Mikoa mipya Tanzania

Mikoa mipya Tanzania

Sijajua mkoa mpya Unatakiwa uwe na muda gani?

Geita imepewa kuwa mkoa mwaka 2012-2025 miaka 13,bariadi tangu 2018-miaka 7 ni mkoa, jombe vile vile miaka 5+ Sasa sijui umetumia kigezo gani kuita ni mikoa mipya?
 
Njombe ni mkoa tangu mwaka 2012.
 
Wataalamu wa kuijua nchi yetu ya Tanzania ni mkoa mpya upi kati ya ifuatayo ambao uko vizuri kimaendeleo au kiuchumi?
1. Simiyu
2. Geita
3. Songwe
4. Manyara
5. Katavi
6. Njombe
Songwe-Tunduma

Kila Mkoa uko poa kasoro Simiyu

Njombe Ina watu wachache sana.
 
Back
Top Bottom