per month na zipo full muda wote.
Nimemshangaa wakati natafuta hela ninunue sehemu hata kule Isyesye kwa mtawa kwa zamani unajenga za kawaida kama za machemba upate pesa watu wamejenga Uyole huko na wanajaza wageni kwa usd sijui huwa wanaandika uongo ili iweje hawa watu..
 
Huwa wanajitungia tu, ameshindwa hata kupita kwenye page za madalali wa nyumba na viwanja insta ili apate mawili matatu kabla ya kupotosha hapa. Nyumba za kupanga mbeya ni ghali sana, anzia huko veta, block t, isyesye, sai, ilomba, iwambi kote huko ni bei. Labda Igawilo ndo utapata za mtelemko
 
Jamaa kaongea kitu ambacho hakina uhalisia
 
Attachments

  • Screenshot_20250512_193430_Instagram.jpg
    Screenshot_20250512_193430_Instagram.jpg
    165 KB · Views: 33
Huwa wanajitungia tu, ameshindwa hata kupita kwenye page za madalali wa nyumba na viwanja insta ili apate mawili matatu kabla ya kupotosha hapa. Nyumba za kupanga mbeya ni ghali sana, anzia huko veta, block t, isyesye, sai, ilomba, iwambi kote huko ni bei. Labda Igawilo ndo utapata za mtelemko
Kuna Daktari Yuko huko kwa Mafunzo kwa vitendo,kupata nyumba ya kupanga self just two bed room ameambiwa laki tatu,na huko ni home town na hizi kampeni za Kijiji kikubwa wala hazijaanz leo kila mtu ashinde mechi zake.
 
Hizo nyumba mnazosema ni bei Mbeya ni zile ambazo zipo mitaa tulivu au yakishua,sasa chukua nyumba ya chumba sebule iliyopo isyesye Mbeya,kalinganishe na nyumba kama hiyo sehem kama njiro Arusha,masaki dar etc,ndio utaelewa kuwa Mbeya nyumba ni bei chee
 
Dar

Dar kubwa mkuu, kwani bei ya nyumba yenye ukubwa sawa kwa kimara inafanana na sinza?
 
Mtu anaekaa tukuyu, ana uwezo wa kutoka kwake kila siku kwenda town na kurudi jioni.

Bei za vyumba na nyumba Mbeya ziko chini mno tofauti na maeneo mengi ya dar.

Ukitaka kuwekeza mahali, fanya tafiti kwa kina. Kila pahala kuna mifumo yake.
 
Dar

Dar kubwa mkuu, kwani bei ya nyumba yenye ukubwa sawa kwa kimara inafanana na sinza?
Mkuu namaanisha status ya eneo husika,nyumba zinaweza kuwa sawa ila location zilipo zikafanya bei iwe tofaut
 
Pia kitu kingine ninachohisi kinapelekea hili ni uwiano wa maisha kati ya mbeya jijini na wilaya zake,namaanisha mkoa wa Mbeya wilaya zake zina uchumi pia hivyo wakazi wa wilayani hawaendi kujazana jijini, kwaiyo uhitaji wa nyumba hapo mjini unakuwa mdogo,mfano maisha ya watu wa chunya,Kyela,mbarali n.k kiuchumi yanafanana tu na wakazi wa Mbeya, kwaiyo hakuna wanapokimbilia,ila wilaya ya chunya Ina wageni wengi sana hasa wa Kanda ya ziwa kwaiyo uhitaji mkubwa umefanya nyumba ziwe bei sana ikichangiwa na upatikanaji mwepesi wa hela
 
Back
Top Bottom