promethus
JF-Expert Member
- Feb 22, 2016
- 1,164
- 1,901
Watakuwa wamekuzidi kete wachawi wenzio huko Sumbawanga ndo mana umekuja kuwaponda humu.Rukwa ni miongoni mwa Mikoa maskini Tanzania na Wala hakuna mzunguko wa hela
Nina jamaa zangu wengi wapo huko huwaambii kitu kuhusu Rukwa.