Mikoa Migumu Kutoboa Kimaisha

Mikoa Migumu Kutoboa Kimaisha

Hapa ndio umejifunua kabisa tatizo lako kichwa chako Kiko na problematic mindset matokeo yake unaona impossibilities na si possibilities. Tiba ondo myths( fikra za kichawi, lango la jehanam), narrow minded ( migodi pekee ndio kutoboa) presuppositions, prejudices zote ili uwe objective katika manga'muzi sahihi. Vinginevyo mizani yako ya upimaji Haina uhalali na ni batili. Null and Void
Sio lazima tukubaliane na Wala siwezi toa Rukwa kwenye list huo ni Mkoa fukara Kwa vigezo vyote
 
Mikoa mingine ukienda unakuta kila mtu kalala, mda si mrefu nawe unajoin unazinzia, ukienda mkoa ambao kila mtu mchakarikaji nawe unakua mchakarikaji ni kama ubongo nao unasyncronize kwenye hayo mazingira.
 
Sio lazima tukubaliane na Wala siwezi toa Rukwa kwenye list huo ni Mkoa fukara Kwa vigezo vyote
Hii hoja ya umasikini wa mkoa si inayojadilwa acha kuruka hoja. Unawezaeleza kwanini Marekani na utajiri wake Kuna homeless na Tanzania na umasikini wake Kuna mabilionea? You have problematic mindset ndugu.
 
Sasa mikoa hiyo inakuwaje nyuma wakati ndiko ccm walikokita kambi?. Nimegundua kuna uhusiano kati ya ccm na umasikini.
 
Japo wanasema maisha popote ila Kwa Mikoa hii ukienda kutafuta maisha basi tegemea kutoboka badala ya Kutoboa 😬😬

1.Kilimanjaro
2.Shinyanga
3.Simiyu
4.Kagera
5.Singida
6.Rukwa
7.Tabora
8.Dodoma
9.Lindi
10.Kigoma

My Take
Baadhi ya Mikoa Ina potential nzuri ni vile tuu haijafunguliwa kimiundombinu eg Lindi.

Pia soma Mikoa 10 Yenye Watu Maskini Zaidi Tanzania: Kagera namba 2, Dodoma namba 5. Nini Kinaiponza Mikoa Hii Maarufu?

Bro rekebisha orodha. Mikoa mingine kuna fursa za kufa mtu. Isipokuwa mikoa ifuatayo:
1. Kilimanjaro
2. Kagera
3. Tabora
4. Lindi
Mikoa hii pia ni migumu. Lakini si kama hiyo hapo juu.
5. Shinyanga
6. Simiyu
 
Back
Top Bottom