ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #81
Hapa unazungumzia mkulima mkubwa au mfanyabiashara ndio wanaweza kutafuta soko nje ya Mkoa.Rukwa ni kweli wenyeji wamezubaa (ila wachapakazi) na uzuri sio wakabila, wageni wamekamatia fursa hasa Sekta ya Kilimo. Ukiwekeza kwenye Kilimo umetoboa ila uwe mbunifu pia wa kutafuta masoko nje ya mkoa wa Rukwa utapata faida hata mara mbili mpaka tatu.
Ukapigwa na butwaa gani? Sikonge kule kuna kipi Cha maana?Nilienda
Hata mimi nilikuwa na akili kama zako hivyo ila nilivyoenda nikapigwa na butwaa
Na pia nilikuwa najihusisha na maduka ya dawa mkuuUkapigwa na butwaa gani? Sikonge kule kuna kipi Cha maana?
Kwa hiyo ukakuta Kuna nini?
Ulikuwa,Kwa nini uliacha wakati unavuna pesa?Kilimo mkuu
Na pia nilikuwa najihusisha na maduka ya dawa mkuu
Mbona kote huko utafutaji unaendelea na watu wanafanikiwa? Labda ni ngumu kwako wewe Jamaa.Japo wanasema maisha popote ila Kwa Mikoa hii ukienda kutafuta maisha basi tegemea kutoboka badala ya Kutoboa 😬😬
1.Kilimanjaro
2.Shinyanga
3.Simiyu
4.Kagera
5.Singida
6.Rukwa
7.Tabora
8.Dodoma
9.Lindi
10.Kigoma
My Take
Baadhi ya Mikoa Ina potential nzuri ni vile tuu haijafunguliwa kimiundombinu eg Lindi.
Pia soma Mikoa 10 Yenye Watu Maskini Zaidi Tanzania: Kagera namba 2, Dodoma namba 5. Nini Kinaiponza Mikoa Hii Maarufu?
Hiyo mikoa ya Rukwa na Kigoma,inategemea wewe umeenda huko kujitafuta kwa mtindo gani.Lakini mikoa kama Rukwa na Kigoma,ni mikoa yenye ardhi ya kutosha na yenye rutuba inayofaa kwa kilimo na inapatikana kwa bei nafuu.Japo wanasema maisha popote ila Kwa Mikoa hii ukienda kutafuta maisha basi tegemea kutoboka badala ya Kutoboa 😬😬
1.Kilimanjaro
2.Shinyanga
3.Simiyu
4.Kagera
5.Singida
6.Rukwa
7.Tabora
8.Dodoma
9.Lindi
10.Kigoma
My Take
Baadhi ya Mikoa Ina potential nzuri ni vile tuu haijafunguliwa kimiundombinu eg Lindi.
Pia soma Mikoa 10 Yenye Watu Maskini Zaidi Tanzania: Kagera namba 2, Dodoma namba 5. Nini Kinaiponza Mikoa Hii Maarufu?
Umewaza vemaHautoboi ukifanya biashara gani?
Taja mkoa na biashara gani hautatoboa. Mfano ukienda Makete kuuza mafriji ni wazi utasumbuka kutoboa. Lakini ukienda kuanzisha kampuni ya kutengeneza shower heads na kuziwekea heater unaweza ukawa na soko constant
Acha kutukana watu km hujafika Rukwa usiongee usivyo vijua,tumekeambia itoe Rukwa kwa sababu watu tunapigia maisha huko achana na takwimu za wasomi wa TanzaniaNiweke Mkoa gani? Rukwa ni Kati ya Mikoa maskini Tanzania na inaongoza Kwa utapiamlo 😂😂
Kwanza nyie watu wa Rukwa mshukuru walau watu wa Kanda ya Ziwa wanawapa soko vinginevyo mungepauka na bei zingeporomoka mara 3 zaidi kama Ruvuma.
Mikoa iliyo jirani na Dar,Arusha,Dom na Kenya au hata Kanda ya Ziwa ndio wanapiga hela za mahindi Kwa bei nzuri
Rukwa umeikosea sana. Ardhi ipo yakutosha na demand ya mazao ni kubwa, Kuna maziwa mawili Rukwa na Tanganyika. Labda wewe hujaamua kufanya kazi hapo unataka pesa za zari. Ila kutoboa ni waziwaziJapo wanasema maisha popote ila Kwa Mikoa hii ukienda kutafuta maisha basi tegemea kutoboka badala ya Kutoboa 😬😬
1.Kilimanjaro
2.Shinyanga
3.Simiyu
4.Kagera
5.Singida
6.Rukwa
7.Tabora
8.Dodoma
9.Lindi
10.Kigoma
My Take
Baadhi ya Mikoa Ina potential nzuri ni vile tuu haijafunguliwa kimiundombinu eg Lindi.
Pia soma Mikoa 10 Yenye Watu Maskini Zaidi Tanzania: Kagera namba 2, Dodoma namba 5. Nini Kinaiponza Mikoa Hii Maarufu?
Sana mkuu,Kuna watu humu,wanadhani kutoboa mpaka uwe na duka au kuwe na super market kuubwa ndio wafikiri Kuna pesa,ukweli ni kwamba Rukwa pesa IPO Tena nyingiHiyo mikoa ya Rukwa na Kigoma,inategemea wewe umeenda huko kujitafuta kwa mtindo gani.Lakini mikoa kama Rukwa na Kigoma,ni mikoa yenye ardhi ya kutosha na yenye rutuba inayofaa kwa kilimo na inapatikana kwa bei nafuu.
Siongei kwa kudhani tu,bali nimeshuhudia na mimi ni mmoja wa wanufaika wa ardhi ya mikoa hii.
Wapi ambako hakuna ardhi ya kutosha? Kigoma au Lindi ama Tabora au wapi huko?Rukwa umeikosea sana. Ardhi ipo yakutosha na demand ya mazao ni kubwa, Kuna maziwa mawili Rukwa na Tanganyika. Labda wewe hujaamua kufanya kazi hapo unataka pesa za zari. Ila kutoboa ni waziwazi
Onyesha tusi nililokutukanaAcha kutukana watu km hujafika Rukwa usiongee usivyo vijua,tumekeambia itoe Rukwa kwa sababu watu tunapigia maisha huko achana na takwimu za wasomi wa Tanzania
Kwa hiyo?!Kilimanjaro ni mbaya zaidi kwa utafutaji.
Wachaga na Wapare mkoa wenu hovyo kabisa kwa utafutaji...yaani sufuri
Hatari SanaNilikaa Moshi miaka miwili sikuwahi kuokota hata 100 chakavu😂😂😂
Rukwa mnaijua nyie kweli au ndio mazoea ya kuishi kwenye umaskini?Sana mkuu,Kuna watu humu,wanadhani kutoboa mpaka uwe na duka au kuwe na super market kuubwa ndio wafikiri Kuna pesa,ukweli ni kwamba Rukwa pesa IPO Tena nyingi
Mikoa ya Rukwa,Katavi na Lindi imechangamshwa na wahamiaji kutoka kanda ya ziwa, km ilivyo Kigoma kwa sasa baada ya Wasukuma kuvamia mabonde na kuzalisha Mpunga kwa wingi.Wapi ambako hakuna ardhi ya kutosha? Kigoma au Lindi ama Tabora au wapi huko?
Mwisho hakuna takwimu mbaya ambayo Rukwa haikosi,Ardhi pekee hazitoshi kuondoa umaskini