Mikoa Migumu Kutoboa Kimaisha

Sio lazima tukubaliane na Wala siwezi toa Rukwa kwenye list huo ni Mkoa fukara Kwa vigezo vyote
 
Sio lazima tukubaliane na Wala siwezi toa Rukwa kwenye list huo ni Mkoa fukara Kwa vigezo vyote
Usinge leta basi hoja yako ijadiliwe. Alafu unarukaruka hueleweki hoja yako. Umeleta mambo ya umasikini wa mkoa badala ya kutoboa katika mkoa. Hueleweki. Maana mikoa uliyoiorodhesha mingine inamapato makubwa pia.
 
Mikoa mingine ukienda unakuta kila mtu kalala, mda si mrefu nawe unajoin unazinzia, ukienda mkoa ambao kila mtu mchakarikaji nawe unakua mchakarikaji ni kama ubongo nao unasyncronize kwenye hayo mazingira.
 
Sio lazima tukubaliane na Wala siwezi toa Rukwa kwenye list huo ni Mkoa fukara Kwa vigezo vyote
Hii hoja ya umasikini wa mkoa si inayojadilwa acha kuruka hoja. Unawezaeleza kwanini Marekani na utajiri wake Kuna homeless na Tanzania na umasikini wake Kuna mabilionea? You have problematic mindset ndugu.
 
Sasa mikoa hiyo inakuwaje nyuma wakati ndiko ccm walikokita kambi?. Nimegundua kuna uhusiano kati ya ccm na umasikini.
 

Bro rekebisha orodha. Mikoa mingine kuna fursa za kufa mtu. Isipokuwa mikoa ifuatayo:
1. Kilimanjaro
2. Kagera
3. Tabora
4. Lindi
Mikoa hii pia ni migumu. Lakini si kama hiyo hapo juu.
5. Shinyanga
6. Simiyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…